Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vikwazo vinaendelea

Screenshot_20220315-203151.png


Screenshot_20220315-202815.png
 
Hili shambuliz baya sana wanangu urusi iwasamehe hawa vijana khaaa yaan hapo kuna vifusi vimewafunika wanajesh wa ukraineView attachment 2156175wanajeshi wa ukraine wakiwatafuta wanajesh wenzao waliofunikwaView attachment 2156178View attachment 2156179
pembeni ya hao wajeda wawil kuna safu za maiti wa wanajeshi wa ukraineView attachment 2156182
khaaaa
US na EU aanawaingiza we zao matatizoni kutwa wanatangaz Russia kazidiwa na uzuri Russia mwenyewe anapiga kimya kimya hataki habari zisambae kua anafanya maangamizi.....sasa ukraine hana msaada wa kueleweka zaidi ya kupewa silaha tuu
 
I

Tuchelewe chelewe kwanza ili miji igeuke magofu na vifusi kwanza
My lovely friend nyamiz leo anamzika mwana JF mwenzetu. Namtakia kila la heri katika mazishi hayo na Mungu aiweke mahala pema roho ya marehemu
 
Una hoja za kindezi sana... Sasa hizo hoja zote unazotetea kuanzia awali una ushahidi wa kuzitizama kwa macho yako au ni habari unazozisoma...

Unaponiletea historia ya nani kupigana na nani kwa silaha flani ulikuepo kwenye uwanja wa vita au unasoma habari?

Eti hainoneshi silaha za kibaiolojia... Hizo silaha za kibaiolojia unazijua kwanza? Unazijua ata zinavyofanya kazi?

Mfano Ukimwi ulitaka ufungwe kwenye mtambo waje wakulipue nao au ndio uelewe kwamba ile ni "Biological Weapons"? We jamaa kichwa chako kiko vizuri kweli?

Kwanini kwenye mambo mengine tusiwe wasomaji tu maisha yaende [emoji848][emoji848][emoji848]...
Labda upunguze kelele kidogo. Je inawezekana wala wewe wala mimi tumewahi kushiriki kutengeneza silaha za kibiolojia ? Wala wewe wala mimi labda hatujafika kwenye maabara yoyote nchini Ukraine? Je inawezakana sisi sote wawili tumewahi kusoma kitu na tulijaribu kukifanyia utathmini?

Kabla ya kupokea maoni yako heshimwa kama ukweli napendelea kusimama upande wa wabingwa wa Umoja wa Mataifa (na hapa sijali maneno ya wataalamu wakuu wa JF) kama Izumi Nakamitsu aliyeeleza hana habari kuhusu juhudi za kujenga silaha za kibiolojia nchini Ukraine. Nakamitsu aliomba Urusi ifuate utaratibu wa mikataba iliyowahi kutia sahihi (Biological Weapons Convention) na uleta taarifa rasmi ili idara ya Disarmament Affairs iweze kufuatiia rasmi.
Hayo yote Urusi ilipuuza pamoja na sheria ya kimataifa kwa ujumla. Badala yake ilianza vita ya uwongo na mauaji.
 
Hizo silaha zitateketezwa wakati ziko njiani. Haujiulizi zitatumiwa na askari gani au raia? Maana askari tumewafyeka karibia wote na Bahari tumeikwapua tayari. Ila kwa imani yako hata hizo silaha na ngao za kivita zikija Ukraine,ndio kusema atashinda vita?
Mzigo wa silaha unakuja,Bunge na Biden yuko tayari kwa no fly zone ila yule mjeshi mwoga secretary of defense Austin ndio anatukwamish
 
Hili shambuliz baya sana wanangu urusi iwasamehe hawa vijana khaaa yaan hapo kuna vifusi vimewafunika wanajesh wa ukraineView attachment 2156175wanajeshi wa ukraine wakiwatafuta wanajesh wenzao waliofunikwaView attachment 2156178View attachment 2156179
pembeni ya hao wajeda wawil kuna safu za maiti wa wanajeshi wa ukraineView attachment 2156182
khaaaa
Saizi wameanza kusambaza na picha za maafa ya waUkrane, maana huko nyuma tulikuwa tunaonyeshwa za Urusi tu tukajua Ukrane hawafi.
 
State Duma Deputy Khinshtein hopes that there will be no complete blocking of YouTube, since Russian users will suffer from this in the first place.

“I don’t have an answer to the question that journalists have been asking all evening: will YouTube be blocked in Russia? I really hope not. At least there will be no complete blocking of the resource,” he said.
Galip SV Liwagu
20220319_074806.png
 
Hao ni Warusi ndo wameuawa
Mkuu acha kujitoa Ufahamu hiyo ni kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyo shambuliwa jana mara ya kwanza ilikadiliwa wanajeshi 50 walikuwa wameuawa lakini sasa hivi wanasema ni zaidi ya wanajeshi 130 walio uawa na wenda hili ndio shambulizi baya sana dhidi ya jeshi la Ukraine tangu kuanza vita.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom