D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hivi uzi huu umeondolewa Label ya LIVE kwa sababu SMO imekamilika au kwa sababu mazungumzo ya Amani yameanza au kwa sababu EU na wenzao wamechemsha?Naona sasa NATO ndio wameamua wakazungunze na Urusi huko Instanbul june 2, badala ya Ukraine
Labda sababu uwanja umeinama na kwa yule asiyetakiwa ku perfomHivi uzi huu umeondolewa Label ya LIVE kwa sababu SMO imekamilika au kwa sababu mazungumzo ya Amani yameanza au kwa sababu EU na wenzako wamechemsha?
Kipanya upo?
====
It has been clear from the very beginning of the Ukraine conflict that Russia cannot be defeated, particularly due to its nuclear status, German Foreign Minister Johann Wadephul has told the SZ newspaper.
Nimepata tabu kidogo kupata huu uziLabda sababu uwanja umeinama na kwa yule asiyetakiwa ku perfom
Walivyo iondoa hiyo live label hata kuupata uzi ni changamoto. Naomba irudishwe label ya LiveHivi uzi huu umeondolewa Label ya LIVE kwa sababu SMO imekamilika au kwa sababu mazungumzo ya Amani yameanza au kwa sababu EU na wenzako wamechemsha?
Kipanya upo?
====
It has been clear from the very beginning of the Ukraine conflict that Russia cannot be defeated, particularly due to its nuclear status, German Foreign Minister Johann Wadephul has told the SZ newspaper.
Sasahivi hakuna jipya tena. Pia nadhani bora ikabaki hivihivi maana sasahivi asilimia 90% kinachopostiwa humu hakina ukweli zaidi ya kutambiana na mahaba niue.Walivyo iondoa hiyo live label hata kuupata uzi ni changamoto. Naomba irudishwe label ya Live
2 railway bridges and one section of track have been blown up in Russia over the past 24 hours. 2 in Bryansk and 1 in Kursk. Russian sources report that 7 people have been killed, and 59 others wounded, including 3 children.PUTIN ndiye muuaji wa makamanda wa RUSSIA na si magaidi wanaotumwa na UKRAINE.
Lini umesikia kiongozi wa ISRAIL ameuliwa Tel Aviv na wanamgambo wa Hamas.
Hammaz
Tukisema ukweli tunaitwa team Genocide
Unaongea ukiwa umejifunika shuka nyuma ya keyboard eti Ukraine vita imewashinda 🤣🤣🤣🤣tokea mwaka jana hawa jamaa wa UKRAINE vita ilishawashinda, sielewi kwa nini PUTIN anajifanya nabii.
Mashambulizi ya kigaidi yataendelea mpaka hapo PUTIN atakapo badilika.
Takwimu zinaongea na si hisiaUnaongea ukiwa umejifunika shuka nyuma ya keyboard eti Ukraine vita imewashinda 🤣🤣🤣🤣
Kweli takwimu zinaongea ndio maana ukraine inamjambisha kubwa jinga urusi mwaka wa nne huu kubwa jinga linahaha🤣🤣🤣🤣Takwimu zinaongea na si hisia