Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇪🇪🚀Ukraine yaanzisha tena ufyatuaji makombola ya HIMARS.

Makombora yote yaligonga kwa usahihi malengo ya baharini baadhi yakiwa na ukubwa wa ndoo, kwa umbali wa hadi kilomita 15.

🇪🇪🚀 SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!!!
Kazi yako ku-copy magazeti na picha za kuchonga kutoka Ukraine yaani huna muda WA kuangalia walao URL ya website hupo hupo tuu, kazi ku-propagate propaganda za his Master's VOICE, very sad don't you think??
 
Wakati mwingine unazungumzaga vitu gani lakini - husitufanye members wajinga, tunasoma sources nyingi za habari ya kuaminika,wewe unatuletea humu picha na video clips zilizokuwa generated na AI na CGI a sad thing is some skewed headed like you cannot distinguish between virtual and real thing!! Wana copy copy na ku-paste bila kufikiria Mara mbili mbili - kwa nini kwa mfano: Usemi jana Trump alisema nini kuhusu vita kuhusu vita ya Ukraine, kasema hivi: Given Silaha na Uchumi ni wazi Urusi itashinda vita hii, ni suala LA muda tu lakini kushinda Putin atashinda -Trump Rais wa Merikani kasema hivyo anavyo on a mwenendo WA vita huko Ukraine kasema kutokana hats na taarifa za kiintelijensia, lakini nyie hayo hamuyasemi - kazi kuzungumzia sijui:HIMARS huna hata habari kwamba Urusi ilisha pata muharobaini na ku-deal na rocket hizo siku nyingi sio tishio kwake tena.

Silaha nchi za magharibi wanazo wapelekea jeshi LA Ukraine haziwezi kubadirisha chochote kwenye malengo ya Urusi iliyo jiwekea kuwakomboa Warusi wenzao wanao nyanyaswa na Zelensky kusini mwa Ukraine - Putin atashinda udhalimu huo wa Zelensky na mikoa hiyo kujiunga na Urusi, kwanza walisha pitisha referendum ya kukubali kujiunga na Urusi lakini nchi za magharibi zinajifanya kupinga referundum inayo kuwa supported na raia wa mikoa inayo kaliwa na Serikali ya Zelensky kinguvu, sasa wamekwisha pata mkombozi, thank God.
Wewe endelea kuota ndoto za alinacha wakati askari wa Russia wanapukutishwa kama nzige!!!
 
Kazi yako ku-copy magazeti na picha za kuchonga kutoka Ukraine yaani huna muda WA kuangalia walao URL ya website hupo hupo tuu, kazi ku-propagate propaganda za his Master's VOICE, very sad don't you think??
Don’t you think twice why Russia is not defeating Ukraine 🇺🇦?

Sasa ni mwaka wa 4 Putin anahangaika tu na Ukraine na miji yake kutwa inashambuliwa tu. Jifikirie mara mbili mbili kwa nini Supapawa anapelekwa mchaka mchaka na Ukraine?
 
Vigumu Sana kumuelewa jamaa huyu, Hana hata habari kwamba vitu anavyo tuletea humu ni computer generated kwa ajili ya propaganda za jeshi LA Ukraine, havina ukweli wowote!!
Tatizo huna hata uelewa wa Generated akipigwa Russia wewe unaita Generated!!!
Tumia akili yako vizuri jiulize kwa nini supapawa wenu mwaka wa nne leo bado anafurukuta na Ukraine tu?
 
Askari wa Russia wanaendelea kuangamizwa huko Ukraine 🇺🇦
 

Attachments

  • IMG_6888.mp4
    9.7 MB
  • IMG_6889.mp4
    4.4 MB
Drones za Ukraine 🇺🇦 hazilei kenge ndani ya Maji hazijui wewe ni majeruhi au namna gani Ali mradi wewe uko frontline zako zimekwisha!!!

Askari wa Russia wanaendelea kuteswa na kuuwawa kinyama na majeshi ya Ukraine!!!
 

Attachments

  • IMG_9899.mp4
    25.8 MB
Don’t you think twice why Russia is not defeating Ukraine 🇺🇦?

Sasa ni mwaka wa 4 Putin anahangaika tu na Ukraine na miji yake kutwa inashambuliwa tu. Jifikirie mara mbili mbili kwa nini Supapawa anapelekwa mchaka mchaka na Ukraine?
Nikisema analytical mind yako ni dismal kabisa unafikiri nakuonea,members wengi wamekwisha kushtukia kwa bahati mbaya wewe hilo ulioni!!

Sijui nikwambie mara ngapi?? Trump mwenyewe na vyombo yake vya kitelijensia wanasema Ukraine watashindwa vita muda si mrefu kuanzia sasa, wewe unakalia wanajeshi WA Urusi wanapukutika, wanapukutika!!

Wewe unajua ratio ya vifo vya wanajeshi kwenye front line,mbona Ukraine ije ichukue maiti za wanajeshi wao walio uwawa front line, lakini Ukraine inasusia maiti za wanajeshi wao, akili gani hizo?
 
Nikisema analytical mind yako ni dismal kabisa unafikiri nakuonea,members wengi wamekwisha kushtukia kwa bahati mbaya wewe hilo ulioni!!
Kwanza kabisa wewe mdogo sana huna uwezo wa kunionea mimi maana nakuzidi kwa kila kitu.
Pili mimi siko hapa kumfurahisha mtu niko hapa kuweka sawa habari maana wahuni kama wewe mmekalia kusifia kila kitu bila ku angalia upande wa pili na ndiyo maana mmeliharibu jukwaa hili badala ya kupata habari za uhakika mmekalia kusifia-sifia tu.
Sijui nikwambie mara ngapi?? Trump mwenyewe na vyombo yake vya kitelijensia wanasema Ukraine wayashindwa vita muda si mrefu kuanzia sasa, wewe unakalia wanajeshi WA Urusi wanapukutika, wanapukutika!!
Ulivyo mjinga na mpumbavu hata humjui Trump!!! Toka aingie madarakani kabuli zake wewe unazichambua au kila analolisema wewe unaona kasema kweli wala hujui hiyo ni Trics!!!! Tatizo kubwa sana linakusumbua wewe ni zuzu Mapenzi yamekupofusha macho Una Sofia kila kitu kutoka Russia. Nimekuwa nakuwekea hata video lakini ulivyo zuzu huzioni maana umezidiwa na Mapenzi!!!
Wewe unajua ratio ya vifo vya wanajeshi kwenye front line,mbona Ukraine in an Annie's ije ichukue maiti za wanajeshi wao walio uwawa front line Ukraine inasusia maiti za wanajeshi wao!!
Ulivyo mjinga na mpumbavu unajifanya Mrusi kuliko warusi wenyewe!! Kwa ujinga zaidi unafikiri Warusi hawafi wanakufa Ukraine tu!!!!
 
Don’t you think twice why Russia is not defeating Ukraine 🇺🇦?

Sasa ni mwaka wa 4 Putin anahangaika tu na Ukraine na miji yake kutwa inashambuliwa tu. Jifikirie mara mbili mbili kwa nini Supapawa anapelekwa mchaka mchaka na Ukraine?
Hata kingereza chako mgogoro, ebu rudia kusoma ulicho andika!!
 
Hata kingereza chako mgogoro, ebu rudia kusoma ulicho andika!!
Acha ujinga Mimi ni Mmatumbi hicho kiingereza si lugha yangu hata wewe mara ngapi Unachapia-chapia? Ndiyo maana nasema wewe ni Mjinga na Mpumbavu sana kwani kiingereza ni nini? Nikosee nisikosee hiyo ni lugha tu kama Kimatumbi!!! Wewe huwezi kunikosoa maana wewe ni zuzu tu
 
Kwanza kabisa wewe mdogo sana huna uwezo wa kunionea mimi maana nakuzidi kwa kila kitu.
Pili mimi siko hapa kumfurahisha mtu niko hapa kuweka sawa habari maana wahuni kama wewe mmekalia kusifia kila kitu bila ku angalia upande wa pili na ndiyo maana mmeliharibu jukwaa hili badala ya kupata habari za uhakika mmekalia kusifia-sifia tu.

Ulivyo mjinga na mpumbavu hata humjui Trump!!! Toka aingie madarakani kabuli zake wewe unazichambua au kila analolisema wewe unaona kasema kweli wala hujui hiyo ni Trics!!!! Tatizo kubwa sana linakusumbua wewe ni zuzu Mapenzi yamekupofusha macho Una Sofia kila kitu kutoka Russia. Nimekuwa nakuwekea hata video lakini ulivyo zuzu huzioni maana umezidiwa na Mapenzi!!!

Ulivyo mjinga na mpumbavu unajifanya Mrusi kuliko warusi wenyewe!! Kwa ujinga zaidi unafikiri Warusi hawafi wanakufa Ukraine tu!!!!
You are simply a damned silly fool, oh yes a chatter box reading reading between the lines unaonekana wazi wazi huna hata exposure yoyote kuhusu masuala ya Geopolitics, hupo hupo tu bendera fuata upepo - bila aibu juzi unatujia na computer simulator ya cockpit na avionics za MiG-29 eti anatuonyesha jinsi inavyo shambulia jeshi la Urusi, hana habari kwamba hiyo ni michezo inayo kubwa programmed ku-simulate masuala ya vita na wanauziwa hata watoto wadogo na vijana kwa ajili ya michezo, kwa hiyo ukiona ndege,vifaru,rocket na wakati mwongine hata askali wakipogana hizo ni computer games tu, hakuna ukweli wowote - mpaka jana niliona wasomi wengi wakilalamikia jeshi la Ukraine kwa kudanganya wasomaji Kia kusambaza picha na video clips za vita zilizo kuwa generated na computer Games!! Halafu na wewe bila ya kutambua unatuletea propaganda hizo hizo za kichonga, sijui kwa kutojua au makusudi lakini nafikiri ni ignorance.
 
Acha ujinga Mimi ni Mmatumbi hicho kiingereza si lugha yangu hata wewe mara ngapi Unachapia-chapia? Ndiyo maana nasema wewe ni Mjinga na Mpumbavu sana kwani kiingereza ni nini? Nikosee nisikosee hiyo ni lugha tu kama Kimatumbi!!! Wewe huwezi kunikosoa maana wewe ni zuzu tu
What a load of crap, Kwa taarifa yako Mimi nimesoma na Kuishi Uingereza hivyo Queen's English hainipi shida unlike YOU!!
 
You are simply a damned silly fool, oh yes a chatter box reading reading between the lines
Hicho Kiingereza uchwara wewe unajiona unajua sana? Kwa ujinga na upumbavu wako unaniandikia Mimi kiingereza Uchwara unafikiri hapa nitakuelewa sasa? Acha ujinga endelea tu kusifia-sifia maana wewe ni zuzu!!!!
unaonekana wazi wazi huna hata exposure yoyote kuhusu masuala ya Geopolitics,
Wewe mjinga hiyo So-called Exposure yangu wewe inakuhusu nini au itakusaidia nini? Acha ujinga wako wa Kipumbavu!,,
hupo hupo tu bendera fuata upepo - bila aibu juzi unatujia na computer simulator ya cockpit na avionics za MiG-29 eti anatuonyesha jinsi inavyo shambulia jeshi la Urusi, hana habari kwamba hiyo ni michezo inayo kubwa programmed ku-simulate masuala ya vita na wanauziwa hata watoto wadogo na vijana kwa ajili ya michezo, kwa hiyo ukiona ndege,vifaru,rocket na wakati mwongine hata askali wakipogana hizo ni computer games tu, hakuna ukweli wowote -
Acha kubwabwaja ovyo ovyo jikite kwenye Point Mimi nilikuambia ujiulize mara mbili kwa nini Supapawa Russia inamchukua miaka 4 kupambana na Ukraine? Usupapawa wake kausahau wapi? Nilitarajia utanijibu maswali hayo wewe umeng’ang’ana na Simulator tu kwa akili yako ndogo unafikiri wewe peke yako na kiingereza chako-Uchwara ndiyo unajua na sisi Wamatumbi hatujui? Acha ujinga wako wewe zuzu!!!!
mpaka jana niliona wasomi wengi wakilalamikia jeshi la Ukraine kwa kudanganya wasomaji Kia kusambaza picha na video clips za vita zilizo kuwa generated na computer Games!! Halafu na wewe bila ya kutambua unatuletea propaganda hizo hizo za kichonga, sijui kwa kutojua au makusudi lakini nafikiri ni ignorance.
Kwa ujinga wako unafikiri hao wewe unaowaita wasomi unafikiri ndiyo wanakuwa mstari wa mbele na wanapanga mipango ya vita wao? Ignorance yako ndiyo inakufanya ujiamini eti wewe zuzu ukisema Wasomi wanalalamika Ukraine kudanganya wasomaji kwa kusambaza eti video ambazo ni Generated na Computer!!! Na sisi wenye akili timamu tutakuamini!!! Umekosea kajipange upya wadanganye Mazuzu wenzako tu!!

Hapa ndipo umenionyesha wazi ulivyo zuzu wa kutupwa!!!
Nakuomba utuambie hao unaowaita wewe wasomi walilalamikia wapi kuwa Ukraine inatumia Generated video tupatie hiyo video au tupe hiyo link na sisi tuione ili usitufanye na sisi wote humu ni mazuzu kama wewe!!!

Kama akili yako iko sawa utatupatia na sisi tuone huo UHARO wako. Na nina uhakika hujui hata video ambazo ni AI Generated na ndiyo maana unalazimisha kila kitu ni Generated.
Wewe kinachokusumbua ni mahaba-Niue!!!
 
What a load of crap, Kwa taarifa yako Mimi nimesoma na Kuishi Uingereza hivyo Queen's English hainipi shida unlike YOU!!
Kusoma kwako Uingereza ndiyo iwe Certificate ya kutuzuga? Narudia tena kawadanganye Baba yako na mama yako waliokupeleka kusoma Uingereza na ukatoka huko na Ujinga na Upumbavu kama huu!!
 
Back
Top Bottom