Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa wanazidi kusonga mbele kwa kutumia mbinu mpya!!!!!!!!!!!!

Russian forces recently advanced northeast of Pokrovsk and may attempt to advance further toward Dobropillya as part of a mutually reinforcing effort to envelop Pokrovsk and bypass Ukraine's fortress belt in Donetsk Oblast from the west in the coming months

July 5, 2025, 5:20 pm ET

Russian advances west and northwest of Razine most immediately support the envelopment of Pokrovsk and Myrnohrad — an operational objective that Russian forces have been pursuing over the last 18 months

July 5, 2025, 5:20 pm ET

Further Russian advances toward Dobropillya would indicate that Russian forces are placing a tactical prioritization on advancing west of Ukraine's fortress belt — a series of fortified cities that form the backbone of Ukraine’s defensive positions — and forcing Ukrainian forces to withdraw from the fortress belt under pressure of envelopment rather than conduct a head-on assault against the fortress belt.

July 5, 2025, 5:20 pm ET

Jamani Mimi nasema ukweli ulivyo na wala si maneno ya kukaririshwa ni ukweli na ushahidi ninatoa kuwa Russia hana ubavu wa kupigana na Ukraine pamoja na U-Supapawa wake alisema ataiteka Ukraine kwa masaa 72 leo hii miaka 4 inayoyoma!!!!

Nawashangaa mnaolalama kuwa Ukraine Ina said iwa na NATO wakati huohuo mnasahau kuwa Russia naye anasaidiwa na nchi nyingi sana. Au kunya anye Kuku akinya Bata mnasema Kaharisha???
Ni kweli unasema ukweli, Ukraine wameshinda vita maana uwanja wa mapambano unaonyesha hivyo, Ukraine haisaidiwi na NATO. Urusi ni supapawa wa mchongo anayesaidiwa na China, Iran, Korea Kaskazini na mataifa mengine.

Hapo umeridhika sasa.

Mtu kama huyu ndio wale pro-west, huwezi kumuambia kitu kilicho kinyume na matakwa ya wamagharibi akakuelewa. Hivi kila kukicha Ukraine inaporwa maeneo lakini mtu anashupaza shingo, eti Ukraine inashinda vita. Hao wamagharibi wenyewe washakata tamaa na Ukraine hadi Trump kakiri kuwa Urusi inafanikiwa.
 
Echolima1 ni kipanya aliyechangamka.
Hao wamelishwa limbwata la Kyiv na West.
 
Mtu kama huyu ndio wale pro-west, huwezi kumuambia kitu kilicho kinyume na matakwa ya wamagharibi akakuelewa. Hivi kila kukicha Ukraine inaporwa maeneo lakini mtu anashupaza shingo, eti Ukraine inashinda vita. Hao wamagharibi wenyewe washakata tamaa na Ukraine hadi Trump kakiri kuwa Urusi inafanikiwa.
Huu ndiyo ujinga ulio nao wewe zuzu!! Kwa ujinga wako na mimi unataka niwe kama wewe, nafikiri kama wewe na niwaze kama wewe?? Unataka na mimi niwe Pro Putin kama wewe ambaye umekaririshwa ujinga na kuuamini?

Russia vita hii imemshinda mwaka wa 4 sasa bado hata hajaweza kukamata jimbo zima yote hayo ni nusu nusu tu pamoja na usupapawa wake wa michongo, Misaada anayoipata kutoka China,Iran,Korea na Afrika kusini haijamsaidia kitu Anacki bila uwanja wa mapambano anakimbilia kuua raia wasiokuwa na silaha mijini na kuwaacha askari wake huko frontline wakiuwawa na Drones za Ukraine
 
Attachments

  • IMG_9701.mp4
    21 MB

Mkuu ni kweli Urusi ameshindwa na Ukraine, Naona Ukraine anazidi kumchapa supapawa wa mchongo.

Mkuu naona Ukraine amerudisha maeneo yake yaliyotekwa na supapawa wa mchongo kama Crimea, Donetsk, Kherson, Luhansk, Mykolayiv, and Zaporizhzhya.

Ukraine anazidi kushambulia ameshateka Kursk sasa anasonga mbele kuelekea Rostov hadi Moscow, ni muda mfupi tu Kremlin itatekwa, huku dikteta Putin akilambishwa mchanga kama wanajeshi wake wanalambishwa mchanga na majeshi imara ya Ukraine.

Urusi vita vimemshinda kitambo sana, sasa anatepeta na kanchi kadogo kama Ukraine. Supapawa wa mchongo kaaibushwa sana mwaka wa 4 huu bila kusonga mbele.
 
Endelea kujifariji na kujipa moyo maana miji yote uliyoitaja ya Donetsk, Kherson, Luhansk, Mykolayiv na Zaporizhzhya ni Kabuli kwa askari wa Russia
 
Ndio miji inayowalambisha mchanga askari wa Urusi aka supapawa wa mchongo. Ukraini inazidi kuwalambisha mchanga warusi. Ni ukweli uliowazi kuwa usemalo halina ubishi. Wewe ni mchambuzi haswa maana unatoa data za fronline kabisa. Tunawapa pongezi askari wa Ukraine na Pro-West wote kwa kumuabisha supapawa wa mchongo na kuigeuza miji ya Ukraine kuwa makaburi ya askari wa Urusi.

Ila ukitaka kufahamu ukweli usisite kuupokea, maana kanuni ya ukweli ni kusimama wenyewe bila kupigiwa chapuo kama unavyojaza seva za JF.
 
Endelea kubwabwaja tu
 
Kama umeng’ang’ania kuwa kuna facilities za kijeshi weka ushahidi wako tuone!!!

Kama silaha kupitia Poland haina maana silaha hizo zinahifadhiwa kwenye Ubalozi wa Poland maana Ukraine yenyewe Ina ghala za kuhifadhia hizo silaha na kambi za kuendeshea hayo mafunzo. Kumbuka kama eneo la Ubalozi liki wa kubwa ni ekari mbili sasa hapo unafanya vipi mafunzo ya kijeshi?

umeshindwa kujibu hoja kuhalalisha uongo wako unatafufa excuses zisizo na maana ulitakiwa wewe kama unao ushahidi ungetoa huo ushahidi na mimi ni singe kuwa na la kujitetea tatizo watu mmejazwa uongo tu nanyi bila kutafakari mmeufakamia acheni ujinga.

Huko mstari wa mbele Russia anapigika mno!!!
Wewe ndo mwongo kuhusu, wepi wanauwawa Kwa wingi figure zipo wazi kwenye mabadilishano ya wafungwa wa kivita , urusi sio irani au Syria, pia mrusi anapigana vita vya kiutu ndo maana raia wanakufa ni wachache
 
Ni kweli sio tu situmii bali sina kabisa,
Wewe mwenye akili, naomba nikuulize;
Kwani hauwezi kuweka military facilities kwenye civilian residence?
Kwa mfano drone assembling.

Katika shambulio lililofanywa juzi, mmoja wapo ya kilichoshambuliwa ni Poland embassy pale kiev ambapo walikuwa wanaficha makombora na ku traine merceneries, je hiyo embassy haikuwa kwenye residential area?
Je ile UK Visa center iliyokuwa inatumika kama base ya UK special forces na military equilment storage hasa kwa missile, drone na mine haikuwa resudential area?.

Kwa wewe mwenye akili je hapa dar ni kambi ngapi za jeshi ziko around na makazi ya watu, ukitokea mlipuko, je walioko jirani hawapati madhara,?
Rejea mabomu ya mbagala na gongo la mboto.
Alafu pia usisahau asilimia 80, ya silaha anazotumia Ukraine kwa kipindi hiki hazarishi yeye bali ni kutoka kwenye nchi zaidi ya 50+ (US, EU, na nato members ambao ni non EU mfano Turkey Canada, South Korea, Japan, Israel, Poland n.k).

Ukisema kashindwa, je ame concede defeat na kuomba mazungumzo au lah?
Ukija field anapoteza au ana gain?
Military cabability anakuwa stronger au anashrink?
Kwako mwerevu naomba kuelimishwa na mimi nitoke kwenye ujinga, kwa kuzingatia kauli yako ya situmii akili.
Asante
Umekosea sana na umepoteza muda wako Bure kumjibu huyo Mjinga anaejiona ana akili.
Ila kitu kimoja TU ambacho umepatia, ni kutoa Elimu ambayo itatunufaisha wengi humu.
 
Vichaa wakipeana ushauri kabla ya kupelekwa Milembe hospital kulazwa!!
 
Back
Top Bottom