Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
NATO wataelewa tu kwamba hatuwapendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komamanga sio Apple wewe zelensky. Hizo commedy zako Putin hazitaki wewe endelea kujikuta amita bacchan kwenye uwanja wa vita
Msiseme hatujawapa warning tunapoanza kazi yetu
View attachment 2136948
Dah!! Unanikosea sana Comrade. Mimi na Putin ni marafiki wakubwa mno. Mimi ni m Socialist wa kweli kabisa siyo maigizo.Komamanga sio Apple wewe zelensky. Hizo commedy zako Putin hazitaki wewe endelea kujikuta amita bacchan kwenye uwanja wa vita
lipia kifurushi chako mzee acha kutegemea bando zetuMbona halafu kupata update za huu mgogoro ni tatizo.. shida ipo wapi wakuu
Hata wao hawatujali iweje Nyamizi hawajali? Hata mm siwajali kabisaaaaaa kwa sababu madhira yaliyotukuta cc wao hawakusimama pamoja na cc. Hata mm napenda majivu kyiev. #IstandwithPutinYaani anamawazo ya kishetani kabisa. Hawezi hata kujali maisha ya raia wa kawaida kabisa ambao hawajui na hawahitaji chochote kwenye siasa.
Nyamizi nimemdharau sana. Nchi kama Tanzania tumeonesha ukomavu huko UN.
Mna shida gani ya mtandao sasa nyie pro putin?Dah!! Unanikosea sana Comrade. Mimi na Putin ni marafiki wakubwa mno. Mimi ni m Socialist wa kweli kabisa siyo maigizo.
Ata kwa television bado ni shida akuna taarifa kamililipia kifurushi chako mzee acha kutegemea bando zetu
Mkuu chukua hii hapa basiHii ni operation ya kijeshi ya Israel dhidi ya hamas ,hili jengo ni wanamgambo wa hamas huko gaza nakumbuka hii operation n ilifanyika mwaka jana
wadukuzi nao wapo vitani ujui hiloMna shida gani ya mtandao sasa nyie pro putin?
View attachment 2137039
namimi nasubiri updates lakini naona kimya hata sielewielewi naona updates za sanctions uchwara tuMbona halafu kupata update za huu mgogoro ni tatizo.. shida ipo wapi wakuu
Ajaribu aoneNakumbuka Urusi mwaka inamtia mkwara Dubai kuwa itapita na ndege huku ikipenga mavi ya nguruwe na kuchafua nyumba zote huko maka
Discount ni Mil 300Roman Abramovich sells Chelsea FC for $4 billion. He owned it for almost 19 years.
View attachment 2136554