Wakati mwingine unazungumzaga vitu gani lakini - husitufanye members wajinga, tunasoma sources nyingi za habari ya kuaminika,wewe unatuletea humu picha na video clips zilizokuwa generated na AI na CGI a sad thing is some skewed headed like you cannot distinguish between virtual and real thing!! Wana copy copy na ku-paste bila kufikiria Mara mbili mbili - kwa nini kwa mfano: Usemi jana Trump alisema nini kuhusu vita kuhusu vita ya Ukraine, kasema hivi: Given Silaha na Uchumi ni wazi Urusi itashinda vita hii, ni suala LA muda tu lakini kushinda Putin atashinda -Trump Rais wa Merikani kasema hivyo anavyo on a mwenendo WA vita huko Ukraine kasema kutokana hats na taarifa za kiintelijensia, lakini nyie hayo hamuyasemi - kazi kuzungumzia sijui:HIMARS huna hata habari kwamba Urusi ilisha pata muharobaini na ku-deal na rocket hizo siku nyingi sio tishio kwake tena.
Silaha nchi za magharibi wanazo wapelekea jeshi LA Ukraine haziwezi kubadirisha chochote kwenye malengo ya Urusi iliyo jiwekea kuwakomboa Warusi wenzao wanao nyanyaswa na Zelensky kusini mwa Ukraine - Putin atashinda udhalimu huo wa Zelensky na mikoa hiyo kujiunga na Urusi, kwanza walisha pitisha referendum ya kukubali kujiunga na Urusi lakini nchi za magharibi zinajifanya kupinga referundum inayo kuwa supported na raia wa mikoa inayo kaliwa na Serikali ya Zelensky kinguvu, sasa wamekwisha pata mkombozi, thank God.