Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Ila Putin anaye amelegeza msimamo.Vitu vingine vinachekesha kwamba comedian Alitaka kukutana na leutenant colonel V Putin kienyeji hivyo? Amesahau kwamba alishafuta uwezekano wa negotiation na Russia miezi ya mwanzo wa vita . Alijisahau kwamba kama alivyosema jamaa mmoja humu kwamba alibeti ushindi dhidi ya taifa kubwa zaidi kijeshi duniani kwa fedha na silaha za EU, US.
Hao EU na US wamegundua Russia haiwezekani wanamsukuma sasa huku wakimwambia dogo ongea na father Putin la sivyo utazidi kupoteza ardhi zaidi. Kwa mbali dogo Ameanza kuelewa na sasa anamtaka father Putin wachonge . Faza hana mengi. No UKRONATO . No military aids. No negotiations on occupied land. Faza ndo kwanza hataki kuongea na kibaraka.
Aliweka masharti ya kuanza kwa mazungumzo - mojawapo Zelensky aondoe ile amri yake.