ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Ni kweli waliingia kiurahisi lakini hawatatoka kiurahisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli waliingia kiurahisi lakini hawatatoka kiurahisi.
Putin hajawahi kuamuru kuuliwa kwa wanawake na watoto kwenye mahospital ,kwenye kambi za wakimbizi wala hajawahi kuwafunga jera watoto wa miaka 10.Unamkataa Netanyahu unamkubali Putin? 😂😂
Hilo swali lako linaonyesha wewe hauna Akili ...tumia akili ukiniwekea vikwazo out matiki unakuwa umejiwekea vikwazo na wewe.Mwambie Russia awawekee vikwazo us aache bla. Siyeye anawekewa na anatoa macho tu.
Wamefanikiwa kuteka ama wamefanikiwa kujiingiza kwenye matatizo?Sidhani kama Ukraine watakifikia tenakinu Cha nyuklia cha Urusi na kukiteka iwe kama dhamana kwao ili kurudishiwa mikoa yao. But naanza Kuona anguko kubwa sana la Ukraine katika mkoa ule wa Kursk. Hapo Ukraine atakatiwa mnyororo wa ufikaji wa chakula, silaha, na manpower na itakuwa jambo la kutisha sana wataangamia.
Nb.
Niwape hongera Kwa kufanikiwa kuteka eneo la Great power but pia niwaonee huruma watakavyoadhibiwa bila ajizi