Wengi tumeshatambua "hupo sawa mkuu;kwahiyo tunakuvumilia tu!.😂🤣Na wewe acha kiherehere chako cha kijinga na kipumbavu unafikiri watu wote ni wajinga kama wewe? Au unataka watu wafikiri kama wewe acha ujinga wewe!!!
Unanivumilia kwani Mimi ni Mmeo?Wengi tumeshatambua "hupo sawa mkuu;kwahiyo tunakuvumilia tu!.😂🤣
PoLeni pro Ukraine...Watu wengine hamtumii akili zenu vizuri!! Russia kwenye uwanja wa vita kalemewa sana sasa anageukia kupiga miji na kuua raia kwa visingizio mbalimbali.
Na si kweli kuwa anapiga malengo ya kijeshi kambi za kijeshi zinajulikana hazikai mijini na tunaona anapiga makazi ya Raia ambao hawana silaha!!!
Zele anashingo ngumu mithili ya farao....Inaonekana leo Kiev hapakaliki.
Ni wakati wa Zele kunyoosha mikono na kusalimu amri.
Kuna toleo jipya .......Wakuu,
Siku nyingi sijamuona kipanya humu,
Afu Kuna maandishi nayasoma Kama yake
Vipi, kabadiili I'd au vipi?
Safari hii mtanyooka na matoleo yenu!!Kuna toleo jipya .......
Hapana mkuu, ni kwasababu una tatizo la Akili. Kuna wakati unakuwa sawa na unaelewa vizuri tu, lakini pale ubongo wako unapochemka ndio inaleta shida. Naamini wewe mwenyewe unakuwa hujielewi na ndio sababu tunakuvumilia!.Unanivumilia kwani mimi Mmeo?
Unanivumilia mimi ni Mmeo?Hapana mkuu, ni kwasababu una tatizo la Akili. Kuna wakati unakuwa sawa na unaelewa vizuri tu, lakini pale ubongo wako unapochemka ndio inaleta shida. Naamini wewe mwenyewe unakuwa hujielewi na ndio sababu tunakuvumilia!.
Una uhakika nimebadili ID? Kwanza nibadili ili iweje?Yani Kipanya 44 umeamua urudi kivingine na ID mpya.unafikili bado atujakujua🤣🤣🤣
Kumbe we jamaa hauko serious kiasi hiki? 20% ya ardhi ya Ukraine inayokaliwa nq Urusi ilipatikana vpHivyo ni vijiji kama vijiji nimesema Russia haijawahi kuweza kuteka jimbo lote kutoka mikono ya askari wa Ukraine!!
Tatizo lako linalokusumbua ni jinsia yako!!! Mambo ya kiume wewe hayawezi maana wewe ni Mke wa mtu!!!Unajichosha TU ...tofautin ya ubongo wake na kinyesi ni joto TU....
Unafikiri una kipya basi ..... Tafuta lingine....Tatizo lako linalokusumbua ni jinsia yako!!! Mambo ya kiume wewe hayawezi maana wewe ni Mke wa mtu!!!
Safari hii utanyooka tu mtajifaragua weee lakini hapa mmefika nitawanyoosha tu mpaka muache uongo na upotoshaji wenu!!!Unafikiri una kipya basi ..... Tafuta lingine....
Unafikiri una kipya basi ..... Tafuta lingine....
Acha fix, umepigwa uwanja wa kurusha fighter jet, drone assembling plant, missile depot kutoka west na Air defence system na training center❗️Baada ya Urusi kulemewa kwenye uwanja wa mapambano usiku wa leo ilianzisha shambulio kubwa wakati wa usiku huko Kyiv na maeneo jirani. Tunachojua:
🔴Shambulio hilo lilidumu kwa takriban saa 10 na kuhusisha ndege zisizo na rubani na makombora.
🔴Katika mji mkuu, watu 2 waliuawa na 14 kujeruhiwa - 9 kati yao walilazwa hospitalini. Katika mkoa huo, mtu mmoja alijeruhiwa.
🔴Katika wilaya ya Shevchenkivskyi, baadhi ya drone uligonga jengo la makazi, na kusababisha moto.
🔴Katika wilaya ya Darnytskyi, Drones z ilishambulia na kusababisha moto kwenye gereji na kituo cha mafuta. Vifusi pia vilitua kwenye ua wa jengo la makazi.
🔴Katika wilaya ya Solomianskyi, paa la jengo lisilo la makazi lilishika moto; katika wilaya ya Holosiivskyi, lori iliwaka; na katika wilaya ya Podilskyi, vifusi vilianguka kwenye misingi ya eneo lisilo na nyumba za kuishi.
🪐 SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!!
Hapo miji iliyotajwa mingapi? Missile depot iko mjini?Acha fix, umepigwa uwanja wa kurusha fighter jet, drone assembling plant, missile depot kutoka west na Air defence system na training center
Na miji iliyopigwa ni 4