LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ndege vita nne za Russia zalaumiwa kuingia pasi na taarifa ktk anga la Sweden siku moja baada ya waziri mkuu wa Sweden kutangaza kuwa serikali yake itaimarisha zaidi nguvu za kijeshi za sweden kufuatia uvamizi wa Ukraine. Maafisa wa jeshi wa Sweden wamesema kuwa ndege hio ni SU-24 (mbili) na SU-27 (mbili).

View attachment 2136943

Sweden waache shobo.
 
Highlights from last night:

1. Mercedes-Benz will suspend the production and supply of cars in Russia - RIA Novosti.

2. Japan will freeze the assets of four Russian banks, including VTB.

3. Canada added Medvedev, Mishustin, Siluanov, Sobyanin, Beglov to the sanctions list.

4. Marina Fenina, an employee of the OSCE Special Monitoring Mission in Ukraine, died during the shelling of Kharkov - TASS.

5. The cost of aluminum on the London Metal Exchange rose above $3,600 per ton, having renewed its historical maximum.

6. To protect Russians from sanctions, a law was submitted to the State Duma that provides for credit holidays for citizens until September 30, 2022. Later, the government will be able to extend this period.

In addition, the bill proposes measures for additional social support and providing people with the necessary medicines. Russian students who, due to the imposition of sanctions, were forced to stop studying at foreign universities, will also fall under protection. Measures are envisaged to prevent the growth of unemployment.

7. South Korea will continue to supply cars, smartphones, washing machines and other household appliances to Russia despite US sanctions, the Ministry of Trade, Industry and Energy of the Republic said.

The country's authorities held a consultation with the US Department of Commerce, after which the States came to the conclusion that household appliances should be considered an exception.

8. The Ministry of Defense of the Russian Federation published an explanation of the symbols on its equipment:

Z - For victory
V - Power V truth
Another V (and on the vehicle it is △) - The task will be completed.

9. China refused to join the sanctions against Russia.

10. The international rating agency Fitch has downgraded Russia's long-term rating from BBB to B.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Ndege vita nne za Russia zalaumiwa kuingia pasi na taarifa ktk anga la Sweden siku moja baada ya waziri mkuu wa Sweden kutangaza kuwa serikali yake itaimarisha zaidi nguvu za kijeshi za sweden kufuatia uvamizi wa Ukraine. Maafisa wa jeshi wa Sweden wamesema kuwa ndege hio ni SU-24 (mbili) na SU-27 (mbili).

View attachment 2136943

Hao ni wajinga tuu huwa wanaongea afu hakuna kitu wanaweza kufanya..

Kinachoitwa ustaarabu huwa ni ujinga na uoga,kwa nini uogope kujihami as if hutokufa hapa Duniani?

Stupid,na atapita kwingine hakuna watakachomfanya.
 
Ukikutana na mtu anaitwa juma,Musa,mahmudu, Abdul, salum, hamadi, ommary, nk Hawa ni watu ambao huwezi ukawaambia chochote juu ya putin wakakuelewa maana wanamahaba nae yaani Kama unakazi nyingine za kufanya kazimalizie tu ... You will thank me letter.
Ayo majina yanahusiana na nini na huyo mtu? Mimi naitwa Frank na Namuunga mkono Vladimir Putin
 
Marekani yalalamika kuwa India na United Arab Emirates (UAE) zipo kwenye Camp ya Russia (Timu Russia).

Jinsi walivyowakashifu wakimbizi wa Middle East na Africa sijui nani atakua upande wao
 
#BREAKING
Canada central bank raises key lending rate to 0.5% from historic low of 0.25%, citing inflation risks, AFP reports.
 
Hao ni wajinga tuu huwa wanaongea afu hakuna kitu wanaweza kufanya..

Kinachoitwa ustaarabu huwa ni ujinga na uoga,kwa nini uogope kujihami as if hutokufa hapa Duniani?

Stupid,na atapita kwingine hakuna watakachomfanya.
Nakumbuka Urusi mwaka inamtia mkwara Dubai kuwa itapita na ndege huku ikipenga mavi ya nguruwe na kuchafua nyumba zote huko maka
 
Hao ni wajinga tuu huwa wanaongea afu hakuna kitu wanaweza kufanya..

Kinachoitwa ustaarabu huwa ni ujinga na uoga,kwa nini uogope kujihami as if hutokufa hapa Duniani?

Stupid,na atapita kwingine hakuna watakachomfanya.
kwan c tuliwaambia kua RUSSIA sio ZIMBABWE?
kwenye kipindi cha tention kama hiki ndege ya adui inapita kwa anga lako unaiachaje?
ila bora waziache maana wakizigusa watapata kipigo ambacho VIZAZI vyao vijavyo vitakuja kuwalaumu
 
Intelijensia za wamagharibi zaonesha kuwa mwanzono mwa February maafisa wa China waliwaomba maafisa wa Russia wacheleweshe kidogo oparesheni hii ya kijeshi mpaka mashindano ya Olympics yapite. Kwa maana China na Russia walijadiliana pembeni juu ya jambo hilo kabla ya kutokea.

View attachment 2136915
Ingeenda kiwepesi lazima Taiwan ingepelekewa moto
 
From March 3, the use of QR codes in Moscow is terminated by decree of the mayor's office of the capital.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom