Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Akili za Zelensky ziko kama akili za madereva wa bodaboda,huwa wanafanya maamuzi bila kufikiri Nini kitakuja kutokea, mwisho wa siku huishia kujeruhi au kuua watu wengine au wao kupoteza viungo au kufa.Kiev
Hivyo ndivyo akili ya Zelensky ilivyo.