NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Supercell, the company that released Brawl Stars, a popular mobile game among children and teenagers, has announced a ban on access to its games in Russia and Belarus.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwani wewe kusema uliongea na mmarekani ni big deal? Kwamba huyo mmarekani hawezi kuongea na wewe akakuambia kinachoendelea huko ni ajabu!Kwa hiyo akisema anafanya na Warusi bila ushahidi kuweka tutamwamini na kumuelewa?
Hata hapo Chunya Warusi wapo wanachimba dhahabu na madini mengine, hii haikufanyi wale wapishi wawe wajuvi wa mambo.
Stupid guys....hakutakuwa na serikali ya Ukraine wakati huo...Kiev itakuwa tayari mikononi mwa wababe...The heads of the Defense Ministries of Ukraine and Georgia will take part in a meeting of NATO defense ministers on March 16, the meeting will be held in person, the alliance said in a statement.View attachment 2144573
Halafu anajificha anakushika makalio 😂 😂Mtoto mtovu wa nidhamu utamchekea?
Piga kerbu Moja takatifu
Hizo ndo mbinu za vitaKumbe hata hujielewi, Waukraine wanavua magwanda ya jeshi kisha wanajichanganya na raia mitaani au kwenye huduma za kijamii na kuwafanyia ambush warusi huku wakizuga kama raia. Lakini kumbuka pia kuna raia wa ukraine wanazo silaha za vita wanafanya ambush kwa warus unategemea mrusi afanyeje. Ndio mana amewahimiza raia wasiotaka madhara waondoke ukraine na wewe mwenyewe unaona wanavohama ukraine. Then utaona kyiev inavochukuliwa through total war. Sahivi mrusi anatumia akili kuubwa sana kuepuka masacre.
Hata Katuni pia tunakoelekea Watoto hawatoziona.Inaelekea Putin alishapaniwa siku nyingi sana ajichanganye tu wamkomeshe,kila kunapokucha hali inazidi kuwa mbaya upande wa vikwazo na hivi vinawagusa wananchi wa kawaida kabisa moja kwa moja 😟WATANGALIA VIPINDI VYA KATUNI
Eurosport will stop broadcasting in Russia tonight.
Several employees of the TV channel wrote about this in their social networks.
Vladimir Sinitsyn: “Information has come that from 19:30 Moscow time our channel will stop broadcasting to Russia. We will work for other countries of the Russian-speaking space.”
Mikhail Biryukov: “Thank you, Eurosport. Today I say goodbye to a job that taught me everything and provided me with everything.
Earlier, the media wrote that Discovery was suspending the broadcasting of its channels in Russia. These include Eurosport 1 and Eurosport 2.View attachment 2144568
Habari arawa,Bado hili andiko lako lina uzito kama ulivyotaka kutuaminisha?Eti Canada eti Uk.Ktk medani za kivita dhidi ya Urusi mataifa haya ni cake ya unga.Wewe jiulize umoja wa Nato wenye mataifa lukuki yenye utajiri wanaharishwa na taifa moja tu..Russia.Wakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.
NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.
Russia imepeleka zaidi ya wanajeshi 130,000 kwenye mpaka wake na Ukraine na wakati wowote wanasubiria amri ya Rais Putin Kuivamia Ukraine.
Baada ya Russia kuimega Crimea na Dunia kukaa kimya,Putin alidhani itakuwa rahisi pia Kuivamia Ukraine na kufanya lolote sasa mambo yamekuwa Tofauti.
Uingereza imepeleka shehena kubwa mno ya silaha mbalimbali Ukraine na makomandoo wa kikosi maalumu cha SAS.
Canada nayo imesema haitaiacha pekee yake Ukraine itaipa misaada yote ya kijeshi dhidi ya uvamizi wa Russia. Kwa hiyo Russia inafikia hatua wanaogopa wakijua wazi kwamba kushinda vita kwao itakuwa ngumu mno.
Na hakika Russia ikijaribu kuivamia Ukraine haitashinda hii vita zaidi ya kuharibikiwa kiuchumi. Russia ni nani hasa hata ashinde vita dhidi ya Marekani, Uingereza, Canada na mataifa mengine mengi ambayo yanaisaidia Ukraine bila kuitangazia Dunia.
Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.
View attachment 2119949
Mkuu hata wananchi wa Russia hawaamini serikali yao ,propaganda kibao .Kwanza vikwazo tu itafanya wananchi waaingie mtaani kuipinga serikali ingawa walishaanza ,tusubiri hata mwezi mmoja au miwili ya vikwazo ,Putin atapambana vita mbili ,Yeye na Ukraine halafu kudhibiti maandamano ya wananchi wake kuhusu ugumu wa maisha unaotokana na vikwazo vya hii vita. Lazima atafeli vita moja kati ya hizoWATANGALIA VIPINDI VYA KATUNI
Eurosport will stop broadcasting in Russia tonight.
Several employees of the TV channel wrote about this in their social networks.
Vladimir Sinitsyn: “Information has come that from 19:30 Moscow time our channel will stop broadcasting to Russia. We will work for other countries of the Russian-speaking space.”
Mikhail Biryukov: “Thank you, Eurosport. Today I say goodbye to a job that taught me everything and provided me with everything.
Earlier, the media wrote that Discovery was suspending the broadcasting of its channels in Russia. These include Eurosport 1 and Eurosport 2.View attachment 2144568
Inategemeana na ukatili wa anayevamia ,kuna watu wanasema ukraine inaomba msaada wa wananchi na wamepewa silaha kwasababu askari wengi wameuawa ,tangu day one mashambulizi yalipoanza Rais wa Ukraine alishasema raia wapewe silaha ,halafu eti askari wameisha?Sawa mkuu, hiyo technique sio nzuri..
wajifiche bila kujichanganya na raia..
Sasa ikishushwa rocket na hao raia si wanakufa...
majibu umeyapata tayariWataingia wapi na wakati wameshakimbia?
Jamaa kaleta ubishi nya vitani yaani kawaletea wajeshi wa Ukrain usela mavi wamemtaka kujisalimisha yeye hataki wamemtaka tena kujisalimisha yeye hataki wana wakaona isiwe tabu wakalala kwanza na miguu ndo kifua kikafataJamaa kapigwa na vitu vizito ,wamejitahidi kufunga damu isitoke ila hamna jinsi