Kikapuu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,122
- 1,629
vyanzo avitoe wapi labda vyanzo vya majiza kutoka wapi kivipi mkuu? wote humu source zetu ni internet tu au we una vyanzo vingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vyanzo avitoe wapi labda vyanzo vya majiza kutoka wapi kivipi mkuu? wote humu source zetu ni internet tu au we una vyanzo vingine?
Mama ake aje kukachukua poland border wakati huyo ni wa hapo hapo Ukraine ( LPR au DPR)?View attachment 2136732
HAKA KAJAMAA ka URUSI. KALIKO KAMATWA. KI UMRI KANA LINGANA NA RAYVANNY OR. MARIOO KABISA AU. WHOZU AU DOGO JANJA,,,, KWA TARATIBU ZAO KANA KAA. ALIVE MPAKA MAMA AKE AJE KUKACHUKUA. KUPITIA POLAND BORDER AS ACCORDING TO. UKRAINIAN SECURITY AUTHORITIES......... SIO MANENO. YANGU MIMI. NIMETOA AS KAMA YALIVYO KULINGANA NA OFICIAL MESSAGE TO RUSSIA FROM. UKRAINE AUTHORITY ,,,....
Mig21 inakwenda wapi, Kama ilipita anga la Ukraine warusi walikua sahii kuidunguaMuda mfupi uliopita ndege ya jeshi la romania aina ya mig 21 imepotea kwenye rada kumbukeni romania ni member wa nato aliyepakana na ukreini
Muda ndo huu,
Eti Ukraine ya kabuku 😂Hebu acha kutuletea porojo hapa,hauko mbali na Ukraine ya Kabuku
Ndugu ulitak wasipoteze hTa askari mmoja. Kinachoangaliwa mwishon nan anaibuka na ushindi...Kumbe Russian Soldiers wameuawa wengi tu, mia tano sio kidogo na tena hiyo wamekiri wenyewe kabisa na kama ni hivyo utakuta wameuawa wengi zaidi ya hao. Vita havina cha Super Power.
ukimaanishaUkikutana na mtu anaitwa juma,Musa,mahmudu, Abdul, salum, hamadi, ommary, nk Hawa ni watu ambao huwezi ukawaambia chochote juu ya putin wakakuelewa maana wanamahaba nae yaani Kama unakazi nyingine za kufanya kazimalizie tu ... You will thank me letter.
naomba link ya hiii channell mkuuView attachment 2136718WAKISHA KUFA WANAZIKWA HATA UCHI BILA NGUO...............
Ukikutana na mtu anaitwa juma,Musa,mahmudu, Abdul, salum, hamadi, ommary, nk Hawa ni watu ambao huwezi ukawaambia chochote juu ya putin wakakuelewa maana wanamahaba nae yaani Kama unakazi nyingine za kufanya kazimalizie tu ... You will thank me letter.
Mrusi alikwambia naanza na za zamani au wewe akili yako ndio imekutuma hivyo.Russia ana askari 900,000 wa wa kazi na anareservr ya 1,200,000 assume alopoteza ni 10,000 na hao wengi waliokufa sio well trained tunasema wasafisha njia. Nyie mnachukulia habari zenu wapi? Ukija kwa silaha russia anatumia za zaman sana hajatumia silaha kali kabisa.
Mnamchukulia poa mrussi ausioo, unafikir hana akili ya vita? Msidangwanywe na western media/propaganda urussi amejijenga vzr kwenye jeshi asee msimchukulie poa kabisa.
A Russian soldier surrendered.
Ukrainians gave him tea, food, and let him video call his mother. This is the Ukrainian spirit.
kinaitwaje na kina kazi gani?
Bayraktar UAV
train iliotakiwa kupeleka mafuta ilikutana na hii kitu ndio maana vifaru vikakata fuel iksababisha supply issues, hii ndio kitu pekee iliofanya jamaa waslow down, wale jamaa wa nagoro karabakh wanaielewa vizuri pamoja na ile ya mzayuni
View attachment 2136716
Mbona unaleta ubishi wa vijiwe vya kahawa.Huoni hizo ni propaganda muzee!!??
wamemvisha m-ukraine gwanda za ki Russia alafu wanafanya maigizo!!???
Wabongo muwe mnachambua news msiwe mnameza kama chura?