Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
hhika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UK kama machangudoa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UK kama machangudoa tu
Oook kumbe,Basi kweli wamepania kabisa kumdhoofisha mzeeAnayeumia zaidi ni Urusi maana anakosa kodi, hawa wataweza fidia mapato kwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe umesikia, unataka nikubishie ulichosikia wewe?Sawa mfia dini hiyo ndio dini sahihi wengine wote tutachomwa moto ninyi mtaenda peponi kuishi milele, nasikia huko kila mwanaume atapewa lundo la wanawake sio kwa idadi kama hii ya duniani, mbarikiwe ninyi wenye uraia pacha duniani na mbinguni kwa uhakika.
Hakuna kitu rahisi. Huyu mjinga alidhania ataichukua tu Ukraine kirahisi.. si angemuuliza mjinga mwenzake Idd Amin kuhusu Kagera war.. au Hitler kuhusu germany and WW2?Putin majeshi yake yameshindwa ku chukua ukraine in 2 days general 9 wameuliwa na mkuu wa majeshi wa Putin yupo kifo cha ndani .Putin amekasirika vibaya mno so Leo ame waomba wanajeshi wa nchi za afrika na Middle East waende wakamsaidie .Belarus amekubali ila kesho anapigwa sanctions .Je wewe mtanzania unaweza kumsaidia Putin .View attachment 2147480
Z ndio nini.. au ni mashindano ya seat ya mbele ??? Aya.. umeshinda 😂😂😂
Putin majeshi yake yameshindwa ku chukua ukraine in 2 days general 9 wameuliwa na mkuu wa majeshi wa Putin yupo kifo cha ndani .Putin amekasirika vibaya mno so Leo ame waomba wanajeshi wa nchi za afrika na Middle East waende wakamsaidie .Belarus amekubali ila kesho anapigwa sanctions .Je wewe mtanzania unaweza kumsaidia Putin .View attachment 2147480
Yemen??? Si wanaotupa mabomu huko ni Dubai na Saudia? Na wanapeleka roketi huko ni Iran?? Na Syria - si AlQaeda na Urusi waliongia kuua watu?
Wakenya hebu shughulikieni njaa nchini kwenu.Hii ni fursa kuntu kwa Wabongo-Warusi wa humu JF ambao hutukana sana....
Huoni maajabu sio?mfano Kaka wa form six kaenda kumpiga mdogo wake wa darasa la tano dogo kapambana halafu jamaa kakimbia kuita masela wake wamsaidie kumpiga dogo hayo huoni Ni maajabu.?Cha ajabu nini kuwa na mercenaries??
USA mwenyewe sio tu anachukua mercenaries huwa anachukua kampani ya jeshi zima la Uingereza.
Tactics hizo babu
Unadhani Ukraine asingepata msaada wa silaha na pesa toka UK, US na NATO angekuwa wapi leo? Kumbuka just 25km from the capital Kyiv.. Ukraine is being dismantled, kumbuka hilo piaHuoni maajabu sio?mfano Kaka wa form six kaenda kumpiga mdogo wake wa darasa la tano dogo kapambana halafu jamaa kakimbia kuita masela wake wamsaidie kumpiga dogo hayo huoni Ni maajabu.?
Hivi sasa wanawawekea vikwazo matajiri ili wao wamuondoe PutinOook kumbe,Basi kweli wamepania kabisa kumdhoofisha mzee
Kwa jinsi wanavyofanya uharibu na kuua raia,aisee ningekuwepo huko afu tuwateke ningewafanyia ukatili wa kutisha Sana.Kuna mengine tumeyateka yamepelekwa Kubinka Air Base kufanyiwa utafiti