lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Hii ni kauli ya Pro NATO wapenda Ubishi wa kitoto.tuthibitishie hii kauli ya kwamba RUSSIA wamesema wataichukua UKRAINE ndani ya siku 3 za SMO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kauli ya Pro NATO wapenda Ubishi wa kitoto.tuthibitishie hii kauli ya kwamba RUSSIA wamesema wataichukua UKRAINE ndani ya siku 3 za SMO.
Washirika wa Urusi Sasa waanza kuingia kimkakati mdogomdogo,moja baada ya mwingine,baada ya kuona NATO Sasa wameshaingia.🇰🇵🇷🇺 Kim Jong-un will send engineering units of the North Korean army to the North Korean military zone - German observer Jürgen Nauditt
According to the journalist, next month, as part of the military alliance between North Korea and Russia, an engineering unit of the North Korean army will be sent to Donetsk.
Yaeezekana Putin anataka iwe hivyo lkn hajapata upenyo kwani kabanwa.Russia is wasting time. This war has to be over by now ili aendelee na maisha mengine. Tumia elites soldiers wamle kichwa Zelesky. Operation gani hii inachukua muda namna hii. Au declare total war uingie kiev muue Zelesky. Weka puppets maisha yaendelee kila siku vita tuu. US utakuka kaa naye mezani ukishamalizana na Zelesky.
Tutazidi kuunganisha dots, nafikiri baadae tutakuja kuongea lugha Moja?Russia is wasting time. This war has to be over by now ili aendelee na maisha mengine. Tumia elites soldiers wamle kichwa Zelesky. Operation gani hii inachukua muda namna hii. Au declare total war uingie kiev muue Zelesky. Weka puppets maisha yaendelee kila siku vita tuu. US utakuka kaa naye mezani ukishamalizana na Zelesky.
Huyu mrusi anapoteza muda tu. Uwezo anao sijui kinachomtatuza kumaliza gemu mapema ni nini? Israel kaingia Gaza within a year tu. Yeye siku zote ni slow movement. Vamia watu wafe shinda vita Jenga majimbo yako maisha yaendelee. Ila naona ndiko anakoelekeaTutazidi kuunganisha dots, nafikiri baadae tutakuja kuongea lugha Moja?
Ndugu yangu, zelensky yeye ni spika TU,muongeaji Yuko nyuma.Russia is wasting time. This war has to be over by now ili aendelee na maisha mengine. Tumia elites soldiers wamle kichwa Zelesky. Operation gani hii inachukua muda namna hii. Au declare total war uingie kiev muue Zelesky. Weka puppets maisha yaendelee kila siku vita tuu. US utakuka kaa naye mezani ukishamalizana na Zelesky.
Hebu tufanye kinyume chake,vipi kama USA ndio angekutana na situation anayokutana nayo Urusi,angekua katika Hali Gani?1Yaeezekana Putin anataka iwe hivyo lkn hajapata upenyo kwani kabanwa.
Hii ni full scale war, SMO ni arrogance ya wa Russia tu.
Obviously angekiona cha mtema kuni.Hebu tufanye kinyume chake,vipi kama USA ndio angekutana na situation anayokutana nayo Urusi,angekua katika Hali Gani?1
Yaani tuseme kama USA peke yake angekua anapigana na Iraq,halafu nyuma ya Iraq kwa uwazi kabisa Yuko Urusi, china,NOKO,Syria,Iran Watalaban na wengineo Hali ingekuaje?
Umesahau na vikwazo juu,hapo lazima uhenye!Hebu tufanye kinyume chake,vipi kama USA ndio angekutana na situation anayokutana nayo Urusi,angekua katika Hali Gani?1
Yaani tuseme kama USA peke yake angekua anapigana na Iraq,halafu nyuma ya Iraq kwa uwazi kabisa Yuko Urusi, china,NOKO,Syria,Iran Watalaban na wengineo Hali ingekuaje?
Nina mashaka Russia anaweza kushindwa hivi vita!Russia is wasting time. This war has to be over by now ili aendelee na maisha mengine. Tumia elites soldiers wamle kichwa Zelesky. Operation gani hii inachukua muda namna hii. Au declare total war uingie kiev muue Zelesky. Weka puppets maisha yaendelee kila siku vita tuu. US utakuka kaa naye mezani ukishamalizana na Zelesky.
Safi sana! Tunakaribia kuanza kuongea lugha Moja.Nina mashaka Russia anaweza kushindwa hivi vita!
Wanatakiwa wafanye jambo haraka sana, wasiruhusu hii vita iendelee hadi baada ya uchaguzi wa Marekani.
Russia anawabonda sana hawa jamaa ingawa wao wanatamba kwenye mitandao ila ardhini kichapo ni kikali na Russia Bado hajatumia Kila alichonacho .Safi sana! Tunakaribia kuanza kuongea lugha Moja.