LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hakuna vita laini huyo,huyo kuku ukimchinja ushakata shingo atakimbia sembuse wa Ukraine. Hakuwa na busara rais

Kwenye historia yooote ya URUSI hakuna vita wamewahi shindwa? unazungumzi toka mwaka gani mpaka mwaka gani kwa mfano? kwa mfano hii vita inaitwa "first chechen war" alishinda au alishindwa? na hii "soviet-afghan war" urusi alishindwa au alishinda? na hii spanish civil war urusi alishindwa au alishinda?
 
Huyo mwanamama, HATOKAA KUA RAIS WA BELARUS .


Yale mapinduzi alojaribu , Urusi iliacha yatokee ,kwa sababu Lukashenko alikua anapinga Belarus kua sehem ya Umoja wa Urusi..


Russia ilivyoingilia tu, nikm wamenunua Lukashenko.
 
Bado unaamini kuna UN? UN na USA ni kama vile bunge la tz na serikali ya tz
Yaan TZ tunamzidi NORTH KOREA?? are you serious mkuu?? Sisi tunaweza kujiendesha bila misaada??
Hatuna vikwazo vya uchumi, tunatembeza bakuli kupata pesa ya kuchimba matundu ya choo. Tukiwekewa vikwazo tutakunya polini mpaka kiama
 
Bado unaamini kuna UN? UN na USA ni kama vile bunge la tz na serikali ya tz

Hatuna vikwazo vya uchumi, tunarembeza bakuli kupata pesa ya kuchimba matundu ya choo. Tukiwekewa vikwazo tutakunya polini mpaka kiama
Kati ya kutembeza bakuli na kujitegemea bora kipi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo kwa N.KOREA kuna usiri mkubwa
 
Walivyoingia iraq na libya hao ni wanachama wa NATO?
Kuwa smart minded person bhasi, hapa tunaongelea Finland,Sweden na Poland as Ukraine hakuwa member yet ingawa alishatuma maombi. Sasa wewe unaleta habari zingine zenye taarifa na sababu nyingine za uvamizi.
 
Tatizo letu ni chumvi ili tuonekane tunajua. Kuna mmoja katoka kunikasirikia hapa kwa kumcheka habari zake alizozijaza madoido utadhani yeye ndo anatoa maelekezo kwa puttin.
Humu ndani kuna wachambuzi hadi unaogopa, yaani unajiuliza watu kama hawa kwanini hawapo JWTZ. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Humu ndani kuna wachambuzi hadi unaogopa, yaani unajiuliza watu kama hawa kwanini hawapo JWTZ. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna mipaka yetu ina matatizo madogo madogo ,wanajeshi wanatumia nguvu kuhakikisha tupo salama. Hawa wataalam inabidi max asaidie watambulike kuisaidia nchi kimkakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…