Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Screenshot_20250719-113347.png
🤣🤣🤣🤣
 
View attachment 3409679
🇺🇦 🇷🇺 Ukrainian reconnaissance troops assist a wounded neighboring unit in evacuaighting under heavy Russian airtillery fire in the area of the village of Novotoretske, Donetsk region
Putin awaonee huruma Sasa hizi ni roho aiseee. Wayamalize. Zeleski ni chizi au ana binadaba vya Kiafrika? Huwezi kuuwa watu wako kwa ujinga wa kuwafata EU na US
 
Echolima1 kuna post moja kasema Trump ana mpango wa kupeleka mzigo mpya wa silaha Ukraine. Kuna mdau akamuuliza "za mwanzo zilienda wapi"? Hajajibu hadi leo!
Ni kwa sababu tu labda wewe hujui mambo ya vita!!!

Vitani kila siku kunahitqjika silaha,Risasi kwa maana kila siku zinatumika/zinaharibika na kwa hiyo hakuna la ajabu hapo.

Hata baba yenu Russia kila siku anapeleka silaha frontline pamoja na kwamba hamuulizi za kwanza alipeleka wapi!!!
 
Putin awaonee huruma Sasa hizi ni roho aiseee. Wayamalize. Zeleski ni chizi au ana binadaba vya Kiafrika? Huwezi kuuwa watu wako kwa ujinga wa kuwafata EU na US
Nani alikudanganya vitani kuna kuoneana huruma?

Ukiona hivyo elewa Russia kaona hayo ni maji marefu kwa kazuga kama anawaonea huruma kumbe kazidiwa tu!!!
 
Okay basi ngoja muendelee kuuana
Kwani kuuana kumeanza leo? Hii ngoma ilikuwepo toka Feb,24,2022 siku Russia walipovamia Ukraine walijiona ni Supapawa kumbe ni wa Michongo tu.

Leo hii ni miaka 4 Russia anapigishwa kwata na Ukraine kuimaliza vita anashindwa maana hana uwezo kuamua kujiondoa vitani nako anashindwa anaogopa aibu Supapawa wa michongo Kuchomoa!! Kilichobaki kwake ni kushambulia maeneo ya kiraia na makazi ya watu tu!!
 
Hizi drili hua haziji hivihivi TU,hua zina maana yake.
Ingekua ni biashara tungesema ni utakatishaji wa Pesa haramu,lkn Kwa hili la vita itakua Kuna vifaa vinapelekwa mahala.
Kuna watu watanielewa na wengine hawatanielewa.

Waliosema Urusi haikuisaidia Iran niliwashangaa sana.


Military drills
21 Jul, 12:18

Russian naval vessel arrives in Iran’s waters for joint Caspian drills — media​

According to the report, the main phase of the drills will begin on July 21 after a meeting of representatives of the Russian and Iranian navies and will last three days with the participation of observers from Caspian Sea littoral states

DUBAI, July 21. /TASS/. The Russian Navy’s rescue and tug vessel Professor Nikolay Muru has arrived in Iran’s territorial waters for the joint naval drills dubbed CASAREX 2025 in the south of the Caspian Sea, the Iranian news agency Tasnim reported on Monday.
The main phase of the drills will begin on July 21 after a meeting of representatives of the Russian and Iranian navies and will last three days with the participation of observers from Caspian Sea littoral states, the agency reported.
The drills aim to enhance maritime security and safety and strengthen Russia-Iran interaction, it said.
 
Military operation in Ukraine
21 Jul, 21:03

Ukraine spreads lies about Russia's losses in Kondratovka to cover own failures​

MOSCOW, July 21. /TASS/. Ukrainian fake news about heavy losses suffered by the Russian Armed Forces during the assault on Kondratovka in the Sumy Region is aimed at justifying Ukraine’s own failed tactics and missing personnel, Russian security agencies told TASS.
"Enemy sources are widely disseminating information about ‘colossal losses’ suffered by our troops in battles for the small village of Kondratovka. In fact, the enemy is trying to justify its own ‘cannon fodder assaults’ and the hundreds of missing forcibly mobilized Ukrainians from the 225th separate assault regiment," the agency’s source said.
According to a statement by the Russian Defense Ministry on June 4, fighters from the Battlegroup North completed the liberation of Kondratovka in the Sumy Region.
 
Back
Top Bottom