D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102

Adm arudishe LIVE. AsijisahaulisheMbona uzi umeondolewa LIVE, au vita imeisha?
Urusi ilitamba eti itamaliza vita wiki Moja tu na Ukraine kifuatacho ITv bwana Putin anachapika tu na hao masela aisee kweli mkwara haufai inabidi uingie ground ukionne Cha moto
Aisee anachapika tu na zelensky hataki mazungumzoAlifanya makosa kuivamia Ukraine. Vita inaleta mateso na inafilisi. Sijui nani alimdanganya achukue option ya vita
Alifanya makosa kuivamia Ukraine. Vita inaleta mateso na inafilisi. Sijui nani alimdanganya achukue option ya vita
[/QUOTE yaani wewe Mluguru wa Matombo unajua zaidi kuliko Urusi??. Mtu upo Matombo ambaye huna akili hata ya kutengeneza kiwembe cha kunyolea eti unakuwa mjuaji kuliko Russia.
Sisi level, zetu ni DRC , Uganda Sudan, Somalia nk
Ilete hapa hiyo speech ya kumaliza vita ndani ya will Moja , Ili na sisi tuioneUrusi ilitamba eti itamaliza vita wiki Moja tu na Ukraine kifuatacho ITv bwana Putin anachapika tu na hao masela aisee kweli mkwara haufai inabidi uingie ground ukionne Cha moto
Ilete hapa hiyo speech ya kumaliza vita ndani ya will Moja , Ili na sisi tuione
Ilikuwa masaa 72 (siku 3) sasa hivi imefeuka kuwa wiki?Urusi ilitamba eti itamaliza vita wiki Moja tu na Ukraine kifuatacho ITv bwana Putin anachapika tu na hao masela aisee kweli mkwara haufai inabidi uingie ground ukionne Cha moto
Kumbe ni masaa 72 hahaha 🤣😂🤣🤣Ilikuwa masaa 72 (siku 3) sasa hivi imefeuka kuwa wiki?
Unaweza kutoa nukuu yoyote wa kiongozi yoyote wa Urusi aliyesema kwamba watamaliza SMO ndani ya huo muda?
Huyu mzee akitoa utabiri wake kuhusu china, matomea yake huwa yanakuwa opposite mara zote