Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama stocks ya nchi tajiri inaelekea kumalizika, hao panya mpunga wengine wataweza kusimama na hili jini
Screenshot_20250702_132358_Chrome.jpg
 
Tuliambiwa PUTIN anamuogopa TRUMP
Kwa sauti ya MSENGELENSKY
------

❗️Vladimir Putin and Donald Trump had a one-hour telephone conversation. This was announced by Yuri Ushakov, the Russian president's special representative.

Among the main topics were Iran and Ukraine.

During the conversation, Putin noted Moscow's readiness to continue the negotiation process, but stressed that Russia would not back down from achieving the stated goals of the SMO and would seek to eliminate the causes that led to the armed confrontation.

The issue of stopping US arms supplies to Ukraine was not raised. A personal meeting between the presidents was not discussed.
 
Putin anasema ukraine ni yao sasa mbona anaua raia ovyo.
Vita inachelewa kwa sababu Urusi anajitaidi kupunguza madhara kwa raia, angekuwa anapiga kama ambavyo anafanya Israel, vita ingekuwa imeisha muda mrefu.

Sometime casualties zinazotokea ni sababu ya Ant-missile zikimis target lazima ziangukie kwenye majengo ya raia.
Il west na Ukraine wanasema ni russia missile, wakati kiuhalisi hizo missile huwa zinaenda kwenye military facilities ambazo nazo Ukraine anazificha kwenye civilian area.
 
Watu wengine hamtumii akili zenu vizuri!! Russia kwenye uwanja wa vita kalemewa sana sasa anageukia kupiga miji na kuua raia kwa visingizio mbalimbali.

Na si kweli kuwa anapiga malengo ya kijeshi kambi za kijeshi zinajulikana hazikai mijini na tunaona anapiga makazi ya Raia ambao hawana silaha!!!
 
Inaonekana leo Kiev hapakaliki.
Ni wakati wa Zele kunyoosha mikono na kusalimu amri.
Russia kaamua kupiga mjini kwenye uwanja wa vita kakimbia askari wake wanauwawa kama nzige wanawindwa mmoja baada ya mwingine ndiyo maana kakimbilia mijini kuua raia kupunguza hasara zake!!
 
Back
Top Bottom