Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni Kazi tuu 👇

 
Galip SV Nchi Ishaharibika.
Sana, ila upande wa kushoto nako hali si shwari... Kila siku maandamano mfumuko wa bei [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] na za chini chini nasikia Iraqi anataka kua mshirika Rasmi wa Russia [emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958] ila hii taileta dk chache zijazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…