Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani eneo la madini kwenye dili ni lile ambalo liko chini ya occupation ya Russia?

WHICH UKRAINIAN RESOURCES ARE UNDER KYIV'S CONTROL?​


About 40% of Ukraine's metal resources are now under Russian occupation, according to estimates by Ukrainian think-tanks

The country has titanium reserves, mostly located in its northwestern and central regions, while lithium is found in the centre, east and southeast.

May 1, 2025

 
Watayachimbaje ili hali vita inaendelea trump ni kichwa maji .. hivi ikitokea russia ameikata ukrain kwa 70% hayo madini usa atakuja kuchimba wapi kwa usalama upi
Huo mkataba wa madini ni namna moja kwa Marekani kujiondoa kwenye vita vya Ukreni - angalau ili isionekane kwa dunia kwamba US kashindwa na kutoka mikono mitupu.

Usisahau kwamba vita vya Ukreni, na hasa vikwazo alizowekewa Russia, vimegeuka kuwaathiri wao wenyewe kiuchumi. Hilo liko wazi kabisa.

Isitoshe, Trump alishawaambia kitambo Ukreni hata wafanyeje, hivyo vita hawawezi kushinda - na NATO wanalijua hilo.

Kinachofanyika ni kwamba ipo syndicate fulani inapenda hivyo vita viendelee bila kujali matokeo ya mwisho, ilimradi tu wao wanafaidika kwa namna moja au nyingine

Hapa mifano kadhaa ni majaribio na uuzaji wa silaha, biashara zingine chafu, rushwa, ufisadi na hata majaribio ya kibaiolojia maabara na biashara za viungo vya binadamu.

Hivi unadhani NATO inaipenda sana Ukreni kuliko matumbo yao wenyewe?

After all, wapo wanaowaona Waukreni kama Warusi walewale tu.

Yaani, Ukreni bila utajiri wao wanaoufaidi hao wapenda vita, inaonekana kama Russia tu.

Si ajabu Trump aliwakomalia kuwadai $500B za msaada waliopewa.
 
U.S kajitoa kwenye mazungumzo ya amani Ukraine
Jasmoni Tegga
Siwezi kushangaa kwa sababu kipaumbele cha Marekani nchini Ukreni hakijawahi kuwa maendeleo yao, bali kutanua maslahi yao wenyewe.

Sasa ukizingatia Trump ni Marekani kindakindani, ndiyo kabisaa!

Naifananisha Ukreni na mtu aliyealikwa kwenye chakula ilhali yeye mwenyewe akiwa katika menyu hiyo.
 
Siwezi kushangaa kwa sababu kipaumbele cha Marekani nchini Ukreni hakijawahi kuwa maendeleo yao, bali kutanua maslahi yao wenyewe.

Sasa ukizingatia Trump ni Marekani kindakindani, ndiyo kabisaa!

Naifananisha Ukreni na mtu aliyealikwa kwenye chakula ilhali yeye mwenyewe akiwa katika menyu hiyo.
Kwamba Ukraine 🇺🇦 is among the important ingredients for that recipe.... Hawa jamaa wamesha potea rasmi..... Ni ukweli usiopingika kuwa maeneo yanayoshikiliwa na Russia 🇷🇺 hayataweza fikiwa kirahisi na mkoloni mpya 🇺🇸 ...
 
Ukiona Tabia hizi katika vita ujue jeshi hilo limeshashindwa vita.
Kuanza kushambulia nyumba za ibada

3 May, 2025 16:23

Ukrainian drone strikes Russian Orthodox church​

Last week, a similar UAV attack destroyed the iconic New Jerusalem complex in Russia’s Belgorod Region
Ukrainian drone strikes Russian Orthodox church


A Ukrainian drone has targeted a Russian Orthodox church in Belgorod Region, setting fire to the building, the local governor, Vyacheslav Gladkov, has reported.
In a post on his Telegram channel on Saturday, Gladkov wrote that the “the enemy is striking our holy sites again – an enemy drone has attacked Saint George Church in the village of Tolokonnoye,” not far from Belgorod. According to the official, the building’s domes caught fire as a result of the incident.
 

Putin says Russia has the strength to finish Ukraine operation​


"We have enough strength and means to bring what was started in 2022 to a logical conclusion with the outcome Russia requires."

May 4, 2025

 
Back
Top Bottom