Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1748987755549.png

Daraja la Crimea linavunjwa huko
 
Russian forces advancing on key city​

Russian forces have widened the frontline in Ukraine's northeast as its soldiers captured another village yesterday, bringing the region's capital within the range of frontline drones.

The push towards the city of Sumy, the administrative centre of the Sumy region, comes after Kyiv hit Russian strategic bombers and the Crimean Bridge in recent days.

Wednesday 4 June 2025 12:15, UK

Putin tells Trump he will respond to Ukraine's airfield attack in phone call
We've just heard from Donald Trump on Truth Social, who says he has just finished a phone call with Vladimir Putin that an hour and 15 minutes.

He said the pair discussed Ukraine's attack on multiple airbases deep inside Russia over the weekend and revealed that Putin said he would have to respond to the attack.

Trump referred to the call as a "good conversation" but said it was not one that will lead to "immediate peace"...

It is the first time the US president has spoken to his Russian counterpart in just over two weeks, with their last call held on 19 May.

That conversation lasted two hours, and Trump described it at the time as being "excellent".
 
Ukitumia jicho la tai, Trump ni kama amemua kumtuliza Putin kimtindo coz baada ya lile shambulio.

Wamagharibi hawajui jamaa atajibu vipi hasa wale wazalendo huko Urusi wanataka majibu makubwa na ya kutisha.Jamaa kaahidi kulipiza kisasi.

Hili linaitwa pigo takatifu.Inasemekana baadhi ya bomber zilizolipuliwa zilikuwa zimeshabeheshwa makombora chapa cruise....
...
Some of the bombers were armed with cruise missiles when Ukraine’s drones rained down on them.
 
Hii vita inashangaza sana. Ukraine anatupa vimawe ndani ya Russia anaita mafanikio.

Russia yeye anaendelea kutwaa maeneo ya Ukraine. Sasa sijui aliyefanikiwa ni mrusha mawe au mtwaa maeneo?!
Ndugu yangu nadhani na wewe umeongea kama Mimi.
Kwa haya yanayotokea Mimi bado Naiona Russia kama taifa lenye nguvu sana kimapambano,kwa sababu NATO na Ukraine wameshindwa kuishinda Urusi kwenye uwanja wa mapambano.
Unajua Sasa hivi inaonesha Ukraine na NATO wamebadilisha mbinu za mapambano,wameingia kwenye mbinu za vita kwa staili ya ugaidi.
Kusema kweli ugaidi ni njia ya watu dhaifu kabisa kimapambano.
Siku za Nyuma west walikua wanawaita magaidi kama ni cowards Leo nao wao wameamua kutumia mbinu za cowards kukabiliana na jeshi imara la Urusi,mara baada ya kushindwa kuishinda Urusi katika uwanja wa mapambano.

Kusema kweli magaidi hutumia mbinu za kushambulia kwa kuvizia, Tena kwenye maeneo maalumu sio Kwa lengo la kushinda vita,Bali Kwa lengo la kutia hasara na kukera.
Kwa mfano,kushambulia club ya starehe hii sio kukomboa ardhi,Bali ni kukera,
Kupiga ndege zilizopaki,ambazo hazikua kwenye operation,hii ni kutia hasara.

Of course ina faida kivita maana lengo lake ni kupunguza uwezo wa jeshi la adui,lkn ingekua inaenda sambamba na kuurudisha nyuma majeshi ya adui na kukomboa maeneo yaliyotekwa,lakini bahati mbaya haiko hivyo na haimdhofishi adui Urusi katika vita hii,labda Kama itatokea vita nyingine ambayo pengine iwe vita yenye hadhi ya vita ya Dunia.

Magaidi walipiga WTC,balozi za USA nchini Tanzania na Kenya Kwa siku moja, walipiga melivita ya USS Cole huko Yemen na maeneo mengine yenye maslahi ya Marekani hapa duniani,lakini lengo halikua kuishinda USA kwa sababu walikua hawawezi kuishinda,Bali kuitia hasara na kukera.

Magaidi walishindwa kupigana na Marekani uso kwa uso kwenye uwanja wa vita,Kwa sababu hawakua na uwezo wa kuyashinda majeshi ya marekani.

Sasa Leo hii majeshi ya Ukraine yakisaidiwa na NATO yameshindwa na majeshi ya Urusi katika uwanja wa mapambano na, yamehamia kwenye vita vya kuvizia vya kigaidi kwa ajili ya kutia TU hasara, na wala sio kukomboa ardhi wala kuizuia Urusi isichukue maeneo zaid.

Katika vita,Ukiona jeshi linatoka katika mfumo wa kupigana vita katika uwanja wa mapambano na kuhamia katika vita vya kigaidi yaani kuvizia, na kupiga sehemu fulanifulani kama, kumbi za starehe na vitu kama hivyo ujue jeshi hilo Limeshashindwa vita.

Kwa mfano majeshi ya NATO na ukraine yangekua yamefanikiwa kuyazidi nguvu majeshi ya Urusi na kuingia miji mingi ya Urusi, na Urusi ikaonekana kuelemewa,leo hii nayo Urusi ingeanza kufanya mashambulio ya kigaidi.

Kwa kifupi Ukraine na NATO ni kama wamekata tamaa, na kuona ni Bora watie hasara TU, badala ya kujikita kukomboa maeneo Yao,au kuyarudisha nyuma majeshi ya Urusi.
Watu hawajui kua hata Urusi NATO inaweza kushambulia maeneo yoyote unayoitaka katika nchi yoyote ya NATO.
 
Unachokisema ni ukweli kabisa kwa sasa ni wazi upande wa Ukraine umeshapoteza vita, wala hakuna matumaini ya kurudi maeneo au kuwazuia Warusi wasiendelee kuteka tena maeneo.
Watu wanaona Trump kama chizi ila pamoja na uchizi wake kuna muda anaongea vitu vya kweli kabisa kama ukimsikiliza. Kama mnakumbuka alimwambia Zelensk"Unacheza na Vita ya tatu ya dunia na pia uwezi shinda hii vita".Trump aliongea vile akijua kabisa ili Ukraine awe mshindi basi ni lazima Ulaya na Marekani watoe jeshi lao lote waingine front, kitu ambacho akiwezekani kwa sababu hakuna umuhimu au ulazima wa wao kufanya ivyo.

Kitendo cha Ukraine kutumia Silaha zake kushambulia Urusi ni upotevu wa Silaha.kama uliweza kushambulia Kurks na kuchukua maeneo , sizani izo silaha zingeshindwa kuwarudisha nyuma Warusi. Unaangaika kushambulia Urusi wakati mji wa Sumy unakaribia kuanguka, hii kweli ni akili ya Vita.
 
Back
Top Bottom