Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapo ni Ukraine 🇺🇦 ikibadilishana maiti kati yake Russia 🇷🇺, nani wanapukutika?

View: https://x.com/BowesChay/status/1932786959090339856?t=Sc3ltY1qxjxICH1ystoalQ&s=19

Acha kudanganyika na Supapawa wa michongo kaweka na maiti za watu wake na kuwapeleka Ukraine akidai ni Wa Ukraine kumbe ni watu wake. Istoshe kuua watu wengi haina maana ya wewe nashinda vita.

Russia kama Russia hii kashindwa maana hana namna tena ya kuvimaliza hivi vita kwa maana ya Totaly Victory askari wake wanaendelea kupukutika tu

View: https://x.com/maks_nafo_fella/status/1935712127739736168?s=61

View: https://x.com/stratcomcentre/status/1935715789153108061?s=61
 

Attachments

  • IMG_9510.mp4
    28 MB
Naomba uweke hapa orodha ya misaada Russia aliopokea kutoka kwa Iran, North korea, China na nchi nyingine?

Weka hata misaada mitano
Naweza hata ku kuwekwa misaada zaidi ya Mitano ili tu kukutoa ujinga ulio nao kuwa Russia hapokei au hasaidiwi na nchi yoyote kwenye vita vyake na Ukraine. Hivyo acha ujinga Russia kwenye vita hii pamoja na kusaidiwa anapigika vizuri sana askari wake huko mstari wa mbele wanapukutishwa sana kiasi ambacho hata maiti zao kuonekana ni taabu!!!




View: https://x.com/jurgen_nauditt/status/1862509688761245981?s=61

View: https://x.com/egyosint/status/1937904353861398752?s=61

View: https://x.com/alootercontinua/status/1656793802940510209?s=61

View: https://x.com/alootercontinua/status/1657031293270409217?s=61
 
Dah mkuu usimfananishe T14 Armata na POPOMA kama huyo,😂😂😂.
Kwetu Kilwa jina Kosugi maana yake ni Kisimi na tulisoma Cuba tunajua kiungo hicho kinafanya kazi gani!!
Ulivyo mjinga unataka watu wafikiri, wawaze na kutenda kama wewe huo ni ujinga uliopindukia umeshindwa kujibu hoja unaanza kujipendekeza kwa watu wakupenda wewe ni nani unayependa kupendwa kwa kuniponda mimi?

Ulivyo punguani unafikiri Mimi niko hapa ili nipendwe!!! Niko hapa kuweka mambo sawa tu hayo mazungumzo ya kike ni sawa tu na jina lako kosugi!!!! Acha ujinga wa kipumbavu
 
Kwa ujinga ulio nao unashindwa kujua USA ndiyo NATO na vizuri zaidi unasema hutaki kuelewa!!!
Baki na uelewa wako kuwa Russia anapigana peke yake!!! Wakati pamoja na Usupapawa wake wa MICHONGO ameshindwa kuiteka Ukraine 🇺🇦
 
Kwa mazingira ya Kiev haiwezekani kuweka facilities za kijeshi kwenye maeneo ya mji huo kwa sababu mji huo ulijengwa zamani kwa akili ya makazi ya raia leo hii ukijua kusema kuweka facilities za kijeshi itakuwa ni vigumu maana itabidi ubomoe tena makazi ya raia ili kuweka facilities tajwa kwa mazingira hayo si kweli!!!!

Mambo mengine ni ya wazi kabisa kama unatumia akili yako vizuri!! Kwenye Ubalozi kuna sheria za Kimataifa zinazolinda balozi hizo na kuna miiko ya vitu kama vile kuficha makombola na eti na ku Traine mercenaries huo ni uongo huwezi kutumia Ubalozi kuwa kambi ya kijeshi kufundishia watu wajinga tu na wapumbavu wataamini upuuzi huo!!!

Kuna uwezekano mkubwa wewe upo hapa kupiga Propaganda za uongo kuaminisha watu uongo tu maana unaongelea vitu vingine ambavyo havina ukweli wowote ule kama una ukweli hebu tuwekee hapa wote tuone hiyo Source yake!!!

Sisi wenye akili tunajua Kiev siyo Dar na istoshe hata hapa Dar na maeneo mengine kambi hizo zilikuwa nje ya mji raia ndiyo wamezivamia kadri miaka inavyozidi lakini hapo mwanzo kambi hizo zilikuwa mbali na raia waulize babu zako wakuambia

Unaongelea mambo ambao huna uhakika nayo na kujÄ… hapa kutuaminisha kuwa 80% ya silaha anazotumia zinatoka nje na hukutuambia Russia yeye anatumia silaha asilimia ngapi kutoka China,Korea ya Kiduku, Afrika ya kusini,Iran na nchi nyingine lukuki ambazo hukuzitaja!!!

Huko Ukraine Russia hajaweza kuchukua jimbo lolote zima amechukua nusu nusu tu na ndiyo maana hata kupata ushindi ameshindwa na askari wake wengi kuuwawa kama nzige na kwa hasira hizo za mbogo kaamua kushambulia maeneo ya kiraia kwa visingizio vya kijinga.

Fikiria uwanja wa vita uko mbali leo wewe unakimbiliaje kupiga majengo ya makazi ya raia? Ukraine yeye akiamua kupiga Moscow hapigi makazi ya raia anapiga vituo vya kijeshi viwanda vya kijeshi,viwanja vya ndege na huo ndiyo uanaume.

Askari wa Russia huko mstari wa mbele wanakufa kama kumbikumbi wanasakwa mmoja baada ya mwingine wanakufa vibaya sana!!! Msiojua mnafikiri ana Gain kumbe hakuna kitu Russia ni Supapawa wa mchongo mnamsifia bure tu!!
Oyaaa Urusi anapondwa balaaa.... Kazan imeondoka, moscow imeanguka, Belgorod imeanguka , Kursk imeanguka ...aseee Urusi anachapika vibaya sanaaaaaa.....
 
Echolima1 amekuja kujaza severs za huu Uzi
Jamani Mimi nasema ukweli ulivyo na wala si maneno ya kukaririshwa ni ukweli na ushahidi ninatoa kuwa Russia hana ubavu wa kupigana na Ukraine pamoja na U-Supapawa wake alisema ataiteka Ukraine kwa masaa 72 leo hii miaka 4 inayoyoma!!!!

Nawashangaa mnaolalama kuwa Ukraine Ina said iwa na NATO wakati huohuo mnasahau kuwa Russia naye anasaidiwa na nchi nyingi sana. Au kunya anye Kuku akinya Bata mnasema Kaharisha???
 
Taarifa kama zipi ambazo wewe unasema ni Matango-Pori? Kama huamini unatakiwa wewe ndiyo utupe za uhakika ili kuondoa utata sasa wewe umekaa tu kulalamika!!!!

Ukweli utabaki palepale Russia askari wake huko mstari wa mbele wanapigika sana na ndiyo maana hasira zake kazihamishia kwa raia wasio na silaha kawakimbia wanaume wenzake huko mstari wa mbele na kwenda kuua raia mijini!!
 

Attachments

  • IMG_9575.mp4
    22 MB
Jisikitikie mwenyewe mimi unanijua? Acha ujinga ukishindwa hoja unasikitika!!!
 
Taarifa kama zipi ambazo wewe unasema ni Matango-Pori? Kama huamini unatakiwa wewe ndiyo utupe za uhakika ili kuondoa utata sasa wewe umekaa tu kulalamika!!!!

Ukweli utabaki palepale Russia askari wake huko mstari wa mbele wanapigika sana na ndiyo maana hasira zake kazihamishia kwa raia wasio na silaha kawakimbia wanaume wenzake huko mstari wa mbele na kwenda kuua raia mijini!!
Kiuchambuzi na uongo wewe ni pacha wa Jemedari Saidi
 
Kwamba mji ukijengwa zamani ndio huwezi kui embed military facilities and installation, una uhakika?
Kwani zilaha zinazotokea poland kupitia west ukraine, kabla ya kuja frontline zinapitua wapi?
Nenda google andika attack on UK visa center, je taarifa ulizoandika umeweka source
shida unasema haiwezekani bila technical fact kwamba haiwezekani
Hata hiyo nyumba unayoishi inawezankuwa missile and drone assembling facility

Mbona 1991 Nato walipiga Chinese ambassy serbia, hizo sheria zilifanya nini?
Ulipoanza kutumia matusi nimegundua kuna logic na run time error kwenye ubongo wako
Mkuu hongerwa kwa logic na kwa fact
 
Tatizo lako linaweza kuwa huelewi mambo ya kijeshi na hujui kijeshi ushindi unakuwaje na kushindwa kunakuweje ndiyo maana unasema tufanye ni kweli!!!

Russia angekuwa anashinda hii vita asingelitoka Kiev lakini aliingia Kiev lakini baada ya kipigo alitolewa mkuku na akafungua uwanja wa mapigano mwingine huko mashariki mwa Ukraine na aliweza tu kuteka sehem tu ya majimbo hayo na mpaka sasa hivi hakuna hata jimbo moja alilolitwaa lote yote hayo ni nusu nusu tu.

Nawaambia Russia ni Supapawa wa MICHONGO hana ubavu wa kupigana na Ukraine. Febr 24,2022 Alipovamia Ukraine alijigamba anaweza kuiteka kwa masaa 72 tu angalia mpaka leo hii 2025 bado anahangaika na Ukraine pamoja na yeye kusaidiwa na China, Korea ya kiduku, Afrika kusini, Iran na nchi zingine nyingi tu hajaweza kufurukuta mbele ya Ukraine matokeo yake kaanza tu kushambulia maeneo ya raia na visingizio visivyo na maana.

Kwenye uwanja wa vita askari wa Russia wanapigwa kama Ngoma Drone za Ukraine zinawawinda mmoja baada ya mwingine kuwaua bila huruma yoyote!!
Ndugu yangu naomba na mimi unisaidie source ya video au yoyote kama itawezekana Putin akisema OP itaisha kwa masaa 72.

Ikiwa ya video utanisaidia zaidi ili niwaaibishe vizuri Warusi wa Nyakanazi.
 
Ndugu yangu naomba na mimi unisaidie source ya video au yoyote kama itawezekana Putin akisema OP itaisha kwa masaa 72.

Ikiwa ya video utanisaidia zaidi ili niwaaibishe vizuri Warusi wa Nyakanazi.
Kajinga hako...anachokiongea Leo kilishakuwa na majibu miaka mi2 iliyopita ...ni kapuuzi kamoja ..kamebaki peke yake humu ..wenzake wote wamekula Chocho....
 
Back
Top Bottom