LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russian airforce dominating the Ukraine's air.

#Leteni vivid videos maana naona huu uzi umejaa maneno mengi pasipo video au picha zenye uhalisia.
Wanajaribu kuishusha bila mafanikio nahisi mtambo mpaka unaishiwa
 
North Korea anayo 40-50(nuclear bombs)
 
Nasikia satan bado kalala ndani
 
Hii habari ya zuio la Black Sea ina mkanganyiko kidogo, maana rais wa Ukraine ameisema kama request muda mfupi uliopita. Imezua mjadala maana kuna vyanzo vingine vinadai kuwa Uturuki haijathibitisha kufanya hivyo.
Mturuki na russia ni marafiki. us alitaka aweke kibarakaka chake akashindwa
 
Nimeona twitter kuwa moscow inasambaratika baada ya kuangushiwa nuc bomb?
Hawawezi kwa sababu ana nuclear Putin na Sasa Hivi Putin yupo full crazy .Putin is isolated now and that is dangerous he can go to world war 3 cause he is crazy now .
 
Asante Sana kwa hii habari
 
Nilikuwa najua mkuu lkn sasa naona huu upuuzi umezidi. Wengi tumelichoka hili jukwaa, ikitokea limeanzishwa jukwaa lingine tofauti na hili wengi tutalikimbia maana inaoneshwa sasa hivi linamilikiwa na baadhi ya member wa hapa JF na ndio wanaotoa maelekezo ya kila kitu. Mkurugenzi wao hajui kinachoendelea.
He...!!?? We ulikua hujui

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona twitter kuwa moscow inasambaratika baada ya kuangushiwa nuc bomb?
Hitler alivyo pigana na Russia akawakuta Russia wamejiandaa .Mpaka Sasa Hivi Russia wanahangaika kuchukia ukraine. It means Russian wali underestimate ukraine .Russians wao ndio wakuamua kumtoa madarakani na jeshi kuchukua nchi that will be nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…