Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nakushauri uwe unasoma habari toka pande zote. Ukisoma za west peke yake au Russia peke yake, hautapata ukweli.
These are nothing more than stupid speculations.
Usiangalie mwandishi ni wa wapi ila angalia ujumbe aliouandika 'content'.Mkuu, nakushauri uwe unasoma habari toka pande zote. Ukisoma za west peke yake au Russia peke yake, hautapata ukweli.
Kuna upotoshaji mwingi pande zote.
Hatimaye mmepata kichaka Cha kuitana..... Waite Tena hawajasikia ..Ongeza sautiiiii
Wewe jamaa una vituko sana😂😂😂😂😂1500! Duh!
Hii inaanza kuwa balaa Sasa🥱🥱🥱
Reshuffle ya Waziri wa Ulinzi haijakaa kisiasa ilikuwa inastahili. Hizi za deputies waliokuwa arrested ndio zimekaa kisiasa, kwa Urusi kiongozi anaweza kula rushwa na akajulikana ila akaachwa. Siku asipohitajika anatafutiwa visingizio aondoke, hawakubali kumuondoa mtu waseme amepwaya nafasi yake.
hamasa yangu, umeandika bila bias hongera sanaReshuffle ya Waziri wa Ulinzi haijakaa kisiasa ilikuwa inastahili. Hizi za deputies waliokuwa arrested ndio zimekaa kisiasa, kwa Urusi kiongozi anaweza kula rushwa na akajulikana ila akaachwa. Siku asipohitajika anatafutiwa visingizio aondoke, hawakubali kumuondoa mtu waseme amepwaya nafasi yake.
Hao wengine sio kwamba ni wasafi almost wote hao wizi wanafanya. Alafu kuna nafasi jeshi la Urusi automatically yeyote anayekuwepo ataiba hata kiasi kidogo hivyo sio shida sana kama atafanya kazi vizuri, sehemu kama Rostec, Rosoboronexpot au tender za jeshi. Mifumo yao inatoa mwanya, kwanza wana bureaucracy nyingi na kuna mifumo inaenda kwa maamuzi binafsi ya viongozi.
Sergei Shoigu kakaa nafasi hiyo tangu 2012 muda wake umetosha. Tena Shoigu alimrithi Serdyukov ambaye alikuwa raia mwanauchumi na alifanya mageuzi makubwa jeshini ndani ya muda mfupi, ingawa alipingwa sana na wezi. Process zake nyingi za renovation, upgrade, training, modernization zimefanyika na zimeisaidia Urusi pakubwaView attachment 2992506
Naamini hata huyu raia aliyeingia atafanya mambo ya muhimu. Mtu mwingine anayetakiwa kustaafu ni Chief of General Staff, General Valery Gerasimov.
Huyu exceptionally aliingia nafasi hiyo kwa vigezo sio siasa, hata wapinzani walipongeza yeye kuteuliwa. Ila kadumu muda mrefu inahitajika mawazo mapya. Ambaye alikuwa wa mageuzi ni Sergey Surovikin ila tangu suala la Prigozhin amekuwa out of favour. Alafu Surovikin sio ndio mzee, sio likondoo na hiyo kwa siasa za Urusi sio sifa.
Russian Navy former commander wake Admiral Nikolai Yevmenov nilikuwa namkubaliView attachment 2992505
Mwaka jana ghafla akaanza kukosa kwenye matukio ya kijeshi. Mwezi March mwaka huu akawa replaced kiubaridi na aliyepo sasa anakaimu
Urusi hii vita wanafanya na wanajifunza mabadiliko. Ni tabia yao kila vita ikiisha wanajitafakari, hii sasa imedumu muda mrefu haina haja kusubiri iishe. Ilipoisha Chechen wars wakafanya mageuzi, vita ya Georgia wakagundua wana madhaifu mengi sana wakafanya mageuzi (alikuwepo Serdyukov ana kama mwaka akiwa Waziri wa Ulinzi akawasha moto), war on Donbass ilikuwa small scale ila walijifunza vitu viwili vikubwa:
1. Matumizi ya drones
2. Matumizi ya electronic warfare (silaha zao nyingi za EW waliziupgrade na kuzipima kipindi hiki)
Kwenye annexation of Crimea 2014 hawakupigana maana Ukraine ilikuwa dhaifu. Ukraine ikaenda kujifua Ulaya ikafanya mageuzi makubwa sana kuanzia maofisa, sare, training, silaha, utoaji wa vyeo na kuondoa Soviet mentality. Ndio maana maofisa wa Ukraine wengi ni miaka 40 na 50 katikati hapo. Ikaja vita ya 2022 Ukraine ikawa tofauti kabisa na ilivyotarajiwa.
So far haya mageuzi yanaenda kuipa nguvu mpya Urusi. Hata hivyo Shoigu na Gerasimov hawajafanya vibaya, ila kazi kubwa naona imefanywa na Russian Central Bank na wizara ya uchumi, uzuri kule hakuna chawa wewe kama hujui hupewi cheo. Hawa watu mipango yao inatiki kuliko hata ile ya shirika la kijasusi la Urusi. Hivyo vichwa pale sio vya kawaida, kama huyu Gavana Elvira Nabiullina View attachment 2992501
Kwanza Nabiullina aliwahi kuwa Waziri wa Uchumi, then huyu Waziri wa Ulinzi wa sasa ndio akamrithi madaraka. Therefore naamini mahitaji ya jeshi la Urusi kwa sasa ni kwenda kwa uchumi mkali kuliko kawaida. Kinachoibeba Urusi kwa sasa ni wataalamu wa uchumi kuliko jeshi lenyewe.
Mwanzo Nikasoma Nikafika mstali wa Tatu nikoana ngoja kwanza Nikague Id nani huyu kumbe Mjuaji Zero!!Reshuffle ya Waziri wa Ulinzi haijakaa kisiasa ilikuwa inastahili. Hizi za deputies waliokuwa arrested ndio zimekaa kisiasa, kwa Urusi kiongozi anaweza kula rushwa na akajulikana ila akaachwa. Siku asipohitajika anatafutiwa visingizio aondoke, hawakubali kumuondoa mtu waseme amepwaya nafasi yake.