Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇺🇦 Mifumo ya ulinzi wa Anga wa Ukraine uliangamizao ndege zisizo na rubani 60 kati ya 79 za Urusi, zikiwemo 44 zilizopigwa chini na 16 zikikandamizwa na Electronics Warefare (EW.)
 
Attachments

  • IMG_3620.jpeg
    IMG_3620.jpeg
    94 KB · Views: 24
Haya mumkabili kwa hoja sasa akiweka ugoko weka chuma mpaka mtu akae sikainga mwenyewe ulingoni matusi atutaki maana upinzani lazima uwepo updates ziendelee
Mkuu mjadala unaendeshwa na mtu anayetaka kujadiliana.
Huyo sio mtu wa majadiliano ni mbishani,unaweza kumletea hata habari kutoka credible source na akakukatalia.
Ni sawa umletee mtu chungwa na akubishie aseme ni belungi.
HUWEZI kuendesha mjadala na mtu kama huyo.
 
Mimi si zuzu wa kukubali uongo na upotoshaji mnaoufanya lazima tu niwapinge maana jukwaa hili mmeliharibu kwa maneno ya uongo na upotoshaji na mkiambiwa Ukweli mnaanza kupachika watu majina simply tu Mmeambiwa Ukweli. Mnataka watu wawe mazuzu kama ninyi ndiyo mnafurahi!! Kwangu sasa mmekwama!!!
 
Ndio maana Trump ndani ya wiki moja anaongea hovyo... Mara akiba yao ya silaha inawatosha wao tu, mara yeye ni mkali kuliko Putin, mara tutapeleka silaha, mara vikwazo 😄
Unaambiwa hii kitendo ya Warusi kuutwaa kibabe mgodi huo mkubwa kabisa Ulaya na wenye madini muhimu sana Kwa utengenezaji wa zana za kivita umewavuruga pakubwa Western na Ukraine,
 
Mkuu mjadala unaendeshwa na mtu anayetaka kujadiliana.
Huyo sio mtu wa majadiliano ni mbishani,unaweza kumletea hata habari kutoka credible source na akakukatalia.
Ni sawa umletee mtu chungwa na akubishie aseme ni belungi.
HUWEZI kuendesha mjadala na mtu kama huyo.
Kwa mfano nilicheka sana pale anapokataa USA haikushindwa Afghanistan,wakati wamarekani wenyewe wanakili kushindwa vita na Watalaban.
Sasa sijui zile silaha walizoacha wamarekani huko Afghanistan sijui walikabidhiana kwa maandishi na watalaban!
Na Ile ndege ya abiria wakati ule Wamarekani wanaondoka Afghanistan 2021 iliyoonekana ikikimbia kuondoka Afghanistan na abiria huku wa Afghanistan wasioelewana na Watalaban wakiikimbilia ili kuomba kuokolewa, sijui nayo ilikua inakimbiliwa kwa sababu kulikua Kuna maharusi ndani!
 
🇺🇦 Wanajeshi wa Brigedia ya 1 ya Rais "Bureviy" waliharibu mzinga wa aina ya 75 MLRS ya Korea Kaskazini.
 
Attachments

  • IMG_6205.mp4
    12.5 MB
Napendekeza kwa Majeshi ya Ukraine yaache kuwaua askari wa kivamizi wa Russia kwa Mabomu ya Petrol yanayotupwa na Drones kwa sababu askari hao wanakufa kinyama sana maana wanaungua kiasi cha kutoweza mizoga yao kubebwa kurudishwa kwao.

Ukraine kwa teknolojia ya Drones nimewavulia kofia maana wanawasaka askari wa Russia mmoja baada ya mwingine na kuwafyekelea mbali kitendo hicho pia kinavunja Morale wa askari wa Russia na ndiyo maana wanakimbia mstari wa mbele na kukimbilia mjini Kiev kwa watu ambao hawana silaha.
 
Attachments

  • IMG_9824.mp4
    35 MB
🇷🇺🇺🇦consequences of the night attack on Lviv.
 
Attachments

  • IMG_20250712_085356_816.jpg
    IMG_20250712_085356_816.jpg
    236.6 KB · Views: 22
  • IMG_20250712_085401_909.jpg
    IMG_20250712_085401_909.jpg
    157.4 KB · Views: 29
  • VID_20250712_085654_639.mp4
    1.1 MB
Napendekeza kwa Majeshi ya Ukraine yaache kuwaua askari wa kivamizi wa Russia kwa Mabomu ya Petrol yanayotupwa na Drones kwa sababu askari hao wanakufa kinyama sana maana wanaungua kiasi cha kutoweza mizoga yao kubebwa kurudishwa kwao.

Ukraine kwa teknolojia ya Drones nimewavulia kofia maana wanawasaka askari wa Russia mmoja baada ya mwingine na kuwafyekelea mbali kitendo hicho pia kinavunja Morale wa askari wa Russia na ndiyo maana wanakimbia mstari wa mbele na kukimbilia mjini Kiev kwa watu ambao hawana silaha.
Propanganda haiwezi shinda vita hata siku moja.kuna muda ukiambiwa jambo basi na wewe inabidi ujiongeze.hao watu wanaochoma wenzao hata kijiji tu wanashindwa kulinda kila siku wao wana kazi ya kurudi tu nyuma kuwaacha Warusi wajiongezee ardhi. Kwa taarifa yako tu mpaka Muda huu silaha zote zinazotumika Ukraine basi Madini warusi wanayatoa kwenye ardhi ya Ukraine waliyopola
 
Nashukuru kwa kuwa unajua kuwa Russia ni Waporaji!!!
Kwanza nataka nikupeleke darasani kuwa Askari wa Russia waliingia mji wa Kyiv, mji mkuu wa Ukraine, siku ya kwanza ya uvamizi wao wa nguvu wa Februari 24, 2022. Hii ilitokea baada ya Rais wa Russia Vladimir Putin kutangaza “operesheni ya kijeshi ya pekee” asubuhi ya siku hiyo. Wanajeshi wa Russia walianza kushambulia Kyiv kutoka mwelekeo wa kaskazini, hasa kupitia Belarus, na walifika maeneo ya karibu na mji huo, ikiwa ni pamoja na uwanja wa ndege wa Hostomel, ambao ulitekwa na wanajeshi wa angani wa Russia siku hiyo hiyo. Hata hivyo, juhudi za Russia za kumudu Kyiv zilikwama kwa sababu ya upinzani mkali na kipigo kikali kutoka kwa askari wa Ukraine. Askari wa russia walizingilwa wakakosa misaada kutoka nyuma, na hatimaye walifurushwa kutoka eneo la Kyiv mwishoni mwa Machi 2022.

Kutoka march 2022 askari wa Russia wanaisikia tu Kiev maana walirudishwa nyuma mpaka Kharkiv mpakani ndipo wakabadili lengo lao nakushangaa wewe unayesema wameshindwa kulinda kijiji kumbuka ni askari haohao ndiyo wanaomsumbua Russia kwa miaka 4 sasa. Nakushangaa unapolibeza Jeshi la Ukraine.

Na ni kweli russia wanaiba madini kutoka maeneo waliyoyateka maana wizi ndiyo kazi ya waporaji. Hata hivyo huko frontline wavamizi cha moto wanakipata!!!
 
✈️🇺🇦💣 MiG-29 ya Ukraini iliharibu daraja katika Vasylivka, eneo la Zaporizhzhia, kwa mabomu ya GBU-62.
 
Attachments

  • IMG_6227.mp4
    12.1 MB
Askari wa Russia na vifaa vyao wanaendele kupukutika kama kumbikumbi huko mstari wa mbele wa mapigano!!!!!
 
Attachments

  • IMG_6228.mp4
    27 MB
Mimi si zuzu wa kukubali uongo na upotoshaji mnaoufanya lazima tu niwapinge maana jukwaa hili mmeliharibu kwa maneno ya uongo na upotoshaji na mkiambiwa Ukweli mnaanza kupachika watu majina simply tu Mmeambiwa Ukweli. Mnataka watu wawe mazuzu kama ninyi ndiyo mnafurahi!! Kwangu sasa mmekwama!!!
Ndugu leo unatuhumu watu kwa uongo na upotoshaji huku ukijisifu unaleta habari zenye ushahidi wakati sio kweli.

Ulisema Russia walisema watamaliza vita ndani ya masaa72 nikakuomba ushahidi ili niwaoneshe Pro Russia waone aibu ukaleta ngonjera.

Au nakusingizia kataa kama nakusingizia.
 
Nashukuru kwa kuwa unajua kuwa Russia ni Waporaji!!!
Kwanza nataka nikupeleke darasani kuwa Askari wa Russia waliingia mji wa Kyiv, mji mkuu wa Ukraine, siku ya kwanza ya uvamizi wao wa nguvu wa Februari 24, 2022. Hii ilitokea baada ya Rais wa Russia Vladimir Putin kutangaza “operesheni ya kijeshi ya pekee” asubuhi ya siku hiyo. Wanajeshi wa Russia walianza kushambulia Kyiv kutoka mwelekeo wa kaskazini, hasa kupitia Belarus, na walifika maeneo ya karibu na mji huo, ikiwa ni pamoja na uwanja wa ndege wa Hostomel, ambao ulitekwa na wanajeshi wa angani wa Russia siku hiyo hiyo. Hata hivyo, juhudi za Russia za kumudu Kyiv zilikwama kwa sababu ya upinzani mkali na kipigo kikali kutoka kwa askari wa Ukraine. Askari wa russia walizingilwa wakakosa misaada kutoka nyuma, na hatimaye walifurushwa kutoka eneo la Kyiv mwishoni mwa Machi 2022.

Kutoka march 2022 askari wa Russia wanaisikia tu Kiev maana walirudishwa nyuma mpaka Kharkiv mpakani ndipo wakabadili lengo lao nakushangaa wewe unayesema wameshindwa kulinda kijiji kumbuka ni askari haohao ndiyo wanaomsumbua Russia kwa miaka 4 sasa. Nakushangaa unapolibeza Jeshi la Ukraine.

Na ni kweli russia wanaiba madini kutoka maeneo waliyoyateka maana wizi ndiyo kazi ya waporaji. Hata hivyo huko frontline wavamizi cha moto wanakipata!!!
Warusi wanapoteza watu ila Ukraine anapoteza maeneo je hapo nani mjanja?. Tena Warusi wanachukua wafungwa na wanasajiri wanajeshi wa kukodi wakisaidian na wakorea lakini pale Ukraine wanaokufa sio wageni bali ni watu wa Ukraine.
 
Askari wa Russia na vifaa vyao wanaendele kupukutika kama kumbikumbi huko mstari wa mbele wa mapigano!!!!!
Vita ingekuwa kama unavyosema basi sasa ivi vikosi vya Ukraine vingekuwa Moscow, ila ukija kwenye uwanja wa vita hali ni tofauti kabisa Warusi wanabadili ramani ya Ukraine kila kukicha.

Propaganda kwenye uwanja wa vita ni jambo ambalo limezoeleka
 
Back
Top Bottom