Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kwastaili hii watazidi kumponza mwenzio maana Russia anasiraha nyingi zisizozuilika je hyo no fly zone ya mchongo itamsaidia nn zaidi ya kumtia hasira zaidi PutinNo Fly Zone maana yake unamlazimisha adui yako asiweze kutumia anga, ili uweze kuweka No fly zone basi hapo inabidi uwe na SAM(surface to air missile) za kueleweka na pia uwe na AAM(air to air missile) zinazorushwa na ndege.
Sasa hapo ukishaweka No Fly Zone basi ujiandae kwa battle na Fighter air za Mrusi(MIG na SU). Kama F-16 imechemka basi hapo labda uweke No fly zone kwa kutegemea miujiza ya Yesu.