Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mada inasema

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?​

Kunijadili mimi kutawasaidia nini wajinga nyie? Hizo unazosema stress zangu wewe zinakuhusu nini?
Tiba kuu ya stress ni moja tu, kujitambua kuwa una stress na ukishajitambua lazima utaweza kuikabili na utarudi kuwa kawaida. Jitahidi utapona tu.
 
Napendekeza kwa Majeshi ya Ukraine yaache kuwaua askari wa kivamizi wa Russia kwa Mabomu ya Petrol yanayotupwa na Drones kwa sababu askari hao wanakufa kinyama sana maana wanaungua kiasi cha kutoweza mizoga yao kubebwa kurudishwa kwao.

Ukraine kwa teknolojia ya Drones nimewavulia kofia maana wanawasaka askari wa Russia mmoja baada ya mwingine na kuwafyekelea mbali kitendo hicho pia kinavunja Morale wa askari wa Russia na ndiyo maana wanakimbia mstari wa mbele na kukimbilia mjini Kiev kwa watu ambao hawana silaha.
Huruma .......kafa kama fala........hata maji kashindwa kuomba
 
🇷🇺🇺🇦The moment of arrival in Chernivtsi
 
Attachments

  • 1752323581164.mp4
    234.6 KB
  • IMG_20250712_153329_154.jpg
    IMG_20250712_153329_154.jpg
    115.6 KB · Views: 21
🇷🇺🇺🇦Map of Ukraine's combined night attack with the cities attacked indicated.
 
Attachments

  • IMG_20250712_154527_791.jpg
    IMG_20250712_154527_791.jpg
    315.9 KB · Views: 22
🇷🇺🇺🇦Three FAB-500s with UMPK strike on the 210th assault regiment of the Ukrainian Armed Forces near Vladimirovka.
 
Attachments

  • VID_20250712_155830_564.mp4
    2.8 MB
Hii ilikuwa ni juzi.
Tusikatae ukweli hali sio nzur Ukraine. Kuanzia sasa na kuendelea
 
Attachments

  • VID_20250712_172824_753.mp4
    877.8 KB
  • IMG_20250712_172834_797.jpg
    IMG_20250712_172834_797.jpg
    45.2 KB · Views: 25
  • IMG_20250712_172805_393.jpg
    IMG_20250712_172805_393.jpg
    150.3 KB · Views: 20
  • IMG_20250712_172802_207.jpg
    IMG_20250712_172802_207.jpg
    125.5 KB · Views: 28
✈️🇺🇦💣 MiG-29 ya Ukraini iliharibu daraja katika Vasylivka, eneo la Zaporizhzhia, kwa mabomu ya GBU-62.
Hilo daraja bado lipo intact sambamba na la pokrovsk, lina damage tu, Baada ya ukraine kuona hawawezi kuzuia advancement ya Urusi, sasa wanachofanya ni kupiga madaraja , wakijua hadi zitumike phantom bridgr itachukua muda. Inawasaidia ku disrupt logistic
 
Tiba kuu ya stress ni moja tu, kujitambua kuwa una stress na ukishajitambua lazima utaweza kuikabili na utarudi kuwa kawaida. Jitahidi utapona tu.
Hizo stress zako si upeleke kwa mkeo sisi hapa hazituhusu!!
 
Ukraine imeshakua land of fire, kila sio chini ya drone 400-700.
Hakuna production ya Air defence inayoweza kuhimili hizo attact.

U.S kwa mwaka anazalisha missile za patriot around 600, maana yake hizi zigawanywe kwenda middle east na Ukraine, na kuanzia mwishoni mwa mwaka jana China ali restrict rare earth mineral kwa U.S hasa kwa kampuni ya Raytheon na lockheed ambao ni part ya patriot missile production.

Hii manae yake number lazima itakuwa imeshuka, so hakuna solution ya karibu ya kutatua uhaba wa Air defense
Isitoshe hizo patriot battery (8/9) alizopewa Ukraine nyingi zimekula kibiriti
Pili ni uhaba wa operators, sababu nyingi zinakuwa operated na west personnel. Na wengi wanakufa kwenye hizo attack.
Ndio maana trump kasema hatapeleka Ukraine direct, yeye atawauzia ulaya, alafu wao ndio wataamua kumpa Ukraine au lah. Maana ni cost na loss
 
🇺🇦 🇷🇺 02.07.2025 - Drone strikes on Russian ammunition depots by Ukrainian forces resulting in a catastrophic explosion Near the village of Velyke Orikhove, in Donetsk region. -
 
😎💥 Kikosi cha 3 cha Kikosi Tofauti cha Mizinga chenye T-72 na BTR-4E "Bucephalus" kilishambulia maficho ya askari wa Urusi katika mkoa wa Kharkiv!
 
Attachments

  • IMG_6337.mp4
    15.7 MB
Ukraine imeshakua land of fire, kila sio chini ya drone 400-700.
Hakuna production ya Air defence inayoweza kuhimili hizo attact.

U.S kwa mwaka anazalisha missile za patriot around 600, maana yake hizi zigawanywe kwenda middle east na Ukraine, na kuanzia mwishoni mwa mwaka jana China ali restrict rare earth mineral kwa U.S hasa kwa kampuni ya Raytheon na lockheed ambao ni part ya patriot missile production.

Hii manae yake number lazima itakuwa imeshuka, so hakuna solution ya karibu ya kutatua uhaba wa Air defense
Isitoshe hizo patriot battery (8/9) alizopewa Ukraine nyingi zimekula kibiriti
Pili ni uhaba wa operators, sababu nyingi zinakuwa operated na west personnel. Na wengi wanakufa kwenye hizo attack.
Ndio maana trump kasema hatapeleka Ukraine direct, yeye atawauzia ulaya, alafu wao ndio wataamua kumpa Ukraine au lah. Maana ni cost na loss
Naona unaongea tu bila kutuwekea udhibitisho wa hayo unayoongea, Je hizo data unazosema wewe umezipata wapi? Na umejuaje kuwa kuna uhaba wa Operators? Na umejuaje kuwa nyingi zinakuwa Operated na west Personnel?

Kwa ujumla naweza kusema wewe sasa unataka kutulisha Matango Pori kwa sababu unaongea maneno tu bila kuweka Support Documents zozote. Usitufanye wote humu ni mazuzu kama wewe wa kukubali lolote unalosema!!
 
Hilo daraja bado lipo intact sambamba na la pokrovsk, lina damage tu, Baada ya ukraine kuona hawawezi kuzuia advancement ya Urusi, sasa wanachofanya ni kupiga madaraja , wakijua hadi zitumike phantom bridgr itachukua muda. Inawasaidia ku disrupt logistic
Kama daraja hilo liko Intact tusekee hapa tuone wala si kuongea maneno tu!!!
 
Huko Ukraine Drones za Shaheed zinazotumiwa na Russia zinaendelea kupopolewa na majeshi ya Ukraine!!
 
Attachments

  • IMG_6393.mp4
    3.9 MB
Back
Top Bottom