Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Worst times indeed for kp kipanya44 and his buddies!!!

Unaambiwa jamaa akitaka kuoga, basi anahisi baridi kali hatari.

Then akienda kufungulia hot tab, ghafla mwili wote unamfukuta joto si la sayari hii.

Hajui ashike wapi au amwamini nani.

Zelenskyy amemsaliti baada ya kuzidiwa ujanja na Putin, na sera mpya za Marekani.

Sasa yuko katika harakati zilezile za kumpigia magoti bepari la mabepari - Marekani.

Is it not very suprising, the subject matter now isn't about retaking their occupied territories, but whether or not to cede them to Russia - for ever!

Sie tunauliza si kwa ubaya, kama yuko tayari kumnyoshea mikono Urusi sasa, kulikuwa na haja gani ya kuingia naye vitani mwanzoni?

Ndiyo kusema Zelenskyy hakuwa na karata yoyote tangu siku ya kwanza, kama asemavyo Trump?

Bila shaka huo ni ukweli usiopingika!

Hili ni somo kwa mataifa mengine: usimtegemee mwingine 100% kwa ajili ya vita vyako mwenyewe.

Kamwe usitumike kwa maslahi ya wengine.

Ukikubali kuuingia huo mtego, utatumika wee (kama Mobotu Seseko wa Zaire), halafu wakishakunyonya sukari yote then wanakutema kwa karaha kama makapi ya miwa!

Kituko cha mwaka sasa, eti Marekani anamdai Ukreni fedha zote za misaada aliyopewa!

Hebu fikiria kama Zelenskyy angejua hili mapema, hivi angekubali kweli kuingia kuzichanga na Putin?

Angekataa kusaini yale makubaliano ya kuepusha vita wakati ulee kabla ya Februari 2022?

Akili za kuambiwa, changanya na zako!
 
W
hapo nyuma RUSSIA walikuwa wanakanusha uwepo wa wanajeshi kutoka KOREA YA KASKAZINI,
Hapo juzi bwana GERASIMOV alipokuwa anawasilisha ripoti ya kukamilika kwa operesheni ya kuwaondoa wavamizi mitaa ya KURSK alisikika akitoa pongezi kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini kwa kushiriki kwao bega kwa bega kwenye operesheni hiyo.

leo hii PUTIN pia ametoa pongezi kwa wanajeshi wa DPRK.
Wataalamu hii ina maana gani,
kwa nini iwe wakati huu ambapo mission imekwisha
=========
Putin praises ‘heroism, dedication’ of DRPK troops for helping defeat Ukrainian forces in Kursk Region

He said they 'defended our Motherland as their own... covering themselves with unfading glory.'
Walikuwa mafunzoni kwa vitendo ni fursa ambayo hata china anatamani kuipata maana inafanya jeshi kuwa dhabiti kweli kweli hivyo kitendo cha kijinga cha Ukraine kuvamia ardhi ya urussi kilitoa mwanya wa urussi kukubali maombi ya kiduku ya kujifunza vita katika ardhi ya urussi...maana aikuwa vyema kiduku kuingia ukrain kujifunza vita ingeleta sura mbaya.
 
Russian forces recently advanced in Sumy Oblast and near Kupyansk, Siversk, Toretsk, and Novopavlivka.

April 28, 2025, 8:15 pm ET

 
Duh,mipango inaendelea, watu wanaangalia yajayo!

Russia is reportedly expanding its military infrastructure along its border with Finland and stockpiling new tanks, likely in preparation for future aggression against NATO.

April 28, 2025, 8:15 pm ET

 
W

Walikuwa mafunzoni kwa vitendo ni fursa ambayo hata china anatamani kuipata maana inafanya jeshi kuwa dhabiti kweli kweli hivyo kitendo cha kijinga cha Ukraine kuvamia ardhi ya urussi kilitoa mwanya wa urussi kukubali maombi ya kiduku ya kujifunza vita katika ardhi ya urussi...maana aikuwa vyema kiduku kuingia ukrain kujifunza vita ingeleta sura mbaya.
Na sisi sijui tungepeleka hawa jamaa zetu?
 
Leo EU wanakesha. Ha ha haaa!
====
‘Real de-Nazification’ would include all Europe – Medvedev
A regime similar to Kiev’s must not be allowed to take root in any nation, the former Russian president has said
Medvedev fundi sana wa kuwakera NATO.

Kichwa fyatu hiko.

Angekuwa ndiye mshika usukani, mambo ingewa bull bull dhidi ya viherehere wa Magharibi.
 
Usipokwa na
Mkuu, jeshi letu liko thabiti sana. Tunasifika na kuheshimika ndani na nje ya bara la Afrika.m

Mkuu, jeshi letu liko thabiti sana. Tunasifika na kuheshimika ndani na nje ya bara la Afrika.
Kama warusi walifeli vibaya mwanzoni mwa vita kwa kukosa uzoefu itakuwa nyie mnaojisifu kwa landforce? Practical halisi kwenye field za Kavita ndo alichomaanisha jamaa. Huko askari ataipata hofu halisi ya battle field, huko atapata ujaSiri zaidi kuliko live fire drills
 
Hueleweki
Kitu gani usichokielewa hapo.unaona Urusi imepakana na mikoa mitano ya Ukraine(Chernihiv, Sumy, Kharkiv, Luhansk na donesk. Sasa ili wasiweze kupata uvamizi mwingine kama ilivyotokea Kurks basi ni lazima iyo mikoa waimege ili watengeneze sehemu salama ili vikosi vya Ukraine visiweze kuingia tena Urusi.Ndo maana wameingia Sumy na Kharkiv na Wameanzisha mashambukizi Chernihiv
images (1).jpeg
 
W

Walikuwa mafunzoni kwa vitendo ni fursa ambayo hata china anatamani kuipata maana inafanya jeshi kuwa dhabiti kweli kweli hivyo kitendo cha kijinga cha Ukraine kuvamia ardhi ya urussi kilitoa mwanya wa urussi kukubali maombi ya kiduku ya kujifunza vita katika ardhi ya urussi...maana aikuwa vyema kiduku kuingia ukrain kujifunza vita ingeleta sura mbaya.
Akili kubwa sana elimu inachangia sana kwenye maamuzi na mikakati
 
Takwimu zilitoka mwezi uliopita majeshi bora Afrika top 20 Tanzania hilo tunajipa kichwa tu Anna kitu kama mission ya congo tu wanauawa na hawajakomboa chochote
Mkuu, tatizo la Kongo siyo udhaifu wa jeshi letu, bali siasa mbovu ndizo zimeivuruga.

Jeshi letu lilimtimua Nduli, hadi wimbo wa masimango akatungiwa jamaa.
 
Back
Top Bottom