LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Putin speaks at the Security Council:

1. The families of the victims will be paid a one-time allowance - 7,421,000 rubles.

2. In addition, there will be an additional payment to the families of the victims in the amount of 5,000,000 rubles.

View attachment 2137739
Malipo madogo sana hiyo hela ya kirusi kila siku inaporomoka kama hela ya zimbabwe
 
Yupo poa baada ya Onyo la Medvedev baada ya Mawaziri wa Ufaransa kuanza kuropoka kwamba Urusi anatakiwa apewe vikwazo zaidi.
Medvedev akawambia wawe makini,manano kama hayo ndio hugeuka na kuwa real war.
Malipo madogo sana hiyo hela ya kirusi kila siku inaporomoka kama hela ya zimbabwe
Unasikitisha sana baada ya kuambiwa mmepigana na jeshi la akiba unasikia aibu. Hapo bado atajaza spetnaz kila kona ya Ukraine na kuwasubiri NATO wapewe shughuli
 
e United States does not see the possibility of excluding Russia from the UN Security Council, despite the calls of Ukraine.

Also, America is not going to create a no-fly zone over Ukraine, because it threatens a war with the Russian Federation, the White House said.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Putin leo kasisitiza tena kwa rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, kuwa pamoja na mazungumzo ya amani yanayoendelea, lengo lake lipo palepale nalo ni kuikontol Ukraine yooote. Ameonya kuwa bado mashambulizi yake hatari hjayafanya, yapo njiani.

SmartSelect_20220303-215908_Chrome.jpg
 
View attachment 2137551
Nyamizi upo? Hzo ni taarifa kutoka WB sasa russia astop kufanya export unategemea nini??
Pro Russia bwana,ikiwa ni taarifa ya kukufurahisheni mnatuletea huku mnachekelea,source hiyo hiyo ikitoa taarifa isiyokupendezeni mna jibu lenu moja huwa mnajihami nalo "western Propaganda".Sasa utajiri wote huu inakuwaje hayupo hata kwenye Top 10 ya Mataifa yenye Nguvu ki Uchumi Duniani?🙂
 
Pro Russia bwana,ikiwa ni taarifa ya kukufurahisheni mnatuletea huku mnachekelea,source hiyo hiyo ikitoa taarifa isiyokupendezeni mna jibu lenu moja huwa mnajihami nalo "western Propaganda".Sasa utajiri wote huu inakuwaje hayupo hata kwenye Top 10 ya Mataifa yenye Nguvu ki Uchumi Duniani?🙂
Utajiri kitu gani bwana sie hatuutaki
 
Mimi nina kosoa Pro Russia.. habari njem ikiwa upande wa Urusi hana haja ya kubagua chanzo cha habari kama vile CNN, BBC etc. ila ikiwa habari mbaya wanakuambia ni propaganda za magharibi.
Ha ha ha,tena utasikia wanasema "mimi siku hizi nimeacha kuangalia habari za CNN,SKYNews " lakini ndani ya dk 10 wanatuletea "Breaking News wanazitoa huko huko au Twitter.
 
Kheee nyie kwani vita haijaisha tu?? Mi mpaka nimesahau maana niliambiwa masaa 24 mengi nikashangaa jpili imefika hola, nikakaa pembeni sasa hapa napitia huu uzi, bado Kiev haijabebwa?? How?? Comedian kawa mbishi au??
Comedian aka Underdog amewavuruga huko,wanamimina mabomu kama hawana akili nzuri lakini bado yupo.Wasije wakapanic tena wakakimbilia kubofya kidude cha Nyuklia.
 
Back
Top Bottom