Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndugu yangu nadhani na wewe umeongea kama Mimi.
Kwa haya yanayotokea Mimi bado Naiona Russia kama taifa lenye nguvu sana kimapambano,kwa sababu NATO na Ukraine wameshindwa kuishinda Urusi kwenye uwanja wa mapambano.
Unajua Sasa hivi inaonesha Ukraine na NATO wamebadilisha mbinu za mapambano,wameingia kwenye mbinu za vita kwa staili ya ugaidi.
Kusema kweli ugaidi ni njia ya watu dhaifu kabisa kimapambano.
Siku za Nyuma west walikua wanawaita magaidi kama ni cowards Leo nao wao wameamua kutumia mbinu za cowards kukabiliana na jeshi imara la Urusi,mara baada ya kushindwa kuishinda Urusi katika uwanja wa mapambano.

Kusema kweli magaidi hutumia mbinu za kushambulia kwa kuvizia, Tena kwenye maeneo maalumu sio Kwa lengo la kushinda vita,Bali Kwa lengo la kutia hasara na kukera.
Kwa mfano,kushambulia club ya starehe hii sio kukomboa ardhi,Bali ni kukera,
Kupiga ndege zilizopaki,ambazo hazikua kwenye operation,hii ni kutia hasara.

Of course ina faida kivita maana lengo lake ni kupunguza uwezo wa jeshi la adui,lkn ingekua inaenda sambamba na kuurudisha nyuma majeshi ya adui na kukomboa maeneo yaliyotekwa,lakini bahati mbaya haiko hivyo na haimdhofishi adui Urusi katika vita hii,labda Kama itatokea vita nyingine ambayo pengine iwe vita yenye hadhi ya vita ya Dunia.

Magaidi walipiga WTC,balozi za USA nchini Tanzania na Kenya Kwa siku moja, walipiga melivita ya USS Cole huko Yemen na maeneo mengine yenye maslahi ya Marekani hapa duniani,lakini lengo halikua kuishinda USA kwa sababu walikua hawawezi kuishinda,Bali kuitia hasara na kukera.

Magaidi walishindwa kupigana na Marekani uso kwa uso kwenye uwanja wa vita,Kwa sababu hawakua na uwezo wa kuyashinda majeshi ya marekani.

Sasa Leo hii majeshi ya Ukraine yakisaidiwa na NATO yameshindwa na majeshi ya Urusi katika uwanja wa mapambano na, yamehamia kwenye vita vya kuvizia vya kigaidi kwa ajili ya kutia TU hasara, na wala sio kukomboa ardhi wala kuizuia Urusi isichukue maeneo zaid.

Katika vita,Ukiona jeshi linatoka katika mfumo wa kupigana vita katika uwanja wa mapambano na kuhamia katika vita vya kigaidi yaani kuvizia, na kupiga sehemu fulanifulani kama, kumbi za starehe na vitu kama hivyo ujue jeshi hilo Limeshashindwa vita.

Kwa mfano majeshi ya NATO na ukraine yangekua yamefanikiwa kuyazidi nguvu majeshi ya Urusi na kuingia miji mingi ya Urusi, na Urusi ikaonekana kuelemewa,leo hii nayo Urusi ingeanza kufanya mashambulio ya kigaidi.

Kwa kifupi Ukraine na NATO ni kama wamekata tamaa, na kuona ni Bora watie hasara TU, badala ya kujikita kukomboa maeneo Yao,au kuyarudisha nyuma majeshi ya Urusi.
Watu hawajui kua hata Urusi NATO inaweza kushambulia maeneo yoyote unayoitaka katika nchi yoyote ya NATO.
Hahahaha unachekesha kweli wewe urusi hawezi shinda hii vita kiufupi urusi ni kubwa jinga miaka 4 anahangaishwa na ka nchi kama Ukraine halafu aje ashinde Sasa hivi hahahahah supa pawa wa mchongo huyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Marekani alihangaishwa miaka mingapi na Vietnam? Je Vietnam na Ukraine ipi ni nchi kubwa kiuchumi, kijeshi ja kieneo?
 
Jamani msimjibu huyo jamaa muacheni tu kama alivyo ,maana ni wazi kabisa maumivu ya kipigo anachopewa Ukraine yamemzidia mpaka amechanganyikiwa.....messages zake zina emoji za vicheko ila nafsini mwake analia kwa uchungu
Hahahaha kweli mmepagawa yaani kichapo anachotembeza Ukraine kubwa jinga urusi miaka 4 linajamba Jamba tu na hii vita ilipofikia patamu Ukraine akidhidisha kichapo kidogo tu anaibeba nchi inayojiita supa pawa kumbe wa mchongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ningekuwa mie ndio putin kila jengo la serekali lazima liwe kifusi pale kiev. Ule usenge waliofanya ndani ya russia kupiga airbase na kulipua daraja la cremia wanapaswa kulipa.
Israiel ndio mabingwa wa kukomesha. Hamas washapata walichokitaka, na wanaendelea kupewa. Akaja Hizzbolah na wakaonyeshwa kwamba hupaswa kucheza na sharubu ya Simba. Yemen nae tayari kashapokea dose yake.
Putin unatuangusha sana sie Mashabiki zako.
Nenda mbali, mwinde mpaka huyo shoga Zele. Mbona israel wanawauwa viongozi wa vikundi vya kigaidi? Unakwama wapi mzee babaaah aaarrgghhhh....
Hata hii respond sijaielewa bado.
 
Hahahaha unachekesha kweli wewe urusi hawezi shinda hii vita kiufupi urusi ni kubwa jinga miaka 4 anahangaishwa na ka nchi kama Ukraine halafu aje ashinde Sasa hivi hahahahah supa pawa wa mchongo huyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa jinsi TU unavyoeleza inaonesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
Haya mambo Yako juu ya uwezo wako.
Sijajua kama shida Yako ni Elimu,umri au ni athari za hizo sinema za Hollywood,au pengine ni ujinga wa kawaida wa kutokuelewa mambo au pengine ni utoto TU na kujaribu kurukia mambo yaliyokuzidi ufahamu.
 
Ukraine washindwa kujitokeza uwanjani, walitakiwa wakapokee shehena ya kwanza ya maiti zao.

Unaambiwa pale KURSK, warusi wamezidaka roho za wanajeshi 6000.

Ni roho za watu.
1749377915726.jpeg
 
Ningekuwa mie ndio putin kila jengo la serekali lazima liwe kifusi pale kiev. Ule usenge waliofanya ndani ya russia kupiga airbase na kulipua daraja la cremia wanapaswa kulipa.
Israiel ndio mabingwa wa kukomesha. Hamas washapata walichokitaka, na wanaendelea kupewa. Akaja Hizzbolah na wakaonyeshwa kwamba hupaswa kucheza na sharubu ya Simba. Yemen nae tayari kashapokea dose yake.
Putin unatuangusha sana sie Mashabiki zako.
Nenda mbali, mwinde mpaka huyo shoga Zele. Mbona israel wanawauwa viongozi wa vikundi vya kigaidi? Unakwama wapi mzee babaaah aaarrgghhhh....
Hata hii respond sijaielewa bado.
Putin sio kichaa kama Netanyahu anaeua mamia kwa mamia ya wanawake na watoto kwa makombora mazito huko Gaza.

Zelensky nae kwa ujinga uleule nae aweka vifaa na silaha kwenye maeneo ya makazi ili Russia alaumiwe kwa kuua watu.

Lakini angalia idadi ya watu wanokufa baada ya mashambulizi ya Russia kwenye military targets zake. Hivyo ni kwasababu wale majasusi wa Russia ndani ya Ukraine (saboteurs) hutakiwa kutoa data sahihi zikisaidiwa na zile Data za picha za satelite.

Anokifanya Ukraine na wafadhili wake kwa sasa (NATO) ni kujaribu kuwaondoka Russia kwenye reli ili warudi kwenye sehemu ambazo tiyari walikwishapita na wamefanya installations ya mitambo.

Jambo lingine ni kwamba Russia imepanga katika siku chache sijazo kufanya mashambulizi makubwa ambayo yataleta athari kubwa sana kwa Kyiv.

Na maeneo yenye shughuli za SBU (majasusi wa Ukraine) huenda yakashambuliwa kwa makombora ya masafa ya kati au "intermediate-range ballistic missiles".

Hali haitakuwa nzuri kwa Ukraine.
 
Back
Top Bottom