LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tatizo hawa Euro na west kwa ujumla sitaki kutumia neno unafiki ila kuna kitu wao wanadhani wao ni superior kimawazo kuliko watu wengine wote na wamestaarabika kuliko watu wote hapa ndio tatizo. Maisha yao ni ghali kuliko maisha ya wengine na lazima waungwe mkono hata zile tasisi ambazo kwa miaka hawakutia siasa katika michezo kama FIFA na OIC wamewashurutisha mpaka wamachagua upande. Mtu yoyote akienda kinyume na mawazo yao huyo mbaya wanahubiri democracy lakini ni hawa hawa wakati Hamasi wameshinda vote wakaleteta fitna wakatolewa hapo Egypt alishinda uchaguzi Morsi yaliyotokea tunajuwa. Ok ni kweli Hamasi ni wabaya hilo halina ubishi lakini si wamepigiwa kura? Morsi alishinda lakini kwa kuwa hakubaliki na wao wakamtoa na mwisho kufa. Kama ndio hii safari tumeanza kama yake ya Bush either uko na sisi au na wao hakuna netral ndio tunaambiwa. Uhuru wa kuongea ndio nyimbo zao leo hii wanafunga media mpaka internet ili watu wasiongee. Nadhani uhuru wanaohubiri ni ule wanaoutaka wao kutaka mila zao lazima tuzikubali maana wao ndio civilized sisi wengine mapaka tu hatuna ustaarabu. Hakuna sehemu walitia mguu kukawa na mafanikio sio Libya, Iraq hata Syria wameacha majanga kwa watu.

“Civilized”
IMG_4930.jpg
 
Kuna jambo linanijia kichwani kuwa huyu Rais wa Ukraine pamoja na kuonekana akiongea Mara kwa Mara kwenye Tv na bendera ya nchi ikiwepo huenda akawa hayupo Ukraine japo anasema haondoki anabaki na wananchi wake.
Upo sahihi, inaitwa deepfake technology. MIT ndo wavumbuzi na wabobezi katika hii tech.

Watu wameihofia sana, ikitumika vibaya hasa kwenye siasa inaweza leta madhara makubwa.

Ingia YouTube search deep fake!

AI Generated Synthetic Video

this is a dangerous time!
inawezatengenezwa video ya raisi wa nchi akitoa maneno machafu sana ya kiubaguzi dhidi ya kundi falni (dini, kabila) katika nchi yake, ghafla CIVIL WAR ikaanza.
 
⚡️ Russia to strike Kiev security service HQ with ‘high-precision weapons’ – warns residents living close by to evacuate

Russia will launch a strike against the 'Center for Information and Psychological Operations' in the Ukrainian capital to suppress the number of information attacks on various state institutions and Russian citizens.

Moscow warned residents who live in close proximity to communications towers near the headquarters in the center of Kiev to evacuate their homes for their own safety.
 
Vita mbaya sana kuna dogo wa kihindi 21 wa mwaka wa mwisho medicine amefariki huko alipokua amekwenda kununua chakula inasikitisha maongezi ya mwisho na mzee wake “Kama una bendera kubwa aitundike Kwenye Jengo analokaa”
Inasikitisha sana. Ukiwa nchi za watu kuwa na bendera n muhimu sana
 
Back
Top Bottom