Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Tell you what? You should have your head Examined.Hicho Kiingereza uchwara wewe unajiona unajua sana? Kwa ujinga na upumbavu wako unaniandikia Mimi kiingereza Uchwara unafikiri hapa nitakuelewa sasa? Acha ujinga endelea tu kusifia-sifia maana wewe ni zuzu!!!!
Wewe mjinga hiyo So-called Exposure yangu wewe inakuhusu nini au itakusaidia nini? Acha ujinga wako wa Kipumbavu!,,
Acha kubwabwaja ovyo ovyo jikite kwenye Point Mimi nilikuambia ujiulize mara mbili kwa nini Supapawa Russia inamchukua miaka 4 kupambana na Ukraine? Usupapawa wake kausahau wapi? Nilitarajia utanijibu maswali hayo wewe umeng’ang’ana na Simulator tu kwa akili yako ndogo unafikiri wewe peke yako na kiingereza chako-Uchwara ndiyo unajua na sisi Wamatumbi hatujui? Acha ujinga wako wewe zuzu!!!!
Kwa ujinga wako unafikiri hao wewe unaowaita wasomi unafikiri ndiyo wanakuwa mstari wa mbele na wanapanga mipango ya vita wao? Ignorance yako ndiyo inakufanya ujiamini eti wewe zuzu ukisema Wasomi wanalalamika Ukraine kudanganya wasomaji kwa kusambaza eti video ambazo ni Generated na Computer!!! Na sisi wenye akili timamu tutakuamini!!! Umekosea kajipange upya wadanganye Mazuzu wenzako tu!!
Hapa ndipo umenionyesha wazi ulivyo zuzu wa kutupwa!!!
Nakuomba utuambie hao unaowaita wewe wasomi walilalamikia wapi kuwa Ukraine inatumia Generated video tupatie hiyo video au tupe hiyo link na sisi tuione ili usitufanye na sisi wote humu ni mazuzu kama wewe!!!
Kama akili yako iko sawa utatupatia na sisi tuone huo UHARO wako. Na nina uhakika hujui hata video ambazo ni AI Generated na ndiyo maana unalazimisha kila kitu ni Generated.
Wewe kinachokusumbua ni mahaba-Niue!!!