Zero 2 Hero
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 649
- 1,461
St Petersburg ndio ilivyokuwa inaitwa INGRIA ilibadilishwa jina na Peter the great
Hata St Petersburg ilikua Sweden
Hata St Petersburg ilikua Sweden
Sasa hapa wameyakanyaga nasikia CNN wamesema Russia anatupa ballistic missiles zenye uwezo wa kufanya maneveurUKRAINE TRIED TO KILL PUTIN!
Vladimir Putin's helicopter was attacked by Ukrainian drones in the Kursk region.
This happened on May 20, said the commander of the air defense division, Yuri Dashkin.
The intensity of the attack by Ukrainian drones on the Kursk region, when Putin was flying there, was "unprecedented."
Sasa hapa wameyakanyaga nasikia CNN wamesema Russia anatupa ballistic missiles zenye uwezo wa kufanya maneveur
Kwahyo decoy znaspeed kuliko iskander? Pili zile walizosema hakuna ADS inaweza zuia n zp?Yani zile missile zinakuwa na decoy.kwa iyo walichofanya Warusi ni kuziwekea systerm ya kutambua ikiwa imeingia kwenye 18 za SAM.
Systerm ikishatoa taarifa basi zile decoy zinawai kutangulia kabla ya kombora lenyewe kufika. Ukiangalia kilichotokea kwenye batttle ya Patriot na Iskandel utaona kabisa Warusi wameleta ujanja.kulikuwa na mifumo miwili ya Patriot na yote imetungua zaid ya makombora 10 ila baadae tunaona milipuko ya makombora mawili sehemu tofauti tofauti.
Kwa iyo Patriot zilikuwa zinatungua decoy.
OreshnikKwahyo decoy znaspeed kuliko iskander? Pili zile walizosema hakuna ADS inaweza zuia n zp?
Sema kipigo anachopokea Ukraine hiz sku 2 hatorudia tenaOreshnik
Yah decoy zinakuwa fasta kusambaa na kuwai eneo la tukio ili kupoteza maboya vizuriKwahyo decoy znaspeed kuliko iskander? Pili zile walizosema hakuna ADS inaweza zuia n zp?
Ndio dawa ya toto lisilo na adabu.Sema kipigo anachopokea Ukraine hiz sku 2 hatorudia tena
Atarudia tu. Lengo ni yeye apigwe zaidi ili aonewe huruma ila apewe misaada zaidi na ikiwezekana asaidiwe kuwekewa ni fly zone na kuwavuta wakubwa zake waingie frontSema kipigo anachopokea Ukraine hiz sku 2 hatorudia tena
No fly zone Kwa Russia haitamsaidia lolote, SI hayo ma ADS yote wanayoyaamini wamepewa na wanabondwa, au hyo no fly zone inafanya Kaz vp?Atarudia tu. Lengo ni yeye apigwe zaidi ili aonewe huruma ila apewe misaada zaidi na ikiwezekana asaidiwe kuwekewa ni fly zone na kuwavuta wakubwa zake waingie front
Kuna watu wanapenda kupigwa mkuuSema kipigo anachopokea Ukraine hiz sku 2 hatorudia tena
No Fly Zone maana yake unamlazimisha adui yako asiweze kutumia anga, ili uweze kuweka No fly zone basi hapo inabidi uwe na SAM(surface to air missile) za kueleweka na pia uwe na AAM(air to air missile) zinazorushwa na ndege.Atarudia tu. Lengo ni yeye apigwe zaidi ili aonewe huruma ila apewe misaada zaidi na ikiwezekana asaidiwe kuwekewa ni fly zone na kuwavuta wakubwa zake waingie front