Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nasikia Russia kachapika mbaya saana.

Ndege 40 zimekuwa jivuu

Mwenye taarifa kamili atupe Sisi warusi na WA yukrein WA huku bonyokwa
 
Kinacho wauma ni kuwa wamepigiwa kutoka kwao, hawakujua lolote lile wala nini kinawapiga
 
Ngoja tuone nini kitatokea, inasemakana Russia strategic forces wanaandaa majibu yenye mchanganyika wa drone,ballistic na hypersonic
Hii vita inaonekana kuna wanaotaka viishe na kuna wanao sabotage visiishe, maana zinapokaribia mazungumzo hua kuna mashambulizi pande zote mbili ili yakwame
Mazungumze ni kesho June 2, alafu matukio yametokea leo na lingine ni kesho
 
Inasemekana nani kakuambiawe mmakonde🤣🤣🤣🤣
 
2 railway bridges and one section of track have been blown up in Russia over the past 24 hours. 2 in Bryansk and 1 in Kursk. Russian sources report that 7 people have been killed, and 59 others wounded, including 3 children.

The GUR released a statement claiming responsibility for a section of railway tracks being blown up near Melitopol, Zaporizhzhia Oblast, however they are yet to comment on the ones in Russia.

Kremlin Spokesman Dmitri Peskov stated that Putin received reports from the FSB and the Ministry of Emergency Situations "throughout the night" regarding the incidents.

===============
PUTIN endelea kucheka nao mpaka wakutoe roho
Hammaz
View attachment 3352708
Changamoto ya Putin ni kwamba anataka aonekane ni bingwa wa mipango. Yaani ameghurika na kulevyeka na sifa alizopatiwa na watu kuonekana ni mastermind.

Mfano wa gharama kama hizi ambazo warusi wanapitia kulikuwa na uwezokano mkubwa wa kuziepuka. Alishauriwa na wanajeshi wake lakini alikataa.

Sidhani kama watoto wake wangeliuliwa kama adha wanayopitia warusi wengine angelikuwa anaendelea kujifanya aonekane kama anavyojifanya kwa sasa.

Ninachokiona Putin ni muuaji wa warusi wenzake. Mwache aendelee kumchekea Zelensky, ili warusi wenzake wauliwe zaidi. Namuona ni mpuuzi na ndiyo maana sishughuliki hata kwa sasa hivi kumfuatilia.
 
tokea mwaka jana hawa jamaa wa UKRAINE vita ilishawashinda, sielewi kwa nini PUTIN anajifanya nabii.
Mashambulizi ya kigaidi yataendelea mpaka hapo PUTIN atakapo badilika.
Putin ni aina ya watu ambao wanashiba sifa na mwishowe hata kama yupo kwenye athari mbaya lakini maadamu anataka kuthibitisha kuwa zile sifa alizopatiwa si za bahati mbaya mwisho wa siku athari zinawakuta wenzake kwa kukataa kuchukua maamuzi sahihi.

Kwamba yeye ni mastermind. Kwamba yeye ni akili nyingi na mipango mikubwa.

Bunge la Duma lilimwambia amalize kazi. Makamanda wa kijeshi walimwambia amalize kazi.

Ila yeye anaona bado! Yeye ni akili nyingi na mipango mikubwa.

Ngoja siku ategewe bomu awe mlemavu ndiyo atakuwa na akili ya sawa sawa.
 
Changamoto ya Putin ni kwamba anataka aonekane ni bingwa wa mipango. Yaani ameghurika na kulevyeka na sifa alizopatiwa na watu kuonekana ni mastermind.

Mfano wa gharama kama hizi ambazo warusi wanapitia kulikuwa na uwezokano mkubwa wa kuziepuka. Alishauriwa na wanajeshi wake lakini alikataa.

Sidhani kama watoto wake wangeliuliwa kama adha wanayopitia warusi wengine angelikuwa anaendelea kujifanya aonekane kama anavyojifanya kwa sasa.

Ninachokiona Putin ni muuaji wa warusi wenzake. Mwache aendelee kumchekea Zelensky, ili warusi wenzake wauliwe zaidi. Namuona ni mpuuzi na ndiyo maana sishughuliki hata kwa sasa hivi kumfuatilia.
Acha ujinga wewe yani wewe uwe na akili kumzidi Putin🤣🤣🤣.
Yani izo gharama zinafananan na thamani ya Ardhi?
 
Back
Top Bottom