Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian Forces Expand Fighting to a New Region of Eastern Ukraine​

It’s the first time in three years of war that Russian troops have entered the Dnipropetrovsk region, a sign of battlefield momentum.

Hakuna unachokijua wewe. Ivi kwa akili ya haraka hata kama ni wewe unapigana na Warusi alafu uwe na kambi ambazo Warusi hawawezi kuziona,si uwongo uwo. Ukraine kambi zao zipo kwenye makazi ya watu, wanaficha silaha kwenye makazi ya watu hata wao wanajifichia kwenye makazi ya watu.
Utajipaka mavi bure huyo jamaa hazimo
 
Majeshi ya Russia hayajawahi hata siku moja kuchukua jimbo zima kazi yao ni kuchukua nusu nusu na majimbo yote nusu waliyoyachukua yalishageuka mwiba kwa askari wao walioko huko maana wanapukutishwa kama Kumbikumbi!!!.

Russia ni Supapawa wa michongo jiulize kama ni kweli inawezekana vipi apigane na Ukraine kwa miaka 4 sasa? Hiyo tu inaonyesha wazi vita hiyo huko Ukraine imeshamgeukia ishakuwa Kaa la moto!!!
 
👀 Viwanja vya ndege vya Urusi vimefuta mamia ya safari za ndege kwa siku ya pili mfululizo kutokana na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za Ukraine

Leo pekee, safari za ndege 287 zimefutwa na zingine 106 kucheleweshwa huko Moscow, St. Petersburg, na Nizhny Novgorod. Viwanja vya ndege vya Tambov, Pskov, na miji mingine pia vilisimamisha shughuli zake kuhofia Drones za Ukraine!!!

🪐 SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!!!!
 
Attachments

  • IMG_3546.jpeg
    IMG_3546.jpeg
    310.8 KB · Views: 28
Majeshi ya Russia hayajawahi hata siku moja kuchukua jimbo zima kazi yao ni kuchukua nusu nusu na majimbo yote nusu waliyoyachukua yalishageuka mwiba kwa askari wao walioko huko maana wanapukutishwa kama Kumbikumbi!!!.

Russia ni Supapawa wa michongo jiulize kama ni kweli inawezekana vipi apigane na Ukraine kwa miaka 4 sasa? Hiyo tu inaonyesha wazi vita hiyo huko Ukraine imeshamgeukia ishakuwa Kaa la moto!!!
Vita sio kitu chepesi kama vile unafukuza ng'ombe kuingia zizini. Huyo mnayemwita super power alipigana miaka 19 vietnam na miaka 20 Afghanistam na bado akupata ushindi akakimbia.
 
Mpaka leo hii hakuna Jimbo zima alilolichukua Russia!!!! Yote hayo wameyachukua nusu nusu tu na sasa yamegeuka kuwa mwiba kwao kwa askari wao kupukutika kama nzige, kwa kuwa hutaki nisitumie Nzige basi itanibidi nitumie Neno Askari wa Russia wanapukutika kama Kumbikumbi!!!

Wewe wadanganye Mazuzu wenzako tu!!
Lugansky ukisikia imekuwa full liberated, wewe unaelewa nini?
 
Vita sio kitu chepesi kama vile unafukuza ng'ombe kuingia zizini. Huyo mnayemwita super power alipigana miaka 19 vietnam na miaka 20 Afghanistam na bado akupata ushindi akakimbia.
Kwa taarifa yako US huko Afghanistan hawakuwa vitani bali watawala walikuwa wanaweza watawala na wakati wanatoka wananchi wengi wa Afghanistan walilazimisha waondoke nao sasa kwa akili yako mgando unaweza kusema Marekani huko Afghanistan ilikuwa vitani!? Acha ujinga

View: https://x.com/ashoswai/status/1411297829331558401?s=61
 
Walimtawala nani?
Lini ulisikia Marekani akitangaza vita Imeisha Afghanistan?
Unadhani kwa nini waliondoka ghafra kwa aibu?
Wale raia walikuwa vibaraka wao, bila aibu waliwatekelekeza, unaweza ukawaota wao ni jeshi namba moja, wakati wamepigwa na wachunga Mbuzi jangwani?
 
Mtu mmoja aliuawa huko Odesa kufuatia shambulio la ndege za Urusi.

Mji huo ulishambuliwa na Drones za wavamizi kutoka Russia. Shambulio hilo lilisababisha uharibifu wa gereji, kituo cha kutengeneza magari, magari ya abiria, malori na mabasi.

🪐 SLAVA UKRAINE 🇺🇦
 
Attachments

  • IMG_2057.mp4
    10.1 MB
  • IMG_3549.jpeg
    IMG_3549.jpeg
    160.6 KB · Views: 20
  • IMG_3550.jpeg
    IMG_3550.jpeg
    103.6 KB · Views: 19
Watu wengine hamtumii akili zenu vizuri!! Russia kwenye uwanja wa vita kalemewa sana sasa anageukia kupiga miji na kuua raia kwa visingizio mbalimbali.

Na si kweli kuwa anapiga malengo ya kijeshi kambi za kijeshi zinajulikana hazikai mijini na tunaona anapiga makazi ya Raia ambao hawana silaha!!!
Wewe ndio kipanya na ww ndio mk24 pia ...akili kisodaaa
 
Jamani Mimi nasema ukweli ulivyo na wala si maneno ya kukaririshwa ni ukweli na ushahidi ninatoa kuwa Russia hana ubavu wa kupigana na Ukraine pamoja na U-Supapawa wake alisema ataiteka Ukraine kwa masaa 72 leo hii miaka 4 inayoyoma!!!!

Nawashangaa mnaolalama kuwa Ukraine Ina said iwa na NATO wakati huohuo mnasahau kuwa Russia naye anasaidiwa na nchi nyingi sana. Au kunya anye Kuku akinya Bata mnasema Kaharisha???
Acha kujifanya taahira una akili timamu .usilewe sifa za ubishi unazid kua tahira
 
Acha kujifanya taahira una akili timamu .usilewe sifa za ubishi unazid kua tahira
Taahira ni wewe ambaye badala ya kujibu hoja umekalia kubwabwaja ovyo tu !!! Safari hii utakoma sasa!!!
 
Kwa taarifa yako US huko Afghanistan hawakuwa vitani bali watawala walikuwa wanaweza watawala na wakati wanatoka wananchi wengi wa Afghanistan walilazimisha waondoke nao sasa kwa akili yako mgando unaweza kusema Marekani huko Afghanistan ilikuwa vitani!? Acha ujinga

View: https://x.com/ashoswai/status/1411297829331558401?s=61

Ndo maana nasema hakuna unachokijua kuhusu vita. Talibani imewafukuza Wamarekani kwa mtutu wa bunduki alafu wew unakuja kusema ujinga gani.
Kabla ya kuja kupayuka fatilia kwanza jambo ulijue kisha ndo uje hapa
 
Kabla ya kuja kupayuka fatilia kwanza jambo ulijue kisha ndo uje hap
Wewe ndio kipanya na ww ndio mk24 pia ...akili kisodaaa
Hata mie nishagundua huyu ndo Kipanya 44🤣🤣🤣
 
Taahira ni wewe ambaye badala ya kujibu hoja umekalia kubwabwaja ovyo tu !!! Safari hii utakoma sasa!!!
Ndugu nilikuomba ushahidi wa kauli uliyoandika kuwa Urusi walisema watamaliza vita ndani ya masaa72.

Nimekuomba kauli ya Putin unipe kwa video kuna warusi wa mbagala rangi3 nataka niwapige nayo.

Ila naona kimya au bado unaitafuta video ndugu.
 
Ndo maana nasema hakuna unachokijua kuhusu vita. Talibani imewafukuza Wamarekani kwa mtutu wa bunduki alafu wew unakuja kusema ujinga gani.
Kabla ya kuja kupayuka fatilia kwanza jambo ulijue kisha ndo uje hapa
Nikupe shule ya bure wewe zuzu baada ya US kuwa huko Afghanistan waliweza kuweka Rais huko walikuwepo huko akina Karzai na wengine hivyo US huko walikuwa watawala tu na ndiyo maana walipotaka kutoka huko waliweza kuwaachia vifaa vya kijeshi vingi kupindukia ambavyo hakuna nchi yenye vifaa kama hivyo!!!

US haikutoka huko kwa mtutu wa bunduki kama MAZUZU mlivyoaminishwa. US walikuwa na uwezo wa kuvitoa vifaa hivyo kwa mataifa rafiki au kuviangamiza lakini kwa kuwa walitoka kwa amani waliamua kuwaachia Talleban silaha hizo za mabilion ya dollar.

Nakushangaa unaposema walitolewa kwa mtutu wa bunduki ni wajinga na wapumbavu tu kama wewe wanaweza kukubali uongo huo!!!

View: https://x.com/decameronshow/status/1432036934063308800?s=61

View: https://x.com/stevelovesammo/status/1824044720659534220?s=61

View: https://x.com/votetimscott/status/1565444556606377989?s=61
 
Back
Top Bottom