Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,767
- 6,862
Una Akili fupi🤔🤔Supa-pawa bado anapambana kuishinda Ukraine mpaka keshokutwa,mtondo na mtondogoo.
Hana lolote kivipi kashajichukulia maeneo yenye utajiri huku Ukraine bila msaada haina nguvu tena.Putin kubwa jingaa... Miaka minne bado hana lolote dah
Putin kubwa jingaa... Miaka minne bado hana lolote dah