Ni kweli sio tu situmii bali sina kabisa,Watu wengine hamtumii akili zenu vizuri!! Russia kwenye uwanja wa vita kalemewa sana sasa anageukia kupiga miji na kuua raia kwa visingizio mbalimbali.
Na si kweli kuwa anapiga malengo ya kijeshi kambi za kijeshi zinajulikana hazikai mijini na tunaona anapiga makazi ya Raia ambao hawana silaha!!!
Wewe mwenye akili, naomba nikuulize;
Kwani hauwezi kuweka military facilities kwenye civilian residence?
Kwa mfano drone assembling.
Katika shambulio lililofanywa juzi, mmoja wapo ya kilichoshambuliwa ni Poland embassy pale kiev ambapo walikuwa wanaficha makombora na ku traine merceneries, je hiyo embassy haikuwa kwenye residential area?
Je ile UK Visa center iliyokuwa inatumika kama base ya UK special forces na military equilment storage hasa kwa missile, drone na mine haikuwa resudential area?.
Kwa wewe mwenye akili je hapa dar ni kambi ngapi za jeshi ziko around na makazi ya watu, ukitokea mlipuko, je walioko jirani hawapati madhara,?
Rejea mabomu ya mbagala na gongo la mboto.
Alafu pia usisahau asilimia 80, ya silaha anazotumia Ukraine kwa kipindi hiki hazarishi yeye bali ni kutoka kwenye nchi zaidi ya 50+ (US, EU, na nato members ambao ni non EU mfano Turkey Canada, South Korea, Japan, Israel, Poland n.k).
Ukisema kashindwa, je ame concede defeat na kuomba mazungumzo au lah?
Ukija field anapoteza au ana gain?
Military cabability anakuwa stronger au anashrink?
Kwako mwerevu naomba kuelimishwa na mimi nitoke kwenye ujinga, kwa kuzingatia kauli yako ya situmii akili.
Asante