LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hii nakubali kabisa USA=PROBLEMS ifike muda huyu jamaa aanguke.
IMG_1337.png
 
Hata mi nimesikia hivyo ila sjui bom hilo lina nguvu gani za kuleta athari
Kwanza hakuna uthibitisho kuwa bomu hilo limetumika nchini Ukraine. Ukraine yalialia ikitafuta huruma ya dunia.

Pili, vacuum bomb (thermobaric bomb) likipigwa huvuta oxygen toka kwenye hewa (sehemu lilipopigwa) na kutoa mlipuko wenye joto kubwa mno unaodumu kwa muda mrefu kuliko mabomu ya kawaida. Joto lake huweza kuugeuza mwili wa binadamu kuwa mvuke.
======
SmartSelect_20220301-120200_Chrome.jpg
 
Kwanza hakuna uthibitisho kuwa bomu hilo limetumika nchini Ukraine. Ukraine yalialia ikitafuta huruma ya dunia.

Pili, vacuum bomb (thermobaric bomb) likipigwa huvuta oxygen toka kwenye hewa (sehemu lilipopigwa) na kutoa mlipuko wenye joto kubwa mno unaodumu kwa muda mrefu kuliko mabomu ya kawaida. Joto lake huweza kuugeuza mwili wa binadamu kuwa mvuke.
======
View attachment 2134974
Sasa anamchagulia silaha ya kutumia yeye aendelee tu kugawa Ak 47 nakujipiga selfiee, Putin akiongea dakika moja baki vitendo.
 
Back
Top Bottom