Hakuna nchi inajitosheleza na kupigana peke yake.
-Russia juzi wamekiri kuwa na askari toka korea baada ya report ya askari 600 wa korea kuuliwa.
- Kuna raia wa china walikamatwa wakipigana upande wa Russia
- Russia anatumia drones toka iran.
Ushirika kwenye vita ni jambo la lazima.
Sawa!
haya Sasa, tufanye hesabu za kwenye vijiwe vya kahawa.
UKRAINE
Inasaidiwa na:
The 32 current member states of NATO are USA, Albania, Belgium, Bulgaria, Canada, Croatia, the Czech Republic, Denmark, Estonia, Finland, France, Germany, Greece, Hungary, Iceland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Montenegro, the Netherlands, North Macedonia, Norway, Poland, Portugal, Romania, Slovakia, Slovenia, Spain ...
URUSI
inasaidiwa na:
China
Korea kasakazini
Iran
Sasa niambie china ametoa silaha ngapi?
Korea kasakazini ametoa silaha ngapi?
Na Iran ametoa silaha ngapi?
Pia usisiste kuniambia USA na machawa wake wametoa silaha ngapi.
Kisha niambie nani amefaidikia na misaada na ameachieve nini kati ya Urusi na Ukraine.
Nimeona nikufurahishe kuhusu kile unachodai raia sijui wawili wa china waliokamatwa vitani.
Sasa sijui kama raia wawili wa china waliojiamulia kwenda vitani upande wa Urusi kwa hiari Yao sioni kama serikali ya china ilipeleka jeshi lake kuisaidia Urusi.
Nakumbuka kulikua Kuna Mtanzania alikufa vitani akiwa upande wa Urusi,lakini Tanzania hatukupeleka jeshi letu huko.