Sikukuita. Safari njemaHaya basi najiondoa kwenye mjadala na wewe.
Ukiandika ntakuq nasoma TU.
Kubali kuwa kiingereza hujuiFuatilia mkuu, hiyo statement ya Zelensky
![]()
Ukraine not responsible for safety of foreign officials traveling to Moscow for May 9 parade, Zelensky says
Ukrainian President Volodymyr Zelensky cautioned that Russia could orchestrate provocations, including “arsons, explosions, or other actions,” and then attempt to blame Ukraine.kyivindependent.com
Ni kweli kabisa, sijuiKubali kuwa kiingereza hujui
Hii movie sijui tuiiteje?Ngoja tuone nini kitafuata baada ya Urusi kukataa maelekezo ya sitisho la vita kwa siku 30, kutoka coalition of the willing bila kushirikishwa.
Urusi nae kasema anatuma wawakilishi wake kufanya mazungumzo ya kusitisha vita na Ukraine instanbul bila ya kuwapa taarifa rasmi Ukraine bali kupitia media
Je Ukraine wataenda?
Na coalition nao watafanya nini?
Hahahahahah Trump anampiga kijembe Putin na Russia kuwa wasingeshinda World war two bila USA.Trump kamwambia zelensky akubali masharti ya Putin vita iishe,sasa tukumbuke zelensky alisaini decree ya kutokufanya mazungumzo na Russia 🇷🇺, Acha tuone.
View attachment 3331317
Hahahahahah Trump anampiga kijembe Putin na Russia kuwa wasingeshinda World war two bila USA.
Kama Urusi angekuwa upande wa Hitler basi ulaya ingekuwa inatawaliwa hadi leo.maana asilimia 80% ya jeshi la Hitler lilishia UrusiHivi Urusi ingeungana na Ujerumani vita kuu ya pili ya Dunia wasingeshinda?
Anaongea tu anachojisikia.huyu ana shida kubwa sana kwenye ubongo wakeHahahahahah Trump anampiga kijembe Putin na Russia kuwa wasingeshinda World war two bila USA.