kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
The United Kingdom will unveil a new sanctions package against Russia on May 12, the country's Foreign Ministry said in a statement.
Hivi hata we ungekuwa na nchi ungetetemeka kusikia unawekewa vikwazo na wingereza?The United Kingdom will unveil a new sanctions package against Russia on May 12, the country's Foreign Ministry said in a statement.
Mtoto wa watu atakufaTrump kamwambia zelensky akubali masharti ya Putin vita iishe,sasa tukumbuke zelensky alisaini decree ya kutokufanya mazungumzo na Russia 🇷🇺, Acha tuone.
View attachment 3331317
Baada ya kuona hawawezi kuishinda Urusi kwenye uwanja wa vita wamepiga gia angani kushinikiza kumaliza vita kwa njia ya mazungumzo, huku wakiendeleza vitisho vya vikwazo kwa Urusi kama wakikataa mazungumzo ya kumaliza vita. Nchi za magharibi wamesahau kuwa tangu vita vinaanza waliweka vikwazo vya kila aina lakini havikuizuia Urusi kusonga mbele, sasa hivi tena wanakuja na gia ya vikwazo, wanachekesha sana hawa maana vikwazo viweaathiri sana wao kuliko Urusi.Wamagharibi walichobakiza ni kelele tu ona sasa silaha zote ambazo huwa wanatumia kuwatishia waarabu wa Iraq na Libya zote zimetumika dhidi ya Mother Russia . Wao wakaziita game changer lakini wapi bwana. Wajerumani wenyewe wamesahau kama ardhi yao ya Kaliningrad Leo inaitwa Russia.Leo eti Ujerumani na kisiwa cha Uingereza nao wanamshurutisha Russia afanye mazungumzo ya kusitisha vita. Na condition eti Russia warudishe occupied land . Lieutenant Putin amewaambia wasimtishe. Zeleboy comedian anaomba mazungumzo ya live na leutenant Colonel Putin but sidhani kama atakubali kukutana na mchekeshaji.
Kwamba mwaka 2024 Ukraine walikomboa maeneo yao na kuyarudisha kwenye himaya yao, au kwamba hii miezi 4 ya Trump ndo Urusi kapata mafanikio makubwa, au kuna kitu Trump kampa Urusi afadhalu zaidi ya maneno matupu??Ulikuwa Mwaka mgumu kwenye hiyo SMO yake...
UTawala wa Trump umeleta nafuu kubwa mno kwa Urusi, ndio maana Putin anataka kutumia hilo kuendeleza vita.
Duh apewe pole huyo mwamba. Anajisahaulisha kwamba Russia wanaendelea na wameendelea na operation licha ys uwepo wa viongozi mahiri Enzi hizo kina Boris sasa Akina Macron Lakini wapi. Russia kwa sasa imechukua eneo kubwa usawa na mikoa mitatu ya TanzaniaKwamba mwaka 2024 Ukraine walikomboa maeneo yao na kuyarudisha kwenye himaya yao, au kwamba hii miezi 4 ya Trump ndo Urusi kapata mafanikio makubwa, au kuna kitu Trump kampa Urusi afadhalu zaidi ya maneno matupu??
Kwa sababu ni ukweli unaoonekana Russia kachukua maeneo mengi Ukraine alafu Ukraine wenyewe wameshindwa kuyarudisha hapo hapo Ukraine kasaidiwa na NATO.alafu Ukraine kapoteza watu wengi kuliko Russia.Basi watu kwanini waliibeza Ukraine kwamba Haina ubavu wakuishinda urusi
Yaani EU wam push US kufanya chochote? Hii ni mpyaUkraine's European partners are planning to wait for a possible meeting between Russian President Vladimir Putin and Ukrainian President Volodymyr Zelensky in Turkey before pushing the U.S. to impose new sanctions on Russia, Bloomberg reported on May 12, citing undisclosed sources.
🇺🇦Zelensky: China asked Ukraine not to attack the Victory Day parade on Red Square. Xi Jinping was present at the rostrum that day.Yaani EU wam push US kufanya chochote? Hii ni mpya
Hivi unaamini kuwa ukraine kuna wanazi?Unahisi bila Trump kuingia madarakani, Putin angeshindwa kuendelea na vita?
Bila shaka wewe huoni kabisa hali ya unafuu wa vita (ceasefire) kufuatia utawala mpya wa Trump.
Kwa kile kiburi cha NATO na Marekani wakati ule, na shinikizo lao alilokuwa akipata Zelensky, ni wazi kwamba Urusi haikuwa na namna yoyote ila kuendelea na vita hadi wao wenyewe waombe radhi, kama wafanyavyo hivi sasa.
Ndiyo maana mtazamo mpya ulitokea, malengo ya SMO yakabadilika.
Urusi ilitaka kuuondoa kabisa utawala wa Zelensky (jumlisha Wanazi wote popote) na kujimilikisha ardhi nzima ya Ukreni.
Hao jamaa wa NATO na Ukreni wana kila sababu za kumshukuru Trump kwa kugeuza upepo, akiilazimisha Ulaya imalize vita, maana aibu kwao ilishavuka kiwango - ila wakawa waoga kuinuka mikono ya simile!
Hebu fikiria mabilioni ya dola, misaada ya kijeshi, hali na mali, intelijensia na wataalamu, lakini bado Urusi ameendelea kuimega ardhi yao kila sekunde!
Na wala siyo kuimega tu, na pia kujimilikisha na kuijenga upya!
Kudai kwamba huyo mtu alikuwa ameshindwa vita, huko ni kujitoa akili kusikomithilika.
Nchi ngapi za NATO, ikiwemo Marekani yenyewe, utawala wao umeangushwa kwa sababu ya uchumi wao kudorora?
Kwa nini vikwazo takriban 20,000 alizowekewa Urusi havikuzaa matokeo tarajiwa ya kuufumua uchumi wa Urusi na hatimaye kusababisha machafuko na mapinduzi ya ndani?
Kilichotokea ni kinyume chake. Kwa nini?
Trump yuko sahihi anaposema NATO haina ubavu wa kumkabili Urusi.
Si ajabu akapiga kura UN ili kumuunga mkono Russia, kinyume na matarajio ya wengi.
^If you cannot fight them, join them!^
Mkuu, consider the Middle East, for instance, where the Palestinians and the Iranians and most of the Arab countries see Hamas, Hezbollah, Jihadists, and even the notorious Al-Qaeda not as obnoxious terrorists but rather the inevitable freedom fighters.Hivi unaamini kuwa ukraine kuna wanazi?
Huko ni mbali sana mkuu, hapa bongo chadema ni magaidi wanaotumika na wamagharibi kwa mujibu wa ccm.Mkuu, consider the Middle East, for instance, where the Palestinians and the Iranians and most of the Arab countries see Hamas, Hezbollah, Jihadists, and even the notorious Al-Qaeda not as obnoxious terrorists but rather inevitable freedom fighters.
cc: Erythrocyte , Nanye Go Mshana Jr Tate Mkuu Salary SlipHuko ni mbali sana mkuu, hapa bongo chadema ni magaidi wanaotumika na wamagharibi.