RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu wauni wanacheka
Kila mdanganyika anamiliki Noah Kwa kudanganika kwake na Wana sii hasa, waliotuahidi Noah Kila mmoja🏃♂️nyie uwa mnahujumiwa tu kila sehemu! hata Tanzania mlisema mabeberu wanatuhujumu hela ya makinikia ilitosha kila mtanzania kumiliki Noah,tuambie ikiwa uko kijijini kwenu kuna mtu ana milki Noah ya makinikia. 😁😁
Kwanza hapa nataka nijue position ya wanakijani🤔Russian wa temeke10 - 4 Ukrainian wa bunju
Lewis alijua dogo kaja kupigwa si kupigana.😃😃😃Hii vita ya Russia na Ukraine inanikumbusha lile pambano la Lenox Lewis na Hashim Rahmani lililofanyika Afrika kusini miaka kadhaa iliyopita. Katika pambano lile Lewis alionesha dharau ya hali ya juu kwa Hashim, mpaka akafikia hatua ya kulilaumu shirikisho la ngumi duniani kwa kumpambanisha na chekechea (hashim) ambae angeweza kupambana na watoto wenzake huko mitaani. Wakati wa kuingia ulingoni (kabla ya pambano) Lewis alimsogelea Hashim akamuuliza unataka nikutwange ktk round ya ngapi.. ya kwanza, ya pili au ya tatu? Alipoulizwa swali hilo Hashim hakujibu kitu, basi Lewis akamwambia kwa vile dogo wewe ni jeuri, nakuahidi kukuadhibu katika round ya pili tu ili niwahi kwenda kupumzika na familia yangu. Basi pambano likaanza kila mtu akionesha hofu kwa kipigo kibaya atachopata Hashim kutokwa kwa Lewis. Hee kufumba na kufumbua Lewis akajaa kwenye himaya ya Hashim huku akiwa kasahau kulinda chaga (mbavu), Hashim hakutaka kuipoteza hiyo nafasi, akaingia na left hand kuichokonoa chaga ya adui, Lewis baada ya kuhisi chaga zake zimechokonolewa na dogo ikabidi ashushe gard kulinda chaga huku akiwa kasahau kabisa ulinzi wa sura, dah dogo akapata nafasi ya kucheza na sura ya mtu mzima kama vile achezavyo na panch bag. Mara mtu mzima Lewis chaliii, refa anahesabu mpaka kumi Lewis kalala tu kama gogo, dogo Hashim ikabidi apewe ushindi mnono wa nock out. So hata hii vita isije kuwa kama lile pambano la Lewis (urusi) na Hashim (ukraine) tukaja kusikia mtu mzima kazimishwa ugenini na mdogo wake.
Japo namsaport Putin ila hii video inasikitisha sana mlemavu kaacha wheelchair [emoji174]huyo mtoto aliyevaa mask na baba ake aisee tuombe Hii vita iishe tu
Mrusi hajaomba kukaa chini na Ukraine bali Ukraine ndiye aliye omba kukaa chini na Russia.Mkuu suala la vikwazo tulisikie tukiwa mbali hivi,ukiishi kwenye nchi iliyowekew vikwazo ni nusu jehanam,hebu angalia vikwazo Russia anaenda kuwekewa vinaensa kuwarudisha nyuma sana,ndiyo maana wameikubali kukaa mezani na Ukraine kwa mazungumzo. huko North Korea hakuna issue kabisa wananchi wake wanamaisha ya hovyo kabisa,nchi ikiongizwa na dikteta huwa wananchi ndiyo wanao suffer.
Hapo ile convoy bado haijafika
Teh teh mnarudia yale yale ya kutuonyesha mapicha kinyume na hali halisi ya grounds mnavyokula kichapo. Jeshi la Russia lishakuwa corrupted muda mrefu sana.View attachment 2135145
mtambo wa nyuklia wa Urusi ulio chini ya maji wenye silaha za nyuklia lenye uweze wa kujiendesha kufanya mashambulio unaofahamika kama Poseidon nuclear -armed underwater vehicle
mtambo wa nyuklia wa Urusi ulio chini ya maji wenye silaha za nyuklia lenye uweze wa kujiendesha kufanya mashambulio unaofahamika kama Poseidon nuclear -armed underwater vehicle
View attachment 2135150
Ulitaka wamsikilize Muuaji?!Upumbavu tu umewajaa
they have had 1 option to kill them either to let them air the feelings regarding putin's actions. Putin is wrong to put his army into Ukraine without logic reasons. only truth shall stand no matter what.video is being circulated on the web of how local residents stopped a convoy of Russian troops in the Chernihiv region
View attachment 2135322