GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama bink anBinafsi huwa nasema, Kama Sisi ndio Watu, basi wao sio watu. Na kama wao ndio watu, basi sisi sio watu.
Kiumbe kisicho na AIBU ni kiumbe cha kipuuzi kuliko vyote. Hata mbwa hujishtukia anapfanya kosa, sio wazungu.
Anaweza kumuwinda mtoto wako amuue, akimkosa atakuja kwako kukulalamikia kwamba mwanao amemkimbia alipotaka kumuua, akitarajia umpe ushirikiano.
Ni mafala sana.
BlinisInauma!!,😭😭😭😭😥
Hawa watu sijui wana nini, wao wameanza kwa kutaifisha mali za URUSI, sasa imefika zami yao wanapiga kelele
View: https://x.com/mylordbebo/status/1784306603283345595?s=46&t=eQbA0aH9CX3YD3wUKRO_cw