Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Amna silaha inayosifiwa kama THAAD , na inacost karibia 8B dollar kama 25t za kitanzania na pia ndo waarabu huwa wanadanganywa kuwa usa itakulinda kumbe amna kitu na hizo gharama sijui walitumia nini kuziweka hapo
mkuu kwa nowdays hakuna mfumo bora wa ulinzi ni rahisi kuvumbua makombora lakini mifumo ya kuzuia hayo makombora ni kizungumti,thaad haina tofaut na S5 ya mrusi ,kazi ni zilezile mifumo ya squency ni ileile, tofauti ni technology,ila utendaji ni ule ule,ni kaba basi la makopolo ni ghal lakini linafika dar mda mmoja na yutong ya mchina.sasa hivi nchi inasifika kwa makombora yasiyozuilika wala si mifumo,mifumo ni kitu cha baadaye baada ya makombora kufanya kazi yake
 
kwani S 4,na ndege za kisasa kabisa za russia,vifaru bora, vilienda wap? unajua equipments na askar wa russia waliopoteza ?hii vita bila hizo silaha za mmarekani unazoponda ingefika mwaka wa tatu?mkuu unatakiwa kujua hakuna taifa lenye silaha nyingi za kivita kama USA, ikifatiwa na Russia.
Shida sio kuangalia nani kapoteza nini, tunaangalia nani kapata nini.
Kwenye vita wote wanapoteza lakini alistrong ndie anagain
 

‘Immortal Regiment’ marches held across Africa (PHOTOS)​

Dozens of people joined the events in DR Congo, South Africa, Angola, Tanzania, and elsewhere
‘Immortal Regiment’ marches held across Africa (PHOTOS)

People take part in ‘Immortal Regiment’ marches honoring World War II veterans, in Cape Town, South Africa. © Telegram / @RusConsCT
‘Immortal Regiment’ marches honoring World War II veterans have been held in several African states, leading up to Russia’s Victory Day celebrations on May 9.
===
Victory Day, May 9. Tanzania tumeshiriki
 
Ingekuwa ni Ukweli, Urusi ingekuwa na wakati mgumu mno kuliko Sasa.

Urusi ndio imeshatumia Kila silaha waliyonayo isipokuwa nuclear.

T14 Armata
Mrusi anatumia Silaha mpya kufanya majaribio.mfano yale makombora ambayo hata Marekani na Nato walibaki na mshangao, awakuwai kuona kitu kama kile kwa hapa Duniani.
 
SILAHA ALIZOPEWA UKRAINE NI KWA AJILI YA KUJILINDA HAKUPEWA RUHUSA YA KULENGA URUSI MOJA KWA MOJA ,PIA ALIPEWA SHORT RANGE WEAPONS AMBAZO NI KWA AJILI YA KUJILINDA TUU, HATA MIFUMO YA ULINZI WALIYOPEWA NI MICHACHE, IMAGINE WANAPEWA NDEGE 8 ZA F-16,VIFARU 14 VYA JEOPARD,THEN UKABILIANE NA TAIFA LA PILI DUNIAN KWA UBORA WA KIVITA NI KICHEKESHO SANA KUSEMA ALIPEWA SILAHA ZOTE ,
PIA SWALA LA KUWA NA NUCLEAR WAR HEADS NYING SIYO USHINDI WA VITA VYA NUKE, WAR HEAD 200 ZINATOSHA KUANGAMIZA ASIA YOTE,HIZO ALIZO NAZO MRUSI NI MAJUMUISHO YA ZILE ZA ZAMANI ZA KUBEBWA NA NDEGE,NOWDAY CHINA ANA NYUKLIA WARHEAD KAMA 200 ,ILA NI HATARI MNO HATA KAMA UNA 5000 NI KUJAZA MAGHALA BUR

We izo taarifa umezipata wapi mbona unataka kutulisha matango pori.Ukraine msaada wa Vifaru tu peke yake vinafika hata 1000. Izo Leopard zinafika 100 na zaidi.iyo Data ya vifaru 14 umeipata wapi?
 
Na
Uwe unaelewa kiongozi, nimesema kasi ya uzalishaji wa silaha wa Russia upo juu kuliko EU na US wote kwa pamoja.. katika hiki kipindi cha vita.

Kuhusu wingi wa silaha sifahamu.

Russia hiki kipindi cha vita wanazalisha silaha mara tatu zaidi ya NATO ikwemo US unaelewa?

Kingine nilichosema silaha anazotoa EU na US wakijua Ukraine itamzidi Russia kivita, matokeo yake imekuwa ni kupunguza kasi ya Ukraine kuzidi kumezwa, hivyo hakuna muaorobaini wa kupambana na Russia kuiokoa Ukraine zaidi ya nuclear war..

Mwenye nuclear , Russia ina silaha za nuclear nyingi zaidi kuliko US..
Na wala ujakosea upo sahihi kama kuna mtu atabishana na wewe mwambie alete Data.Russia ndo nchi ya kwanza duniani yenye silaha nyingi kuliko nchi yoyote ile.
 
we jamaa mbishi sana ,kwa hiyo unakiri mwenyewe hawakupewa silaha zote.bali walipewa za kuslow down,alafu unaposema Russia ana silaha kuliko Marekani uje na twakwimu siyo blablaa,na pia ufahamu had mda huu asilimia 75%ya ukraine iko mikononi mwa USA,
Nani alikwambia kuwa USA anamzidi Mrusi kwa Silaha?.Unafikili mambo ya Silaha za Urusi kuna mtu anaweza kwenda kuhesabu na kujua idadi yake?
 
SILAHA ALIZOPEWA UKRAINE NI KWA AJILI YA KUJILINDA HAKUPEWA RUHUSA YA KULENGA URUSI MOJA KWA MOJA ,PIA ALIPEWA SHORT RANGE WEAPONS AMBAZO NI KWA AJILI YA KUJILINDA TUU, HATA MIFUMO YA ULINZI WALIYOPEWA NI MICHACHE, IMAGINE WANAPEWA NDEGE 8 ZA F-16,VIFARU 14 VYA JEOPARD,THEN UKABILIANE NA TAIFA LA PILI DUNIAN KWA UBORA WA KIVITA NI KICHEKESHO SANA KUSEMA ALIPEWA SILAHA ZOTE ,
Upo sahihi, Ukraine angepewa 'offensive weapons' kwa kiasi alichohitaji Urusi ingepata tabu mno.

Alafu Ukraine imepewa silaha chache tu tena kwa kuchelewa sana na kwa masharti mengi yanayodhibiti matumizi yake.
 
we jamaa mbishi sana ,kwa hiyo unakiri mwenyewe hawakupewa silaha zote.bali walipewa za kuslow down,alafu unaposema Russia ana silaha kuliko Marekani uje na twakwimu siyo blablaa,na pia ufahamu had mda huu asilimia 75%ya ukraine iko mikononi mwa USA,

Sasa tuambie wewe mjuvi wa mambo,

ni kwanini Marekani pamoja na washirika wake wasimpe Ukraine silaha za kumuwezesha kushinda hii SMO ili hali hizo silaha wanazo kwenye maghala yao? ....

Unasema 75% ya Ukraine ipo chini ya marekani,...je hizo asilimia alizochukua Russian tangu SMO ianze, vp marekani hazitaki? ama NATO na Ukraine wanafurahia kwamba zipo chini ya Russian mpaka leo hii?
 
Upo sahihi, Ukraine angepewa 'offensive weapons' kwa kiasi alichohitaji Urusi ingepata tabu mno.

Alafu Ukraine imepewa silaha chache tu tena kwa kuchelewa sana na kwa masharti mengi yanayodhibiti matumizi yake.
Mkuu, unazungumza kama mlevi eti.

Marekani mpaka imenyosha mikono juu mbele ya Russia, maana yake Putin kashindikana.

Hao jamaa zako walikuwa wakipima kina cha maji, walipogundua hakipimiki basi wakaamua kupiga U-TURN kubwa sana.

Usisahau pia kwamba Russia ameendesha hivyo vita kihuruma sana - ndiyo maana akaviita SMO.
 
SILAHA ALIZOPEWA UKRAINE NI KWA AJILI YA KUJILINDA HAKUPEWA RUHUSA YA KULENGA URUSI MOJA KWA MOJA ,PIA ALIPEWA SHORT RANGE WEAPONS AMBAZO NI KWA AJILI YA KUJILINDA TUU, HATA MIFUMO YA ULINZI WALIYOPEWA NI MICHACHE, IMAGINE WANAPEWA NDEGE 8 ZA F-16,VIFARU 14 VYA JEOPARD,THEN UKABILIANE NA TAIFA LA PILI DUNIAN KWA UBORA WA KIVITA NI KICHEKESHO SANA KUSEMA ALIPEWA SILAHA ZOTE ,
PIA SWALA LA KUWA NA NUCLEAR WAR HEADS NYING SIYO USHINDI WA VITA VYA NUKE, WAR HEAD 200 ZINATOSHA KUANGAMIZA ASIA YOTE,HIZO ALIZO NAZO MRUSI NI MAJUMUISHO YA ZILE ZA ZAMANI ZA KUBEBWA NA NDEGE,NOWDAY CHINA ANA NYUKLIA WARHEAD KAMA 200 ,ILA NI HATARI MNO HATA KAMA UNA 5000 NI KUJAZA MAGHALA BURE
Ukraine lazima iogope kuishambulia Russia moja kwa moja kwa kuepuka kupata adhabu kali, historia ya hii vita inatuonyesha kila wakati ambapo Ukraine inapiga ndani ya Russia basi Russia hujibu kwa adhabu kali, hivi ulifutilia lile shambulio Russia walifanya wakitumia kombora likiitwa Oreshnik kuipiga Dnipro?

Oreshnik lina kasi ya zaidi ya Mach 10 (zaidi ya 12,000 km/h), na linaweza kubeba vichwa sita vya vita vinavyoweza kulenga maeneo tofauti kwa wakati mmoja (MIRVs). Kwa kasi hii, ni vigumu sana kwa mifumo ya sasa ya ulinzi wa anga kuzuia kombora hili .
Oreshnik lina uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia au vya kawaida. Hii inalifanya kuwa tishio kubwa kwa usalama wa kimataifa .

Vladimir Putin alieleza matumizi ya Oreshnik kama onyo kwa nchi za Magharibi, hasa baada ya Marekani na Uingereza kuruhusu Ukraine kutumia makombora yao dhidi ya maeneo ya Russia. Alionya kuwa mashambulizi zaidi ya aina hiyo yanaweza kusababisha Russia kulenga maeneo ya kijeshi ya nchi zinazosaidia Ukraine .

Hivyo usifikiri Ukraine haipendi kushambulia ndani ya Russia,

Hivyo Russia inafanya makadirio ya aina ya kipigo inachotoa, na inajipanga kulingana na hali ya kisiasa, kijeshi, na kimataifa. Kasome kitu kinaitwa graduated escalation, yaani kuamua ni kiwango gani cha nguvu kinatumiwa, lini, na kwa nini.

Hivyo Russia inakadiria aina ya vichapo 'graduated force doctrine,'...
Kwenye package yao unapata flavor zote, yaani kama ni juisi unachagua , mchanganyiko, unataka juisi ya machungwa pekee, apple n.k...
Kuna kipigo cha kwaida...
Kipigo kikali...
Halafu kuna Kipigo cha mwisho... hapo lazima uite maji mma...


Sasa endeleeni kudanganyana... Hata Ukraine yenyewe inaelewa..
 
acha uongo jamaa l


acha uongo jamaa langu eti kapewa silaha zote kasoro nuclea mahaba ni mabaya
Kwa mtu mwelewa silaha alizopewa Ukraine ni silaha bora na ndo hizo nyingi Wamagharibi na hata Israel hutumia kufanya operation zake pote duniani.
Gamechanger HIMMARS
Gamechanger Abrams
Gamechanger Tiger Tanks
Gamechanger Humvee
Game changer F16 air superiority aircraft
M777 howitzer
Maelfu ya zrisassi na assault riffles.
State of the art patriot air defenses systems,
Mamia ya missile .
Hizo zikiwa ni chache tu miongoni mwa maelfu na Malawi ya kilichotolewa kwa Ukraine.
Ila hawajafua dafu kwa Russia ya Putin
 
Upo sahihi, Ukraine angepewa 'offensive weapons' kwa kiasi alichohitaji Urusi ingepata tabu mno.

Alafu Ukraine imepewa silaha chache tu tena kwa kuchelewa sana na kwa masharti mengi yanayodhibiti matumizi yake.
Kwani mkuu unamaanisha nini kuhusu offensive weapons?
 
Ukraine lazima iogope kuishambulia Russia moja kwa moja kwa kuepuka kupata adhabu kali, historia ya hii vita inatuonyesha kila wakati ambapo Ukraine inapiga ndani ya Russia basi Russia hujibu kwa adhabu kali, hivi ulifutilia lile shambulio Russia walifanya wakitumia kombora likiitwa Oreshnik kuipiga Dnipro?

Oreshnik lina kasi ya zaidi ya Mach 10 (zaidi ya 12,000 km/h), na linaweza kubeba vichwa sita vya vita vinavyoweza kulenga maeneo tofauti kwa wakati mmoja (MIRVs). Kwa kasi hii, ni vigumu sana kwa mifumo ya sasa ya ulinzi wa anga kuzuia kombora hili .
Oreshnik lina uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia au vya kawaida. Hii inalifanya kuwa tishio kubwa kwa usalama wa kimataifa .

Vladimir Putin alieleza matumizi ya Oreshnik kama onyo kwa nchi za Magharibi, hasa baada ya Marekani na Uingereza kuruhusu Ukraine kutumia makombora yao dhidi ya maeneo ya Russia. Alionya kuwa mashambulizi zaidi ya aina hiyo yanaweza kusababisha Russia kulenga maeneo ya kijeshi ya nchi zinazosaidia Ukraine .

Hivyo usifikiri Ukraine haipendi kushambulia ndani ya Russia,

Hivyo Russia inafanya makadirio ya aina ya kipigo inachotoa, na inajipanga kulingana na hali ya kisiasa, kijeshi, na kimataifa. Kasome kitu kinaitwa graduated escalation, yaani kuamua ni kiwango gani cha nguvu kinatumiwa, lini, na kwa nini.

Hivyo Russia inakadiria aina ya vichapo 'graduated force doctrine,'...
Kwenye package yao unapata flavor zote, yaani kama ni juisi unachagua , mchanganyiko, unataka juisi ya machungwa pekee, apple n.k...
Kuna kipigo cha kwaida...
Kipigo kikali...
Halafu kuna Kipigo cha mwisho... hapo lazima uite maji mma...


Sasa endeleeni kudanganyana... Hata Ukraine yenyewe inaelewa..
wewe kalale umejaa pumba tuu
 
Back
Top Bottom