Hiyo ni kwa mtazamo wa CCM kwa CHADEMA, kama Russia et- al wanavo iona ukraine ilivyo jaa wanazi.
Hiyo ni kwa mtazamo wa CCM kwa CHADEMA, kama Russia et- al wanavo iona ukraine ilivyo jaa wanazi.
Kwa mtu aliyelikumbatia buyu la asali, huku akilamba asali iliyomo kwenye hilo buyu masaa 24/7! Akiona mtu mwingine analisogelea hilo buyu, lazima tu atamuona ni adui mkubwa kwake.
Waelewe wale wanaosema bila Marekani, Rusia angeshindwa vita.Kama Urusi angekuwa upande wa Hitler basi ulaya ingekuwa inatawaliwa hadi leo.maana asilimia 80% ya jeshi la Hitler lilishia Urusi
Hahaha unajua siyo kila ukiogopacho ni ugaidi.
You must exclude alqaeda because they are bunch of gangsters claiming to be freedom fighters.Mkuu, consider the Middle East, for instance, where the Palestinians and the Iranians and most of the Arab countries see Hamas, Hezbollah, Jihadists, and even the notorious Al-Qaeda not as obnoxious terrorists but rather the inevitable freedom fighters.
Source? “KYIV INDEPENDENT!!!”!!! Hama kweli duniani kuna MAMBO.Ikumbukwe kila siku iendayo warusi wanazidi kuchinjwa tu,hii ni Jana, zaidi ya elf Moja na miamoja walilambishwa mchangaView attachment 3331972
Huyo mahesabu yake utumia Quantum computers not conventional Computers!!.RUSSIA AND UKRAINE EXCHANGED BODIES AGAIN!
- 34 bodies of dead Russian soldiers
- 909 bodies of dead Ukrainian soldiers
-> The ratio is about 27 Ukrainians for 1 Russian … devastating.
Russia wamekufa 100,000
Alisikika kipanya
The Ukrainian military has confirmed the loss of another US-designed F-16 fighter jet as it was repelling a Russian strike. This marks the third such incident since Kiev started receiving the advanced warplanes from the West.Source? “KYIV INDEPENDENT!!!”!!! Hama kweli duniani kuna MAMBO.
No bado, zitapukutishwa kweli kweli.The Ukrainian military has confirmed the loss of another US-designed F-16 fighter jet as it was repelling a Russian strike. This marks the third such incident since Kiev started receiving the advanced warplanes from the West.
According to the Ukrainian Air Force, all communication with the jet was lost at approximately 3:30am on Friday while it was carrying out a defensive combat mission. No data was provided regarding the location of the crash.
===
Dog fight imemshinda hewani akiwa na ndege inayoaminiwa sana na Ulaya Magharibi Amerika!!!
Wanapoteza tu muda wao ila hakutakuwa na makubaliano zaidi ya kukubali ardhi ibaki kwenye mikono ya WarusiUbabe
Ukrainian media claim that the Russian delegation demanded a full Ukrainian withdrawal from four regions.
When the Ukrainian side refused, the Russians reportedly stood up and warned that next time, the demand would include five regions
Wao wanauliza, ushahidi mnao au ni mambo tu ya kusingiziana na kuchafuana?Hahaha unajua siyo kila ukiogopacho ni ugaidi.
Chadema wanaogopwa na majambazi ya ccm, lakini haimaanishi chadema ni magaidi.
CCM wanaumiza wananchi sana wanateka, wana vunja watu miguu, wanawatesa wanaowakosoa, na hata wanawapoteza wanaowakosoa.
Ccm wana majeshi ya kutekeleza utekaji, utesaji, upotezaji hadi kufunga wakosoaji, wewe unajua maana ya neno UGAIDI au TERRORISM?
Sasa kati ya CCM na CHADEMA nani GAIDI?
Hizi ni faida za kushikilia mpini na wala siyo makali ya upanga, kwenye majadiliano.Ubabe
Ukrainian media claim that the Russian delegation demanded a full Ukrainian withdrawal from four regions.
When the Ukrainian side refused, the Russians reportedly stood up and warned that next time, the demand would include five regions