and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
Huna hoja.wewe kalale umejaa pumba tuu
Huna hoja.wewe kalale umejaa pumba tuu
Hapo kwenye nuclear napingana na wewe nadhani wanaweza wakazitengeneza kwa siri bila kujuaUwe unaelewa kiongozi, nimesema kasi ya uzalishaji wa silaha wa Russia upo juu kuliko EU na US wote kwa pamoja.. katika hiki kipindi cha vita.
Kuhusu wingi wa silaha sifahamu.
Russia hiki kipindi cha vita wanazalisha silaha mara tatu zaidi ya NATO ikwemo US unaelewa?
Kingine nilichosema silaha anazotoa EU na US wakijua Ukraine itamzidi Russia kivita, matokeo yake imekuwa ni kupunguza kasi ya Ukraine kuzidi kumezwa, hivyo hakuna muaorobaini wa kupambana na Russia kuiokoa Ukraine zaidi ya nuclear war..
Mwenye nuclear , Russia ina silaha za nuclear nyingi zaidi kuliko US..
Russia anachukuwa ardhi lakini wanajeshi wake wanachinjwa kila siku.Trump aliamua kuishinikiza Ukreni kuweka silaha chini kwa sababu aliona jamaa anapigana vita vya kipuuzi.
Ni vita vya kipuuzi kwa sababu, kwanza havikupaswa kabisa kutokea - vingeweza kuzuilika bila kumwaga damu hata tone - lakini warmongers wakamjaza upepo, naye akaingia kwenye mfumo!
Pili, ni vita vya kipuuzi kwa sababu havina faida yoyote kwao (in fact, ni hasara tupu): nchi inamegwa kila kukicha licha ya fedha lukuki kupotea bure, bila kutaja watu wasiokuwa na hatia.
Hatua alizochukua Trump ni za kupongezwa sana, na zinapaswa kuwekwa kwenye kumbukumbu rasmi kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Hivi unadhani Marekani ingekuwa na namna ya kummaliza Urusi, ingemwachia nafasi?
Kwa taarifa yako, ushindi wa kishindo wa Trump ile Novemba 5 kwa sehemu kubwa ulitokana na sera yake ya kuvimaliza vita hivyo haraka - kwa sababu vilikuwa vimeshawachosha Wamarekani wenyewe.
Hebu fikiria Zelensky kila kukicha anakwea pipa kwenda Washington kuchota mabilioni ya dola ambazo punde zilikuwa zikiishia kuchomwa moto kwa silaha nzito za Mrusi!
Nakuhakikishia hata mtu mwenye akili ya wastani asingeendelea na hatua hiyo ya kipumbavu!
Marekani waliuona uhalisia wa vita, kinyume na propaganda za vyombo vya habari, nao wakaamua kufanya mabadiliko.
Ni kituko kudai kwamba shinikizo dhidi ya Zelensky amalize vita Ukreni ni uamuzi binafsi wa Trump, na wala siyo utashi hasa wa Marekani na Wamarekani wenyewe!
Wananchi na viongozi walimtuma Trump, naye ametekeleza kama ilivyotarajiwa.
Kwa Nini Ukraine apewe silaha na nchi nyingine wakati anapigana na nchi nyingine?Upo sahihi, Ukraine angepewa 'offensive weapons' kwa kiasi alichohitaji Urusi ingepata tabu mno.
Alafu Ukraine imepewa silaha chache tu tena kwa kuchelewa sana na kwa masharti mengi yanayodhibiti matumizi yake.
Kwa mujibu wa vyanzo vy magharibi(Wikipedia)na wewe hizo data umepata wapi jibu?
Mimi sijahesabu ndo maana sijui ila wew unayejua niambie ulihesabu lini ukajua idadi kamili?wewe umehesabu
Kama wanachukua ardhi inamaana wanawamaliza kabisa wapinzani wao.Russia anachukuwa ardhi lakini wanajeshi wake wanachinjwa kila siku.
Kwahio NATO walitaka urusi ashinde,kwa maelezo yakoUpo sahihi, Ukraine angepewa 'offensive weapons' kwa kiasi alichohitaji Urusi ingepata tabu mno.
Alafu Ukraine imepewa silaha chache tu tena kwa kuchelewa sana na kwa masharti mengi yanayodhibiti matumizi yake.
Hahaha 😆 na bado mtasemaUpo sahihi, Ukraine angepewa 'offensive weapons' kwa kiasi alichohitaji Urusi ingepata tabu mno.
Alafu Ukraine imepewa silaha chache tu tena kwa kuchelewa sana na kwa masharti mengi yanayodhibiti matumizi yake.
Huenda mwenzetu utakuwa unalipwa, haiwezekani kila unapopewa hoja za ukweli juu ya maandalizi ya kutosha ya kijeshi, silaha na intelijensia aliopewa UKRAINE siku inayofuata unarudi tena msimamo ule ule.Ingekuwa ni Ukweli, Urusi ingekuwa na wakati mgumu mno kuliko Sasa.
Urusi ndio imeshatumia Kila silaha waliyonayo isipokuwa nuclear.
T14 Armata
Hawezi thubutu itakua sawa na suicide hata kama Rais wa China asingekuwa anaenda still hawezi thubutuUkraine alisema usalama wa viongozi watakaoenda May 9, ni at their own risk na atashambulia red square
Tunasubiri tuone
Hakuna nchi inajitosheleza na kupigana peke yake.Kwa kifupi ni kwamba nchi za west zimeunganisha nguvu kwa ajili ya kupigana na Russia peke yake kwa kujifanya zinamsaidia Ukraine.
Hawezi fanya hilo shambulio.Ukraine alisema usalama wa viongozi watakaoenda May 9, ni at their own risk na atashambulia red square
Tunasubiri tuone
Kuna sheria za kimataifa zinazuia hilo. Ndio maana Putin hajawahi shhusha kombora ikuru pale Ukraine. Halafu pia Ukraine haiwezi fanya hivyo maana madhara atakayopata hakutakuwa na mtetezi.Hawezi thubutu itakua sawa na suicide hata kama Rais wa China asingekuwa anaenda still hawezi thubutu
Hii umeitoa wapi boss?Ukraine alisema usalama wa viongozi watakaoenda May 9, ni at their own risk na atashambulia red square
Tunasubiri tuone
Fuatilia mkuu, hiyo statement ya ZelenskyHii umeitoa wapi boss?
Hata kwa fikra na hesabu za kawaida Ukraine wako tayari kumuua Rais wa Uchina?
Wako tayari kumuua Putin?
Halafu wakishafanya hivyo kifuate nini juu yao?
Nb. Sheria za kimataifa zinakataza hili waziwazi ndo maana muda wote huu wa vita huko Ukraine Putin hajawahi kuthubutu kupiga ikulu au kumuua kiongozi yeyote wa kiraia.
Hiyo Itakuwa Kiama kwa UkreinUkraine alisema usalama wa viongozi watakaoenda May 9, ni at their own risk na atashambulia red square
Tunasubiri tuone
Ok mkuu.Fuatilia mkuu, hiyo statement ya Zelensky
![]()
Ukraine not responsible for safety of foreign officials traveling to Moscow for May 9 parade, Zelensky says
Ukrainian President Volodymyr Zelensky cautioned that Russia could orchestrate provocations, including “arsons, explosions, or other actions,” and then attempt to blame Ukraine.kyivindependent.com