Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kumbe huna jibu. Si tweet= Sawasawa. Haionyeshi silaha za kibiolojia hata kidogo.
Una hoja za kindezi sana... Sasa hizo hoja zote unazotetea kuanzia awali una ushahidi wa kuzitizama kwa macho yako au ni habari unazozisoma...

Unaponiletea historia ya nani kupigana na nani kwa silaha flani ulikuepo kwenye uwanja wa vita au unasoma habari?

Eti hainoneshi silaha za kibaiolojia... Hizo silaha za kibaiolojia unazijua kwanza? Unazijua ata zinavyofanya kazi?

Mfano Ukimwi ulitaka ufungwe kwenye mtambo waje wakulipue nao au ndio uelewe kwamba ile ni "Biological Weapons"? We jamaa kichwa chako kiko vizuri kweli?

Kwanini kwenye mambo mengine tusiwe wasomaji tu maisha yaende [emoji848][emoji848][emoji848]...
 
Daaah nimecheka kama mazuri kwamba urusi akipiga bomu anakupa na nyongeza hahahah Hawa warusi ni mafala sana Hadi wanaongeza na kabomu ka ziada uridhike vizuri
 
The Russian Armed Forces said they were ready to open the corridors and release the nationalists from Mariupol, but the Ukrainian authorities refused the offer.

New statement from the Ministry of Defense of the Russian Federation:

- The RF Armed Forces are ready to guarantee the lives of nationalists who lay down their arms upon leaving Mariupol;

- according to radio intercepts, up to 200 militants deserted from Mariupol in the Zaporozhye direction, 93 of them were liquidated;

- in the last three days, Ukrainian nationalists have been actively communicating with Kiev on the unblocking of Mariupol;

- Kyiv officials offer the nationalists blocked in Mariupol to use more than 200 thousand civilians as human shields;

- the Kiev authorities understand the impossibility of rendering assistance to the nationalists blocked in Mariupol and offer them to sacrifice themselves;

- over 14.3 thousand people were evacuated to Russia from dangerous regions of Ukraine in a day without the participation of official Kyiv;

- Russia warns the UN, OSCE and the Red Cross about possible crimes against civilians in Mariupol and attempts to attribute them to the Russian Federation;

- nationalists fired at the place of distribution of humanitarian aid in Kharkov, in Severodonetsk they shot civilians.
Galip SV Liwagu
 
Ila mimi wakuuu sielewi kwamba Hammas Wana makombora huwa wanarusha yanapiga Israel,kwa Hawa Ukraine ni vipi kiasi kwamba hawawezi kurusha hata missile moja kupiga territory ya Russia?
 
Hili shambuliz baya sana wanangu urusi iwasamehe hawa vijana khaaa yaan hapo kuna vifusi vimewafunika wanajesh wa ukrainewanajeshi wa ukraine wakiwatafuta wanajesh wenzao waliofunikwa
pembeni ya hao wajeda wawil kuna safu za maiti wa wanajeshi wa ukraine
khaaaa
 
State Duma Deputy Khinshtein hopes that there will be no complete blocking of YouTube, since Russian users will suffer from this in the first place.

“I don’t have an answer to the question that journalists have been asking all evening: will YouTube be blocked in Russia? I really hope not. At least there will be no complete blocking of the resource,” he said.
Galip SV Liwagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…