D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Inasemekana warusi wamekufa wote kwa sasa Ukraine inapambana na mizimu 😄Bado tupo wakuu,hii vita inabidi uifutilie huku ukipata muda wa kutoka na kwenda kupata maji kidogo
Kweli kabisaa.Moderator tuwekeeni PIN uzi wetu, acheni kututesa..
Maxence Melo
Pilot aliyekufa alikuwa mzoefu saana.Ukraine F-16 pilot killed in large-scale Russian attack, Zelenskiy calls for US help
June 29, 2025
![]()
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.www.reuters.com
Pilot aliyekufa alikuwa mzoefu saana. Ila hawa jamaa bwana badala yakusema ndege imedunguliwa wao wanasema pilot amekufa. How about the f-16?? F-16 ya tatu hiyo inaharibiwa.
Basi sawa, yeye kasema.Hungarian Prime Minister Viktor Orban has questioned Russia's ability to attack NATO countries, as it is not "even capable of defeating Ukraine," he said in an interview with French TV channel LCI on June 8.
"The Russians are too weak for that," Orban said. "They're not even capable of defeating Ukraine, so they're incapable of really attacking NATO."
Sielewi RUSSIA anawezaje kulinda eneo alilolidhibiti na wakati huo huo akawa na uwezo wa kubeba eneo jengine.LPR imekombolewa 100%
Hata mim nawazaga khs hili sipati picha kamiliSielewi RUSSIA anawezaje kulinda eneo alilolidhibiti na wakati huo huo akawa na uwezo wa kubeba eneo jengine.
Sijui kama ishawahi kutokezea kwa miaka ya karibuni kwa nchi kuwa na nguvu kama hiyo.
Labda hitler
Yaani kwamba Russia let say anaitawala mikoa kadhaaHata mim nawazaga khs hili sipati picha kamili
Kipanya et al ....ni wa kuwaacha ..... Ndio walewale tunaosema ...wanawasifia Finland walishinda dhidi ya Urusi wakati lilipo Jiji la St.Petersburg ilikuwa ardhi ya finland walipokubali kuachia 10% ya ardhi ndio urusi akasitisha kichapo..Sasa Ukraine zaidi ya majijibma5 makubwa yamechukuliwa na mtu anakaza fuvu Urusi kafeli ..huyo mtu Hana kichwa ana mfuniko wa shingo.Jamani msimjibu huyo jamaa muacheni tu kama alivyo ,maana ni wazi kabisa maumivu ya kipigo anachopewa Ukraine yamemzidia mpaka amechanganyikiwa.....messages zake zina emoji za vicheko ila nafsini mwake analia kwa uchungu