LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wajuba baada ya kugawa dozi wakaanza kutoa misaada ya misosi
img_3_1646543628496.jpg
img_6_1646543656085.jpg
img_5_1646543645747.jpg
 
Ukraine ipi ...!!!Russia huo ubavu Hana
Russia kasema no fly zone in Ukraine ni kichocheo cha vita haraka haraka wakasitisha mpango huo, kasema nchi yoyote kuingia Ukraine naye ni mshirika haraka haraka wengine wameamua kuwa neutral. Unataka awe na ubavu gani mwingine zaidi ya huo?

Kama NATO wenyewe ambao wapo jirani na Urusi wamefanya tathmini na kuona matokeo ya kuingia Ukraine kichwa kichwa kutengeneza vita kubwa sana nashangaa mkazi mmoja wa nanyumbu anapingana na hofu waliyonayo wahusika. Kweli Tanzania ina kila kundi la watu
 
Ona huyu naye..et operation ndogo , Raisi ametangaza ni full scale invasion alaf unasema operation ndogo , ?? Russia uwezo mdogo full stop ...case closed, now kaomba real combat imetokea ni mda wa kutuaminisha sasa
Halafu vita inakwenda pia na bajeti , Putin kapeleka majeshi kuvamia bila ya bajeti.
Wanajeshi wa Russia wapo Frontline huku Wana Stave.Muda si mrefu wataanza kupora vyakula vya raia wa Ukraine 😂😂😂
 
Hahahha...nchi inayolisha ulaya nzima ishindwe kulisha watu 30,000?
 
Nakumbuka siku ya kwanza tulitangaziwa majeshi ya urusi yameteka uwanja wa ndege mji mkuu kiyv,lakini baadae tukaambiwa huo uwanja umerejeshwa uthibi wa majeshi ya ukrain,naomba kujua hatima ya wanajeshi wa urusi waliondoka huko au ilikuwaje
 
Ona huyu naye..et operation ndogo , Raisi ametangaza ni full scale invasion alaf unasema operation ndogo , ?? Russia uwezo mdogo full stop ...case closed, now kaomba real combat imetokea ni mda wa kutuaminisha sasa
Kwani US alimpiga Iraq siku moja, unadhani kuivamia nchi ni kutype kwa keyboard yako hapo. Naona unakuwa yule msemaji wa Iraq Muhammad Saeed al-Sahhaf...anatandikwa huku anasema tunawamaliza wamarekani.
 
We mduanzi,UngeSoma the telegraph wanasemaje badala ya kuongea kuongea kitu usichoelewa.
KAma hujaelewa omba kutafsiriwa!
Nimekuuliza swali nijibu basi mwanangu. Umeshawahi kuvuta bagi ukiwa chooni!?
 
Mna ushabIki wa kindezi sana nyie watu. Mnachukulia operations za kijeshi kama siasa na Samia na Mbowe. Huoni kama Ukrainian forces wanawazuia watu wasiondoke ili kuweka chambo ya kujilinda na Russia, hadi Jana almost 1.5m wameondoka nchini kama wakimbizi, nyie mnadhani Ukraine ipo salama sana.
Mimi nawaonea huruma sana wakazi wa Kiev wanaojifanya wanapigania nchi bila mafunzo na target kubwa ya Russia ni Kiev akiingia hapo Putin atatumia ushauri wa magenerali wake waliomshauri kuipiga Ukraine kwa kipigo kizito sana
 
Kwani US alimpiga Iraq siku moja, unadhani kuivamia nchi ni kutype kwa keyboard yako hapo. Naona unakuwa yule msemaji wa Iraq Muhammad Saeed al-Sahhaf...anatandikwa huku anasema tunawamaliza wamarekani.
Tena alitumia miezi mingi kuipiga nchi inayoingia Mara 10 ya ukraine. Iraq haikuwa na jeshi kubwa, Iraq alitengwa na dunia nzima, Iraq hakuwa na silaha zaidi ya mabomu ya kurusha kwa mkono na bunduki za kukoki. Russia anapambana na nchi yenye jeshi la tatu kwa ubora ulaya nzima, jeshi lenye dhana na vifaa vya kisasa
 
Russia kasema no fly zone in Ukraine ni kichocheo cha vita haraka haraka wakasitisha mpango huo, kasema nchi yoyote kuingia Ukraine naye ni mshirika haraka haraka wengine wameamua kuwa neutral. Unataka awe na ubavu gani mwingine zaidi ya huo?

Kama NATO wenyewe ambao wapo jirani na Urusi wamefanya tathmini na kuona matokeo ya kuingia Ukraine kichwa kichwa kutengeneza vita kubwa sana nashangaa mkazi mmoja wa nanyumbu anapingana na hofu waliyonayo wahusika. Kweli Tanzania ina kila kundi la watu
Umeishia la ngap ? Mzungu Hana akili ndogo kama zako Mzee , au za babu yako Putin , huyo Russia akianza kufyatua silaha ovyo ovyo madhara yake ni makubwa , hata Korea kaskazini akiamua afyatue silaha zake ovyo ovyo madhara ni makubwa , na sio kwamba wengine hawana silaha wanazo , Ila makelele kama ya Putin ndo hawana , watu wanajua madhara ya vita , hakuna haja ya kutanua globe scale of war Kwa sababu ya mjinga mmoja , walishajionea Kwa Hitler with a terrible resolve , ....!! Ni kweli Ukraine ni mbuzi wa kafara , hata hvyo kupitia maumivu ya Ukraine ndo yatammaliza huyo Babu bila kuleta madhara kwingine, atachapika economically, politically, millitary and socially....!!

Ukrainian air defence imekuwa mwiba mkali Kwa russian airforce , multiple russian skilled fighter pilot wamekamatika , kwenye modern warfare ukishindwa kutawala anga , hamna kitu utafanya, hayo ma vifaru ya Russia hamna kitu , labda kuharibu maghorofa ya watu tu mjini
 
Nakumbuka siku ya kwanza tulitangaziwa majeshi ya urusi yameteka uwanja wa ndege mji mkuu kiyv,lakini baadae tukaambiwa huo uwanja umerejeshwa uthibi wa majeshi ya ukrain,naomba kujua hatima ya wanajeshi wa urusi waliondoka huko au ilikuwaje
Wapo nje kidogo ya mji mkuu ,Ukraine jana ilikuwa inasema kwamba Urusi inauzingira mji huo na wenda wana jiandaa kufanya ambush ya nguvu.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Umeishia la ngap ? Mzungu Hana akili ndogo kama zako Mzee , au za babu yako Putin , huyo Russia akianza kufyatua silaha ovyo ovyo madhara yake ni makubwa , hata Korea kaskazini akiamua afyatue silaha zake ovyo ovyo madhara ni makubwa , na sio kwamba wengine hawana silaha wanazo , Ila makelele kama ya Putin ndo hawana , watu wanajua madhara ya vita , hakuna haja ya kutanua globe scale of war Kwa sababu ya mjinga mmoja , walishajionea Kwa Hitler with a terrible resolve , ....!! Ni kweli Ukraine ni mbuzi wa kafara , hata hvyo kupitia maumivu ya Ukraine ndo yatammaliza huyo Babu bila kuleta madhara kwingine, atachapika economically, politically, millitary and socially....!!

Ukrainian air defence imekuwa mwiba mkali Kwa russian airforce , multiple russian skilled fighter pilot wamekamatika , kwenye modern warfare ukishindwa kutawala anga , hamna kitu utafanya, hayo ma vifaru ya Russia hamna kitu , labda kuharibu maghorofa ya watu tu mjini
Unaishi dunia ya ngapi kijana!?
 
Twambie kwanza Marekani na washirika wake zaidi ya 10 walitumia muda gani kuiteka Iraq.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Tena alitumia miezi mingi kuipiga nchi inayoingia Mara 10 ya ukraine. Iraq haikuwa na jeshi kubwa, Iraq alitengwa na dunia nzima, Iraq hakuwa na silaha zaidi ya mabomu ya kurusha kwa mkono na bunduki za kukoki. Russia anapambana na nchi yenye jeshi la tatu kwa ubora ulaya nzima, jeshi lenye dhana na vifaa vya kisasa
Hawa pro US wanachojisahaukisha hapa ni kuwa huyo NATO amekataa kabisa kuingiza majeshi yake kupambana dhidi ya Russia, Ukraine na huyo Zelencky wameomba sana kujiunga NATO kwa dharura na wamepigwa pini, unadhani wao no wajinga? Germany na ubabe wake wote hajigusi kwa vile ana maslahi makubwa kwa Russia, kifupi wao wataongea tu na kuweka vikwazo lakini hutaona hata mmoja wao kujiingiza moja kwa moja kupambana Russia.
 
During the day, fighter aircraft and air defense of the Russian Aerospace Forces shot down four Su-27 and one MiG-29 aircraft in the Zhitomir region, Su-27 and Su-25 in the Radomyshl region, the Russian Defense Ministry reported.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom